Mfanyakazi wa Ubalozi wa Canada adaiwa kumtemea mate Polisi

Mwafrika.
Hili linatokana na kukosa uzalendo sisi watanzania. Ukishaanza kuitemea temea nchi yako mbele ya wazungu ,wazungu nao watakupengea kamasi.
 
Hii kitu imenikumbusha mwaka jana Wachina pame Shekilango kituoni walimpiga kijana mmoja wa vodacom kama waniga nyoka watanzania wamesimama . Maana wachina walileta shida kubwa sana lakini kosa lilikuwa lao . Mie nikaoga game lote nikaenda polisi nikawabeba na gari langu . Kufika pale kumbe aliye anzisha fujo ndiye mkuu wao mwenye garage pale wakaanza zao . Basi ikabidi tuingie kazini . Mkuu yule alilala ndani na akawekwa karibu na choo na pekee yake maana jamaa wa ndani walitaka kumgombania . Usiku wachina wakabena 500,000 na kumpeleka kibarua mchina kwamba aingie ndani on behalf of his boss . Tukawa makini ili kutoa heshima .Kituoni paliwaka moto jamaa akalala hadi kesho yake saa 7 mchana kwa kosa lile akalipa dola 1000 kesi ikiahsa lakini kalala .Maana alimshambulia kijana wa watu ile mbaya .Na huyu ma Canada anafanya haya anajua Barrick yao nk sl haoni shida .

It is a shame hakika kudharauliwa namna hii .
 
Tanzania anger at 'diplomatic spat' with Canada

The Tanzanian Foreign Ministry has summoned the Canadian High Commissioner after a Canadian diplomat allegedly spat at a policeman and a journalist.

A Tanzanian ministry spokesman condemned the incident, saying that his country is considering whether to expel the diplomat concerned.

Reporters say the diplomat, angered by a traffic jam, wound down his window and spat at the policeman on duty.

The Canadian High Commission in Dar es Salaam said it was investigating.
Tanzania's foreign ministry says the incident was a humiliation not just for the police officer and journalist concerned, but for the entire country.

The alleged incident occurred in the Banana district on the outskirts of Dar es Salaam.

The journalist was allegedly spat at after he went to the police station where the diplomat was taken after being arrested.

The diplomat was freed because he had diplomatic immunity.

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8408589.stm

- Now look at this, kule US yaani DC, Diplomat m-Ukraine aliyekua amelewa na anaendesha gari aligonga mwananchi na kumuua, serikali ya US ikamrundika rumande na kudai Ukraine wai-waive hii immunity mara moja ama sivyo US itazuia mikopo na misaada yote kwa hiyo serikali, serikali ya Ukraine with in some few hours waka-waive ile Diplomatic Immunity ya mtu wao, akala miaka 25 jela.

- Huyu Membe mjauzi tu alikua very tough against UN na silaha, sasa you wonder yuko wapi kwenye ishu muhimu kwa taifa kama hii, maana hapa ni kuwaarifu Barrick Gold kwamba serikali yao isipo-waive Diplomatic Immunity ya huyu Pig mwenzao anayetemea mate wananchi, basi watafungasha virago mara moja, believe me ile serikali ya Canada itamuondolea huyu mjinga mara moja hiyo Immunity ili atinge Segerea, sasa Membe yuko wapi kwenye hili?

- Huyu pig anatakiwa kufanyiwa mfano kwa wazugnu wengine wote wanaokuja bongo kwamba do not mess with us, lakini wapi hakuna lolote yataisha hivi hivi kinyemela, next time wananchi wanatakiwa kuchukua sheria mikononi nakumpa kipigo kwanza na then kumvalisha taili la gari na kulitia petroli halafu weka kibiriti mwanangu, I mean hiyo ndiyo peke yake adhabu inayofaa mzungu mwenye dharau kama huyu pig! na utakuwa mfano kwa wazungu wengine wote, kumbuka Singapore na yule mtoto wa US aliyekua anasambaza graffiti zake, walimla mbakora bila huruma!

