Mfanyabiashara Manji sasa ataka kituo cha ITV kifungiwe wiki moja

The bottom line MENGI na ROSTAM walikuwa maswahiba wakubwa sana na sioni sababu gani urafiki wao usirudi kama watakuwa na common interest

unamaanisha common interest yao ni kuwaibia wananchi......
kama hiyo ndio common interest ni bora wawe maadui....
 
hao wazee wa DATAZ wa JF wanajua kilichotokea na kwa nini ile kamati haikuwa PUBLIC lakini jamaa walishamweka MENGI kwenye corner na he was so humiliated na alimshukuru sana ROSTAM kwa kumsaidia through SITTA

By the way nashangaa wazee wa DATAZ wa JF nashangaa wako kimya kuhusus press conference ya KUBENEA juzi na cha ajabu hamjambiwa kwa nini haikufanyika

anyway endeleeni na episodes zenu za kudandia dandia

The bottom line MENGI na ROSTAM walikuwa maswahiba wakubwa sana na sioni sababu gani urafiki wao usirudi kama watakuwa na common interest

Kama una data we zitoe mkuu zijadliwe.
 
Bila kuingilia shauri lililo katika mamlaka husika. Hivi si Mengi alifanya press conference ambayo ilihusisha representative kutoka vyombo mbali mbali vya habari na baada ya hapo kila chombo kikaenda kuandika na kutangaza kulingana na vipaumbele vyake. Daily News, Tanzania Daima, Mtanzania, Rai, Majira, Mwanzanci, Channel Ten, ITV na Star TV na vingine vilikuwepo au viliwakilishwa

Kuhusu kilichotangazwa ITV au kuandikwa Daily News hilo ni suala la bodi za uhariri, pengine ingekuwa inalaumiwa bodi ya uhariri ya ITV kuliko mengi ambaye katika hili suala yeye ni source!

Kama anayetafuta hoja hii kwamba Mengi, katika hilo alitumia vyombo vyake vibaya ni Manji peke yake sina tatizo maana anajifaragua, tatizo mni baadhi ya waandishi wa habari na wahariri maana wanajua nani wa kulaumiwa katika jambo hili.

Lakini tukiacha hili, kwa nini hatuhoji kwa nini hawa wanaotuhumiwa kuwa mafisadi papa wanapopata nafasi ya kujibu tuhuma wanashabikiwa na kupewa kipaumbele kwenye baadhi ya vyombo, lakini wengine (Mengi) anapotuhumiwa kuwa naye ni nyangumi akatafuta nafasi kujibu baadhi ya vyombo havitoi nasi kama inavyokuwa kwa mapapa? au navyo vimeshachukua upande au kuchukuliwa na mapapa na mbona havilaumiwi kwa kutumiwa vibaya na 'mapapa'?

Mfano mbona sisikii kelele kwamba Mtanzania imetumiwa vibaya na Rostamu, kwani si ndiye mmiliki wake na siku alipoporomosha tuhuma dhidi ya mengi si ilijimwaga pengine kuliko chombo kingine chochote.

Mbona Daily news haijapigiwa kelele kwa kutotoa nafasi kwa majibu ya mengi dhidi ya tuhuma zilizoelekezwa kwake.

Kibaya zaidi, Daily news au TSN ni mali ya umma si ya Rostam na wenzake na hawapaswi na hawastahili kupendelewa kuliko mtanzania mwingine.

Ukiacha ka-ugonvi nilikowahi kusikia huko nyuma kati ya watu fulani pale daily news (TSN) na Mengi, kipindi kile kama mnakumbuka walipokamatwa baadhi ya vijana waliodaiwa kuwa walikwenda kuhujumu kiwanda cha Bonite kule arusha, hili linapaswa kuwa suala binafsi kati ya mhariri au waandishi walikorogana na Mengi na si kutumia chombo cha huma kutimiza chuki zao.

Niseme tu, ni dhahiri sasa kwamba baadhi ya vyombo vya habari vinashabikia na kujionyesha kuwaunga mkono akina Manji, Rostamu na wenzake, pengine kwa kuwa vinawaona watu safi na kudharirisha kila anayetaka kupambana nao. niseme tu kwamba siku inakuja, watakuja dhalilika.

kwa bahati mbaya wengi wetu tunasahahu jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari na waandishi wa habari walivyotaka kuuadaa umma wa watanzania kwamba wananchi wa Tarime walikuwa na na hasira na CHADEMA na Mbowe kwa kuwa walikuwa wanamuhusisha na kifo cha Mbunge wao kipenzi Chacha WQangwe nwa kwamba kutokana na chuki hizo nusura wamshambulie kwenye msiba pale tarime kama siyo kuokolewa na polisi.

