Mfanyakazi Geita Gold anyanyaswa kijinsia na Bosi?

Kila uanpotaka kuandika punguza hasira ndg yangu. uatakuwa si msaada tena.
Hakuna mtu dunian mwenye ujasiri wa kufa nja wakti chakula anakiona.
Ukiona mtu aina hiyo basi si binadamu wa kawaida. Nchi yetu imejaa ufisadi kote. auatenda wapi hebu fikiria jinsi familia zetu zilivyo maskini. Kuna watu wangapi mama zao ni wajane na wadogo zao wanawategemea hao kaka ama dada zao ili waende shule. Ukiacha kazi kesho yake unaambia na mama yako ile nyumba alikyokuwa akiishi imeenda na mafuriko. Wakati huo sehemu pekee ya wewe kupata ajira ni huko kwa makburu. Utafanya nini.
Ni watu wangapi wanfanya kazi ili familia zao zipaate hata mlo wa siku moja.
hAYO MANENO YAKO YANANIFANYA NIAMINI KUWA WEWE HUISHI TZ NADHANI UKO ULAYA AMA USA NDO MAANA UNATHUBUTU KUONGEA MANENO HAYO. Naomba usiwalaumu watanzania ila jaribu kutumia mwanga uliyonao kuwapa mbinu ni nini cha kufanya na sio kutukana. Unawakosea watanzania wanaokufa njaa na mafuriko ya kila siku.

leo ndugu yangu umenikumbusha kitu kimoja rais mstaafu fisadi BEN MKAPA aliwahi kusema "WATANZANIA NI WAVIVU WA KUFIKIRI"..na .. "MMEJAA WIVU WA KIKE"....ni maneno mazito sanaaa...

yani mmeshindwa hata kufikiri kuwa mkigoma hao jamaa watabadilika na kuwasikilizeni...au hata mkifanya sabotage watawaeleweni...mnakalia kulalamika hovyo...kaka mie sikai ulay, wala huko USA unakofikiria..na wala SITAMANI hata kwenda kupumzika walau siku1...labda niende kwa kazi maalumu na ikiisha nirudi fastaaa...kwao hakuna kitu ndio maana wamejaa huku kwetu...inamaana huwa hata hamsikilizi habari za niger delta huko nigeria au sehemu zingine duniani watu wa migodini wanafanya nini kudai haki zao za msingi???...

HUO NDIO UVIVU WENU WA KUFIKIRI...ninaye bwanamdogo wangu yuko migodini kila siku kulalamika mpaka imefikia wakati sitaki hata kusikia upuuzi wenu huko migodini..WATUMWA WAKUBWA NDANI YA NCHI YENU...na bado hamjitambui...nisamehe sana kwa kuwaambieni ukweli unaowauma..ila ifike wakati mtoto apewe klorokwini ili apone malaria hata kama inauchungu wa kutosha kumfanya azimie..

IT BEGINS WITH YOU...nyie ndio muwe chanzo cha mabadiliko...or else just SHUT UR....kuna mambo mengi ya kufikiria duniani sio watanzania laki 2-3 kwenye migodi wananyanyaswa na wazungu 100...
 
Thanx Who Cares ?
maneno yako yana ukweli ndani yake
 
Mawazo ni mazuri sana. Ila sikubali the way unavoya-present.
Ni hivi kuna migomo kibao imefanyika huko migodini kama mdogo wako hajakwambia. Wakishagoma wanafakuzwa wote halafu wanaitwa watu wengine. Watafute TAMICO watakwambia wana kesi ngapi mahakamni za hawa jamaa na kikwazo ni nini mpaka leo hizo kesi haziendi kama sio hiyo serikali yako.
Juzi wameenda watu kutoka Canada wamefukuza watu kibao pale Bulyanhulu na baada ya hapo uanjua wamepata wapi tena vichwa vingine. Wamechukua waajiriwa wengine kutoka UD tena kwa wasomi wetu ndo wamekuja kuchukua nafasi hizo. Ndo uone kuwa hata wewe uanhitaji kufunga Domo lako.
Na kwa watanzania hawa maskini hakuna anayeweza kupambana na serikali.
Na usisahau kuna madokta kibao waligoma halafu waulize kilichowakuta. Au umesahau nadhani hujasahau ila ni sababu ya wewe either kuwa fisadi ama mtoto wa mafisadi ndo maana unajitia pamba masikion na kitambaa cheusi machoni huku ukiwauliza wenzio "TUMEFIKAAA?"
Au nikuulize swali hili.."Wewe kama mtanzania umeshafanya nini kuwasaidia hawa watu unaowaita watumwa ndani ya nchi yao?" Au ndo yale mambo ya nenda mi nitakukuta ili uone kama mabomu yaliyotegwa bado yanafanya kazi.
Mi nadhani watu tuliyo na Elimu kidogo tunyanyuke tuwasaidie hawa watu wasio na elimu. Maana huu ni mzigo wetu sote.
Swala la migomo wanagoma ulaya sio hapa. Ungejua kama kuna kugoma ungeanza wewe. Hivi unajua ni mafisadi wangapi mpaka sasa hivi wanaishi kwa raha mstarehe huku si maskini tukinyonywa.
Nikukumbushe kidogo tu kuwa haya matatizo yaliyoko huko migodini ni robo tu ya matatizo yanayowasumbua watanzania.
Siku nyingine ukitaka kuropoka tafuta mahali panapokufaa na matusi yako na si kuja kutuonyesha jinsi ufisadi wa wazazi wako unavokupa jeuri.
Na hili limeamsha hasira zangu hasa ukizingatia hata babako hajakamatwa bado pamoja na madudu yote aliyofanya serikalini.
 
Back
Top Bottom