Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

MKUU Ritz! Kazi ya polisi ni nini? Why dont they get their hands down into the matter to find out the truth? Mimi nadhani mambo haya ya kusema peleka ushahidi polisi inakuwa si vema, ndo maana mara nyingi watu wanaona jambo wanakaa kimya simply because wanajua watasumbuliwa nenda rudi polisi. Endapo mleta uzi huu amemwaga majambozi hapa, basi kama inavyoaminika jf wapo watu wa kila aina ni vema wakaingia mzigoni kutafuta ukweli. ANGALIZO! Isijekuwa uzi huu ukageuzwa ulazi kwa polisi wasio wazalendo.
Mkuu kama mzalendo na unapenda nchi yako kwa nini huu ushahidi wako usipeleke polisi.
 
Duh! Na kwa serikali yetu ilivyo, hakuna hatua yeyote inayowezachukuliwa juu ya uhalifu huu. Natamani ningekuwa na amri katika nchi hii na bila shaka ningefanya kama alivyofanya mwalimu Nyerere kwa yule Mgiriki aliyesema kuwa serikali yote kaiweka mfukoni.

Mkuu Mongoiwe asante sana kwa taarifa hii me naomba tutafutane ili tujue ni kitu gani tunawezafanya ili kukomesha mambo kama haya katika nchi yetu...
 
Duh! alieomba achunguzwe na TAKOKURU eti amechoka kuzushiwa, anayajua haya? huyu mtoa taarifa am sure anaujua ukweli na amefanya utafiti unaonifanya niami haya mambo? Hivi watanzania tutaibiwa mpaka lini? Hivi polisi hawamo humu JF? hapa kila kitu kiko wazi
 
Duh! alieomba achunguzwe na TAKOKURU eti amechoka kuzushiwa, anayajua haya? huyu mtoa taarifa am sure anaujua ukweli na amefanya utafiti unaonifanya niami haya mambo? Hivi watanzania tutaibiwa mpaka lini? Hivi polisi hawamo humu JF? hapa kila kitu kik wazi

Nani huyu anaedharirisha taasisi nyeti takukuru? Yaani itumike kumsafisha?
 
Hii kitu ya Zamani alaf chumvi 50/50....alaf Kuna mtu asiyemjua Saad ???kama sisi tunajua mnategemea kwenye system hawajui ?tunajifurah tu ...Juzi kuna Gazeti liliandika Kuhusu izi Mambo ....Kesho yake tuuu..."TUNAOMBA RADHI" maninaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Upland freight clearing and forwaders wanaendelea na kazi

TRA na BRELA wafanye uchunguzi na hatua zichukuliwe kwa
mmiliki kwani walishaifungia kwa kufuata taratibu zote
 
Kinachokufanya useme hayo ni Typing err ah ya Agost mwaka huu badala ya mwaka jana. lakini haijalishi ujumbe umefika maana ukiona mtu anatete sana kupingana na ukweli ujue naye ni mmoja wa wanaonufaika naye
 
Kweli tanzania ni zaidi ya tuijuavyo. Mi naomba hiyo 2015 upinzani uchukue ili fagio la chuma lïpite tt.
 
Back
Top Bottom