cha ajabu watu wale wale tulioambiwa kuwa walikuwa na hasira na mbowe na Chadema, ndio waliojitokeza kwa maelufu na kuweka historia ya mapokezi, pale Mbowe alipotua tarime kushiriki kampeni za uchaguzi mdogo na siku chache baadaye kukipa ushindi wa kishindo chama hicho kilichopakaziwa 'mauaji'

cha kjushukuru ni kwamba 'sumu' ambayo baadhi ya waandishi wa habari na wahariri waliyojitahidi kuieneza haikufanya kitu.

tuombe mungu na 'sumu' hii wanayoisambaza sasa kwamba kuwasema mapapa ni kuweka usalama wa nchi mashakani na hivyo kushabikia jitiahada zinazoendeshwa na mafisadi za kutaka watanzania tutulie 'hili tunyolewe' wakijua serikali haiwezi kuwafanya kitu, labda kwa presha kama hizi ndipo inaweza kuwatia mshikemshike.

ni aibu, labda niwakumbushe waandishi wenzangu, kwamba hii mijitu inawatumia tu kama 'toilet paper' na kazi ikamalizika itawatumipilia mbali. kama huwezi kushiriki mapambano ni bora ukae kimya, vijisenti na ahadi mnazopewa ni chembe tu ikilinganishwa na heshima yenu, mnajidharirisha kama binadamu na taaluma ya uandishi wa habari.

kama nilivyosema awali, waache wanaokwenda mahakamani au TCRA waende kwani hata kama ni mafisadi wanayo haki ya kujitetea lakini ni bora tuchunge upande wa kuegemea.
 
Hah hah! si kweli.... ni ITV ilipokuja ndio tulitakiwa tununue "crystal" ili kupata sauti. Walipoanza CTN hakukuwa na kitu kama hiyo... Hata hivyo suala la ITV halikuwa hila bali ni mfumo wa tu wa Ma TV ya kizamani yale ya "fomeka" kutoenda sanjari na mitambo ya kisasa ya IT

Tafuta spin nyingine hii hapana....

Wakati mwingine kitu kama hukijui ama hukielewi ni heri kukaa kimya kuliko kuonyesha ujuha kama huu hapo juu. Katika kurusha matangazo, broadcasting, yawe na radio au TV, dunia imegawanywa katika zones mbali mbali na kila zone hutumia system ya aina fulani. Popote pale kama unanunua kitu kama TV, ukiwaambia tu kuwa unaipeleka Tanania, moja kwa moja utaambiwa unahitaji TV ya system gani. Kwa mfano huwezi kununua TV yoyote tu Marekani ukaileta Tanzania na ikafanya kazi. Hii haikujali kama TV ni ya fomeka au ya mbao.

Hata hivyo wenye pesa zaidi walikuwa wanaweza kununua TV ya multi system na hii inaweza kutumika popote pale. Lakini linapokuja swali la kurusha matangazo ya TV, aina ya system inatiliwa mkazo zaidi. Kwa kanda hii ya Afrika, walichofanya CTN, ingekuwa nchi wanazojali sheria, kamwe hawangeruhusiwa kurusha matangazo. Na kwa faida yako na wengine kama wewe, baadaye baada ya kubanwa ilibidi wabadilishe system yao na kufuata sheria. Ajabu ni kwamba kwenye hili swala sijui tume ya matangazo ilikuwa imelala wapi - lakini si lolote lawezekana Tz ?

Masatu, najua umezoea kutetea mafisadi kwa sababu unazozijua mwenyewe lakini kwa hili unavuka mpaka unapodai kuwa

ni ITV ilipokuja ndio tulitakiwa tununue "crystal" ili kupata sauti

Ni kwa sababu wananchi waliingizwa mjini na wahindi wa CTN na kwa ufahamisho kwa kutumia neno crystal, wananchi walitoa hela bila wasi wasi. Kifaa chenyewe kinaitwa cystal filter lakini kuiita crystal peke yake kulisound kama kitu cha maana sana - na wajinga ndio waliwao. Hebu soma tena maelezo yangu ya mwanzo.
 
Naichukua title ya ujuha kama compliment.

Turudi kwenye mada unajichanganya unapoleta uongo usio na mashiko. Iweje TV ifungwe crystal filter ili ipate sauti kwa ajiri ya CTN halafu ije ifungwe nyingine kwa ajiri ya ITV! Huo kama hujui ni heri ukae kimya tu acha kujidhalilisha
 
Masatu post yangu ya kwanza nilieleza hivi
CTN walifunga mitambo isiyokubalika nchini na kama tayari ulikuwa na TV ili upate matangazo yake ilibidi uwapelekee wakufungie kitu kinachoitwa "filter" uweze kupata sauti. Huu ulikuwa ni mpango wa makusudi kabisa wa kuwaibia wananchi kwa sababu hizo "filter" tayari walikuwa nazo "in stock".

Kufunga hicho kidude ambacho kwa gharama yake halisi ungeweza kupata kumi kwa dola moja, watu walikuwa wanalipa zaidi ya Tshs. 2,000/- waweze kufungiwa. Walichofanya hawa wahindi ndicho kilikuwa kibaya zaidi - badala ya kuifunga sambamba na ile "filter" ya zamani, wao waliondoa ile ya zamani na kufunga mpya. Walivyo wajanja hawakukurudishia ya zamani kwani walijua kuwa kuna siku utahitaji tena kurudi kwao.

ITV ilipoanzishwa kwa kuzingatia mitambo inayokubalika kwenye eneo la bara letu, wenye TV tayari walikuta hawawezi kupokea sauti. Ilibidi wapeleke TV zao zibadilishwe "filter" waweze kupokea sauti na sehemu pa kuzipata ikawa ni kwa wahindi hao hao. Nina hakika waliishia kununua zile zile filter zao zilizotolewa mwanzoni na ikawagharimu tena kiasi kile kile. Nakumbuka ITV walivyojitahidi kuwaonya waliokuwa wananunua TV mpya kutokuzifanyia marekebisho yoyote.

Kama mpaka sasa huwezi kuelewa ninachokisema, basi kalaghabaho. System tofauti hutumia filter tofauti ili kupata sauti.
 
Kama kawaida mijeneno mingi hakuna substance. Unajichanganya big time... paragraph yako ya kwanza inaonyesha uwongo wako. Hakuna wakati wowote ili mtu apate CTN lazima apeleke TV yake kwa fundi big NO.

Peleke chuki zako kwingine
 
You have proved my point - like CCM you are beyond repair, thanx.
 
halo washikaji ndio kwanza najiunga na jamii forum. naomba mnipe angalizo kwenye hii blog kabla sijaanza kushoboka yasije ku fireback ikawa soo.
 
halo washikaji ndio kwanza najiunga na jamii forum. naomba mnipe angalizo kwenye hii blog kabla sijaanza kushoboka yasije ku fireback ikawa soo.

Karibu sana Jenero, wewe shusha tu nondo bila wasiwasi upo protected ili mradi ziwe za ukweli !!
 
halo washikaji ndio kwanza najiunga na jamii forum. naomba mnipe angalizo kwenye hii blog kabla sijaanza kushoboka yasije ku fireback ikawa soo.

Ebwana karibu sana... Nikusahihishe kidogo, hii ni JamiiForum na si blog. Kimsingi uko huru kushusha nondo ilimradi ziwe za ukweli na ukiweza wasilisha na source watu wafuatilie zaidi...
 
1. Kashfa ya maghala.

Manji/Quality Group borrows from NSSF Shs 9.0 billion to build: Ubungo Godowns.

Manji/Quality Group sells Ubungo Godowns to National Social Security Fund (NSSF) for Shs 47.5 billion within 2 months of negotiations.

Manji/Quality Group sells Quality Plaza to Public Service Pensions Fund (PSPF) for shs 36.0 billion.

TOTAL SALE PROCEEDS - Shs 83.5 billion

THE UNANSWERED QUESTIONS
What facilitated the approval of the loan of shillings 9.0 billion to NSSF within such a short period of time?

Has the loan of Shs 9.0 billion from NSSF been repaid by Quality Group?

How was it possible to conclude negotiations and the purchase of the godowns by NSSF within such a short period of two months and two weeks?

Was capital gains tax paid on the sale of Ubungo Godowns and Quality Plaza?

The first valuation of the Ubungo godowns is said to have been done by the University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS). Who engaged UCLAS, and is there a contract for this engagement?

Has ownership of the buildings been transferred to NSSF and PSPF?

Quality Group occupies space in the Ubungo Godowns and Quality Plaza. What percentage of the built up area is it occupying in each building respectively?

What is the rent payable by Quality Group for occupation in the Ubungo Godowns and Quality Plaza respectively and is the rent paid to-date?

How much rent has been received by NSSF and PSPF since the acquisition of the properties?

What is the cost of running and maintaining the Ubungo Godowns and Quality Plaza, including management/consultancy fees?

Are the Ubungo Godowns and Quality Plaza insured? If in the affirmative, who is the insurer and at what value respectively?

Where are the proceeds of shillings 83.5 billion from the sale of Ubungo Godowns and Quality Plaza? Are they in the country of have they been repatriated?
 
Back
Top Bottom