Respect.

FMEs!
 
Membe fanya kweli.
waafrika ugaibuni wakifanya hivyo wazungu wanapewa adhabu to the maximun. Huyo jamaa asirudishwe tu hivi hivi.
 
Mkuu unakosea sana,

Unapotaka kutupima kwa kutumia vigezo vya wakulu huko huko ughaibuni. Tukubali tuu sisi waafrika /watanzania..matatizo yetu ni makubwa. These things can only happen in a banana republic. I suspect huyo mwanamama alifanya hilo kosa akijua kabisa..hatachukuliwa hatua kabisa...It was just a message kwamba you people are just stupid hata kuongoza magari hamuwezi..mnatupotezea mda barabarani..she knew..hatafanywa lolote..and well..who said she was wrong?

At times I wonder kwa nini tunajiita sovereign country..tunakwenda kifua mbele...huko duniani...poor Membe..at times simlaumu...ndivyo tulivyo!

Masanja,
 
Tume? I hope hakuna posho lol!

VC, hapo ndio pachungu, sijui tume ya nini wakati mate yametemwa, inatia uchungu sana mmatumbi akitema mate anawekwa ndani, mkubwa akitema mate tunaunda tume na posho juu....

Its sad but that is tanzania
 
Membe fanya kweli.
waafrika ugaibuni wakifanya hivyo wazungu wanapewa adhabu to the maximun. Huyo jamaa asirudishwe tu hivi hivi.
Kuna haja ya kufanya harakati Membe ashughulikie hili jambo? Ni namna gani hili wazo linaweza kumfikia yeye na vyombo vya habari?
 
Mh, wacha tu polisi walishughulikie bana... I dont see anything to do with membe, he cant do nothing about this one, he just cant

He has no guts!!
 
Mkuu unakosea sana,

Unapotaka kutupima kwa kutumia vigezo vya wakulu huko huko ughaibuni. Tukubali tuu sisi waafrika /watanzania..matatizo yetu ni makubwa. These things can only happen in a banana republic. I suspect huyo mwanamama alifanya hilo kosa akijua kabisa..hatachukuliwa hatua kabisa...It was just a message kwamba you people are just stupid hata kuongoza magari hamuwezi..mnatupotezea mda barabarani..she knew..hatafanywa lolote..and well..who said she was wrong?

At times I wonder kwa nini tunajiita sovereign country..tunakwenda kifua mbele...huko duniani...poor Membe..at times simlaumu...ndivyo tulivyo!

Masanja,
Masanja,
Your comments show how mature you're, keep up with such a pace! Watu hawangalii root cause ya yote haya; and very emotional; hizi nchi zetu zimepoteza heshima zao mno, sisi wenyewe tumejichoka wenyewe, wenzetu nao wametuchoka. It is a very sad situation. Sijui tutatokea wapi!
 
Mkuu unakosea sana,

Unapotaka kutupima kwa kutumia vigezo vya wakulu huko huko ughaibuni. Tukubali tuu sisi waafrika /watanzania..matatizo yetu ni makubwa. These things can only happen in a banana republic. I suspect huyo mwanamama alifanya hilo kosa akijua kabisa..hatachukuliwa hatua kabisa...It was just a message kwamba you people are just stupid hata kuongoza magari hamuwezi..mnatupotezea mda barabarani..she knew..hatafanywa lolote..and well..who said she was wrong?

At times I wonder kwa nini tunajiita sovereign country..tunakwenda kifua mbele...huko duniani...poor Membe..at times simlaumu...ndivyo tulivyo!

Masanja,

si kweli
Tatizo ni sisi watanzania uzalendo zero, ukianza kumsema mkeo/mmeo mbele za ndugu zako na wao hawatachelea hata kumchapa makofi.

Ukianza kuita viongozi wako kwa data za kugushi kutoka kwa wazungu(UN) kwamba ni wauwaji wakikuhurumia sana watakutemea mate.

