Ni kweli kabisa huyo aloyempiga risasi alikuwa mfanyakazi wake kabila lake msambaa
alikuwa anaiba hela wasambaa wenzake wakamchoma kwa boss wao akampa ya mguu live
ilitokea mtaa wa mkunguni na livingstone
jaama bonge la mnyama kama zomba wa jf hafai hata kidogo
Umeongea mengi sana kuhusu Said kuna ya ukweli kuhusu majengo lakini mengine naona una sababu zako binafsi...halafu ilo ghorofa unalosema lipo Swahili na Udoe sio Swahili na Msimbazi Mbona huyo RPC wa siku nyingi sana mkuu.
Mkuu kama mzalendo na unapenda nchi yako kwa nini huu ushahidi wako usipeleke polisi.
mhh..naona chenga..
U r a racist ... f*¿?@' u