Mfanyakazi wa TANESCO katunukiwa tuzo ya mfanyakazi bora

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
leo katika sherehe za mei mosi nimeshuhudia mfanyakazi wa Tanesko ambaye ni mwanamama akipewa tuzo na rais baada ya kuteuliwa na TUCTA kuwa mmoja wa wachapa kazi bora nchini.
Hivi ni sahihi kwa mfanyakazi kutoka taasisi kama hii kupata tuzo?
 
Huwezi jua, labda ndie Switch Off Master!! Kama ndie anayeshughulikia ukataji umeme, then ana-deserve hiyo tuzo; Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!
 
Nadhani watakuwa wana maana yao bse kwenye tuzo kuna mashirika ilibidi yawe blacklisted kama TBS,TANESCO,DAWASCO mengine mnaweza ongezea
 
leo katika sherehe za mei mosi nimeshuhudia mfanyakazi wa Tanesko ambaye ni mwanamama akipewa tuzo na rais baada ya kuteuliwa na TUCTA kuwa mmoja wa wachapa kazi bora nchini.
Hivi ni sahihi kwa mfanyakazi kutoka taasisi kama hii kupata tuzo?

Ni sahihi!
 
Huwa siamini hizo Tuzo au Tuzo zozote zinazotolewa makazini. Nyingi ni za mizengwe
 
Huwezi jua, labda ndie Switch Off Master!! Kama ndie anayeshughulikia ukataji umeme, then ana-deserve hiyo tuzo; Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!

Yeah,
Alikua tayari kubeba na kuvumilia lawama zote pamoja Na manung'uniko ya watanzania kipindi cha mgao.

Sometimes ilibidi azime tu Umeme bila kujali yeye mwenyewe amehifadhi nyama kwa friji, itaharibika!!
 
Back
Top Bottom