Mzungu Mcanada amejiuliza ,hawa wanaoita wenzao wauwaji walikuwa wapi toka 2008, na akaendelea yani miafrika imeshawishika kwa siku moja tu na kwa kusoma report tu tuliyoandika na lizungu likajijibu lazima hawa watu wanamatatizo ngoja niwatemee mate nione wata react vipi.
 
Tatizo pia ni kuwa amefanya kosa hilo akiwa kwenye gari lenye namba za usajili wa ubalozi ila kwenye ardhi ya Tanzania. Kwa mfano, ingekuwa kitendo hiki kakitenda afisa wa ubalozi wa Tanzania Canada wao wangelichukulia hivi kama sisi tulivyoamua kumuachia huru badala ya kutaka arudishwe kwao? Maana ya kuwa sovereign country ni pamoja na kuthamini na kusimamia utu na ubinadamu wetu kuliko misaada wakati tunauza utu wetu. Ingekuwa enzi zile asingebaki nchini hata kama ingepelekea misaada kusitishwa. Sheria za mahusiano ya nchi zipo wazi kabisa.
 
si kweli
Tatizo ni sisi watanzania uzalendo zero, ukianza kumsema mkeo/mmeo mbele za ndugu zako na wao hawatachelea hata kumchapa makofi.

Ukianza kuita viongozi wako kwa data za kugushi kutoka kwa wazungu(UN) kwamba ni wauwaji wakikuhurumia sana watakutemea mate.

Mzungu Mcanada amejiuliza ,hawa wanaoita wenzao wauwaji walikuwa wapi toka 2008, na akaendelea yani miafrika imeshawishika kwa siku moja tu na kwa kusoma report tu tuliyoandika na lizungu likajijibu lazima hawa watu wanamatatizo ngoja niwatemee mate nione wata react vipi.

ningelikua ni mimi hapo lazima ningempiga hata na kiatu,
huyo Jerry Muro ingetakiwa amrushie ngumi ya pua hadi damu imtoke.Ujue sometimes kusubiria sheria ni kupoteza muda tu.Unatumia ile sera ya jino kwa jino mambo yanaisha.
 
Unajua kumrushia ngumi baada ya yeye kukutemea bado haitoshi. wewe unarusha ngumi kwa hasira wakati yeye ametuma bonge la limessage.
 
Mzungu mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni mfanyakazi wa ofisi ya ubalozi wa Canada nchini hapa, anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumtemea mate askari wa usalama barabarani (Trafiki) aliyekuwa akiongoza magari, Jijini Dar es Salaam.

Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Faustine Shilogile, amesema tukio hilo la aina yake lilitokea jana saa 8:15 mchana eneo la Ukonga Banana, barabara ya Nyerere Jijini.

Kamanda amemtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Gean Touchatte, 48, ambaye imeelezwa kuwa ni Katibu Mhitasi wa ubalozi huo.

Akisimulia tukio zima, Kamanda Shilogile amesema kabla ya tukio hilo, trafiki mwenye namba NCO E1653 Koplo Samson, alikuwa kazini akiongoza magari katika barabara ya Nyerere pale Ukonga Banana.

Akasema wakati huo mtuhumiwa huyo alipita akiendesha gari lenye namba za usajili T 17 DC 178 aina ya Toyota Land Cruiser, akitokea Ukonga kwenda Uwanja wa Ndege.

Kamanda Shilogile amefafanua kuwa mtuhumiwa huyo alipomkaribia trafiki, alipunguza mwendo, akashusha kioo cha gari, kisha akamtemea mate askari kabla ya kuongeza mwendo na kuondoka.

Kwa mujibu wa Kamanda Shigolile, trafiki alitoa taarifa za tukio hilo kwa wenzake kupitia `redio call' za polisi, juhudi zilizosababisha gari hilo kufuatiliwa.

Amesema gari lilipofika maeneo ya Kamata, lilikamatwa na askari na kupelekwa Makao Makuu ya Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

Kamanda amesema wakati mtuhumiwa huyo akiendelea kuhojiwa kituoni hapo, alifika mwandishi wa habari wa TBC, Jerry Muro akiwa na nia ya kumhoji lakini naye inadaiwa aliishia kutemewa mate yaliyompata chini ya kidevu na kuenea upande wa mbele wa fulana aliyokuwa amevaa.

