Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

LAZIMA JAMBO HILI WATANZANIA WENYE AKILI WALIELEWE
Hawa HSC Biashara wanazofanya Wameajiri Watanzania Wenzetu,Wanalipa Kodi ya Serikali Corporate Taxes zote ,Sisi ni Fitnaaa tu ndio Zimetujaa,Hawa sio Malaika kuwa Watakosa Dhaifu moja Mbili,Hata Sisi tunaopost Tuache UNAFIKI hakuna Mtakatifu tumekaa Kuchunguza Udhaifu Mmoja au Mawili ya Watu na Kurudia rudia kama Kasuku kila siku yale yale Thread Zl zl . Kumwagiwa Tindikali hata Mashekhe wamemwagiwa wana Makosa Gani,Mapadri wameuawa kupigwa Risasi wana Kosa Gani??? Kila jambo Siasa tuuuu Inachosha,Wazungu Waliwahi Sema "SIMPLE MINDS DISCUSS PEOPLE ,AVERAGE MINDS DISCUSS ABOUT EVENTS,GREAT MINDS DISCUSS ABOUT IDEAS" tufanye Kazi tuache Umbea.---
 
hii ni hatarii saaaana kwa taifa letu..mengi yaliyoandikwa hapa ndiyo yanayoendelea taifa linapata 25% ya mapato amabayo tunatakiwa kuyapata toka kwa wafanyabiashara
 
mhh mleta mada inaelekea unamjua sana bwana said baadhi ya habari ni kweli ila mbona bado kampuni yake inahusika na kusafirisha makontena kutoka china .. hiii hii ya home shoping center ana branch zake guanzhou na yiwu .. bwana mdogo riziwani ana shere katika hii kampuni .. kuhusu madawa ya kulevya bado sijasikia..! ila the guy he is loaded ...

njiwa ni wewe? lol!
 
Last edited by a moderator:
Nlipata bahati ya kutembelea yard yake Guanzhou. Huyu jamaa amejidhatiti kibiashara ila hizi tuhuma nyingine ndo balaa sasa.
 
Huyu jamaa nimesoma kwa michuzi kamwagiwa tindikali usoni leo au jana mitaa osysterbay.
 
Hii kitu ya Zamani alaf chumvi 50/50....alaf Kuna mtu asiyemjua Saad ???kama sisi tunajua mnategemea kwenye system hawajui ?tunajifurah tu ...Juzi kuna Gazeti liliandika Kuhusu izi Mambo ....Kesho yake tuuu..."TUNAOMBA RADHI" maninaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Umeongea bonge la point!
 
Said mohammed saad ni jembe miaka mia 900 na utaishii baba asante kwa ajira famia zetu zinapata mulo kamilii pole tunakuombea upone!!! Hawakufikiiii miaka 1000

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Tumeshajua uliyo yasema !

sasa tufanyeje??

Hebu leta fikra! sio unapiga ikulu halafu una lala mbele!

haya sisi tukianzisha kesi halafu likitusanukia huku tutakupata wapi ili utoe ushahidi!?

MI HUJANTUPIA HILO SOO BADO!
 
said mohammed saad ni jembe miaka mia 900 na utaishii baba asante kwa ajira famia zetu zinapata mulo kamilii pole tunakuombea upone!!! Hawakufikiiii miaka 1000

sent from my blackberry 9810 using jamiiforums

wee ni muajiriwa mtiifu,
unafaa kuongezwab cheo na mshahara!

Naomba jina lako kamili ili nipenyeze neno kwa mkurugenzi!

Fanya fasta kabla mwingine hajadai kuwa ni wewe!
 
Usilolijua Kama Usiku wa Giza,Wakati wa Awamu ya Pili Kila jengo hapa Mjini walisema ni La Mama Siti Mwinyi,Awamu ya Tatu la Mama Anna Mkapa,Ya Nne Maskini Mama Salma Wameshindwa Wamemtwika RidhwaniHSC haina Uhusiano na Ridhwan Nawajua Vilivyo Vijana Hawa Toka Wanaanza BiasharaIlikuwepo Kabla JK hajaingia MadarakaniKinachowaponza "WAMEINGILIA" Biashara za wanaojidhani "UNTOUCHABLES" wa Nji Hii na Pia kwa Ubunifu wao Nje ya Nchi Shipping Agencies Wanaingiza Dolari Kibao Wanazotengeneza Kupitia Commission Wanayopata kupitia "FREIGHT" charges za Mashirika Makubwa ya Meli ,Wakisafirisha mpaka Kontena 400 kwa Mwezi. Za Wateja Mbalimbali Fedha hii Maskini Wanakuja wekeza Nchini humu Kuinua Uchumi wa Nchi Badala ya Kusifiwa Wanatukanwa-Wafanyabiashara wakubwa Walioguswa na Kasi yao ya Ubunifu WANAWATENGENEZEA FITNA KUBWA Sana Kushirikiana na MEDIA,MITANDAO YA JAMII,MAGAZETI nk nk kuwachafua na kila Aina ya Uongo.--Mwisho wa Yote Mungu Ukweli Utajulikana
 
kipasta umenena vyema na wewe unaonekana ni muumini !
Mwendo huohuo nenda nao mkuu!
 
Last edited by a moderator:

Huyo sasa ameshakuwa ni kiongozi wa "mafia"
na sio mfanya biashara muungwana,ingefaa serikali ya
Tanzania kuchukua hatua kali kwa adui huyo wa taifa na
kutaifisha mali yake yote na kupokonywa uraia wa Tanzania
halafu asafirishwe kama hatahukumiwa.
 
Shughuli pevu iyo! Kwa mantiki nyingine HSC ni biashara anayoitumia kusafisha hela sio?

Je records zake zinasema hana mkopo benki yoyote?

Mtaji wa biashara yake ambayo inaonekana ni legit, ambayo ni HSC alipata wapi?

Idara za juu za TISS zinampango gani na mtu huyu?

Nzowa anasemaje pia?

Kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, ila za mwizi arobaini, lazma atanasa tu siku moja!

your word seems to have come true.. he now has no face..
 
Nyie fanyeni mambo ya msingi so kumfalitia mtu na mali zake. Kwani wengine wanapataje? Wacheni umbea fungeni hii topic jf
 
LAZIMA JAMBO HILI WATANZANIA WENYE AKILI WALIELEWE
Hawa HSC Biashara wanazofanya Wameajiri Watanzania Wenzetu,Wanalipa Kodi ya Serikali Corporate Taxes zote ,Sisi ni Fitnaaa tu ndio Zimetujaa,Hawa sio Malaika kuwa Watakosa Dhaifu moja Mbili,Hata Sisi tunaopost Tuache UNAFIKI hakuna Mtakatifu tumekaa Kuchunguza Udhaifu Mmoja au Mawili ya Watu na Kurudia rudia kama Kasuku kila siku yale yale Thread Zl zl . Kumwagiwa Tindikali hata Mashekhe wamemwagiwa wana Makosa Gani,Mapadri wameuawa kupigwa Risasi wana Kosa Gani??? Kila jambo Siasa tuuuu Inachosha,Wazungu Waliwahi Sema "SIMPLE MINDS DISCUSS PEOPLE ,AVERAGE MINDS DISCUSS ABOUT EVENTS,GREAT MINDS DISCUSS ABOUT IDEAS" tufanye Kazi tuache Umbea.---
kipasta hapo umenikumbusha nyerere!
Yaani kidogo nilie!
Manake nyenyere alikuwa na maneno kama yako!
Unafiki ndio kazi kubwa iliobaki humu jf!
Na wanafiki wengi mno!

Daaahh!
Maisha yenyewe mafupi .!

Majungu kedekede! Ama kweli bongo yetu hii nuksi!
Si ndo maana watu wanazamia kila siku!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom