mfanyakazi wa atcl,MISS joan wamgombania MR BLUE

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
hakika kweli dunia inaelekea kubaya, majuzi binti mmoja walikutwa wakijibizana na dada mmoja mweupe kiasi kwamba walikuwa wakitoleana matusi yasioongeleka,,kutokana na hilo mama mmoja akajiolea kuwaunganisha ili kupata tatizo nini;alipooambiwa swala ni huyu anatembea na bwana wangu;mwingine we ndie ulieniletea ukimwi;loh!!!waluipodadisiwa ndipo ilipojulikana walikuwa mende wa yule mwanamziki wa tanzania "MR BLUE""
pole sana kijana naona karibuni umekuwa na kashfa nyingi za ngono kuwa makini kijana
 
mbona mnapindisha huyo dada anaitwa salma;ka white fulani nakumbuka blue amepiga sana akakimbia baada ya kuambiwa alikuwa anatembezewa moto nna mmoja wa viongozi wa juu wa ATCL
 
Hiyo mbona sio issue kwa huyo jamaa, inabidi kinadada wafike mahali wakubali kwamba inabidi wabanane tu hata wanne kwa men mmoja, wamekuwa wengi kuliko ma-men.
 
Back
Top Bottom