Mfanyakazi wa Swissport atuhumiwa kuiba simu

Same ORG

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
321
21
Kuna watuhumiwa wafanyakazi wa swissport wamefikishwa kituo cha polisi cha airpot kwa kupatikana na mzigo wa simu za mikononi zilizotokea dubai na kushindwa kupokewa hapo airpot na mwenye mzigo huo, wizi huo ulitoke tarehe 5 mwezi huu muda wa saa nane na nusu usiku kutoka dubai kwa ndege ya ethiopia, mlalamikaji ambaye ameibiwa mizigo hii yenye thamani ya 20,000000/= amesema alikuwa anazungushwa kipindi chote hiki kwa kuambiwa mizigo yake iko ethiopia na mwisho wakamwambia aendelee kusubiri watawasiliana nae, kwa kipindi hiki chama cha wauzaji simu za mkononi walijitolea kufanya kazi ya polisi jamii na hatma yake jana usiku saa nane mthumiwa anaejulikana kwa jina la mohd mfanyakazi wa swissport alipatikana na mzigo huo nyumbani kwake.
 
badilisha heading from
[h=2]Swissport wafanya wizi mkubwa airpot[/h]na kuwa
MOHAMED AFANYA WIZI MKUBWA AIRPPORT..............
 
Hawa jamaa sina hamu nao kabisa wanaiba sana wanathubutu hata kufungua begi lako na kuta kilichoko ndani. poor management.
 
kwani huyo mohamed ni hiousegrl wako au anafanya kazi wapi mpwa

heading imekaa kishabiki (kigazeti gazeti)......thats y nikashaur abadilishe.......unaruhusiwa kuiaccuse kampuni au taasisi kwa wizi kama heading ya mtoa mada inavyojieleza pale ambapo wizi umefanywa on due course of work na umehusisha top officials (figure heads) za kampuni/taasisi husika........ingekuwa ukienda swissport, mhudumu akakuibia simu yako, then ukasema swissport imekuibia simu, sidhan kama akili zako zitakuwa sawasawa......umenielewa shangazi??
 
mohd anakitambulisho cha swissport, uniform ya swissport na anapofanya kazi kuna msimamizi ramp supervisor,na ma DO(duty officers) acha watu wa usalama security huwezi kutoka na mzigo ramp bila hao watu kujua utapita nao wapi? wezi hapo ni SWISSPORT
 
Hawa jamaa sina hamu nao kabisa wanaiba sana wanathubutu hata kufungua begi lako na kuta kilichoko ndani. poor management.

Hapo kwenye red ndipo tatizo la msingi la swissport lilipo.
Hadi hapo Temu atakapoanza kuwalipa vizuri wafanyakazi wake hususan wale wa ramp na load control (hasa maloaders)ndipo wizi wa mizigo utakwisha kama si kupungua sana.

Kampuni inaingiza fedha nyingi sana na inapata faida kubwa sana kila mwaka lakini wanaoifaidi ni watu wachache wa manangement hasa Temu na maswahiba zake wachache.
 
badilisha heading from
Swissport wafanya wizi mkubwa airpot

na kuwa
MOHAMED AFANYA WIZI MKUBWA AIRPPORT..............

Ametafuta title yenye mvuto pengine kwa kuelewa kuwa kama mzigo ulikuwa kwenye dhamana ya Swissport sio Bwana Mohamed! na ingekuwa makini Mohamed asingepata nafasi ya kuchepusha.
 
heading imekaa kishabiki (kigazeti gazeti)......thats y nikashaur abadilishe.......unaruhusiwa kuiaccuse kampuni au taasisi kwa wizi kama heading ya mtoa mada inavyojieleza pale ambapo wizi umefanywa on due course of work na umehusisha top officials (figure heads) za kampuni/taasisi husika........ingekuwa ukienda swissport, mhudumu akakuibia simu yako, then ukasema swissport imekuibia simu, sidhan kama akili zako zitakuwa sawasawa......umenielewa shangazi??

Kwa maana hiyo unataka kusema koplo wa polisi akiua akiwa na mavazi ya polisi na bunduki aliyopewa ofisini na akiwa katika kazi yake ya kipolisi huwezi Kusema Polisi Aua raia kisa sio senior officer?? Mpaka Rpc ndio ahusike ndio unaweza sema Polisi Aua??
Huyo Mohamed si ameiba akiwa ofisini kwake na kavaa uniform za swissport?? Na malalamiko wameenda kutoa swissport na hawakuwapa ushirikiano unajua sometimes UKILAZA wa mtu unamjua sio lazima umuone kwa sura hata kwa hoja zake anazochangia...
 
umeenda vizri kunielewesha, ulipofika hapo nilipobold tu, ndo ukaanza kuharibu
 
Wengi wako underpaid.. N wengi wao wanafanya kama vibarua wanalipwa kila siku sh 5000 wataacha kuiba kweli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom