Chenge na RADA ya magumashi anasamehewa... wajasiriamali wananyanyaswa grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr?
Du Jamaa kapiga Hela sana!
Babra usilete porojo na kuonesha kuwa mu-watendaji wazuri wa kazi,
miaka saba mmekamata mmoja sasa hao hamsini si mtachukua miaka miaka 350!
Sure,
Ingekua umeme wa Tanesco ni reliable tusingehangaika na huyu jamaa.
Tanesco ndio wametufikisha hapa tulipo.
Kwanza uchumi gani unaohujumiwa hapa, watu wamepiga EPA, Radar, n.k na hawajaitwa wahujum uchumi sembuse huyu mvumbuzi???