Amefafanua kuwa kutokana na kitendo hicho, mwandishi huyo alifungua jalada la mashtaka ya shambulio kituoni hapo na kufunguliwa jalada namba CD/102/4818/2009.

Kwa mujibu wa Kamanda Shilogile, mtuhumiwa huyo hakuwa tayari kutoa maelezo yoyote, kwa madai kuwa atafanya hivyo pindi akiwepo balozi wa nchi yake.

Aidha, akasema fulana ya mwandishi Jerry Muro iliyotemewa mate, imehifadhiwa katika Kituo cha Polisi Kati kwa ajili ya ushahidi na mtuhumiwa huyo anaendelea kushikiliwa na Polisi.

CHANZO: ALASIRI /ippmedia.com

WanaJF, sasa tumefikia wakati hata idara zetu za usalama zinadharauliwa mbele ya macho yetu. Nafautilia kuona ni vipi serikali yetu inafuatilia hili. Najua nini kingenipata kama ningefanya hilo hilo Canada.

Hivi askari wa JWTZ waliompiga traffic kwa kuchelewesha kuruhusu gari lao lipite pale Ubungo (Traffic Lights) miezi michahce iliyopita nao walishikiliwa na polisi au walikuwa kazini?

Hapa Tanzania kuna udhalilishaji mwingi ila ukifanywa na watu fulani ndio unaonekana kuwa mbaya. Mfano, 'former inmate' mmoja alikuwa anasimulia jinsi wanavyodhalilishwa jela eti kwa vile ni wafungwa. Alisema kwa muda ambao amekaa huko walikuwa wakirushwa kichura wakiwa uchi 'at least' mara tatu kwa wiki.

Alichokifanya huyo njemba (Mkanada) ni kibaya na vilevile udhalilishaji mwingine unaofanywa na Watanzania wenzetu ni mbaya pia ila unakuwa kama unafumbiwa macho.
 
Msitegee Membe afanye kitu. He only knows how to kiss ass. Believe me he wont do anything. Kwani juzi tuu pale Bomang'ombe (Kilimanjaro) gari ya meneja mzungu wa TBL - Arusha ilikamatwa na polisi. Polisi walifanya makosa ya kusoma engine number ya hio gari ikaonekana kuwa imeibiwa. Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva na ilikuwa imembeba mke wa huyo meneja. Meneja huyo akaja kutoka Arusha akamwasha kibao trafic, crown ikaanguka. Meneja akakataa kuhojiwa na polisi mpaka lawyer wake afike. Lawyer wake alipofika akawapooza polisi akawakatia laki moja kesi ikafutwa. Folks we are cheap that why these pigs wanatudharau.
 
Kiutaratibu, hakupaswa hata kupelekwa polisi, badala yake alipaswa kupewa 24 hours notice ya kuondoka nchini kama ambavyo wao wanatufanyia tukiwa nchini kwao. Nitaishangaa serikali kama itamchekea, au itaanza kumfungulia mashitaka mahakamani yasiyokuwa na mwelekeo. Afukuzwe!

Kabisa. Huyu anafaa afukuzwe nchini mara moja.
 
Viongozi wa Tanzania hawawezi kubadilika hata uwaoshe kwa chlorine, kinachotakiwa watanzania wabadilike wawanyooshe viongozi wao, ili viongozi wajue namna ya kuwatumikia wananchi waliowaweka madarakani.
 
aise kumbukumbu zangu ni finyu lakini mwenye data atupe

enzi za Mwalimu kuna mzungu mmoja alifanya kosa (kama niko sawa itakuwa kwenye 70s)la kudharau CROWN alipewa 24 hrs, hata kesi hakuna aliwekwa ndani kutoka ndani ni uwanja wa ndege wa airport, na jamaa wa uhamiaji nao waligonga PI
 
Back
Top Bottom