KUNANI PALE TGA
Senior Member
- Feb 6, 2009
- 138
- 7
Wazee habari za masiku. Nimesoma habari kwenye gazeti la citizen,kwamba kila mfanyakazi wa serikali lazima atalipa NSSF 5% ya mshara wake from july 2010.eti ni kwa ajili ya kuchangia pension,kwa sabau serikali haina hela za kulipa pension.sasa miye nauliza jamani kweli tutua ishi?yani mwisho wa mwezi mfanayakazi wa serikali mshara zaidi ya robo unaondoka kwa makato ya kijinga jinga kama vile tughe,sijui nppf,bima ya afya ambayo haina hata faida kidogo,na sasa nssf.jamani hii nchi basi.tutaishi??????