Mfanyabiashara jamaa ya Mbunge akamatwa na Shehena ya Madawa ya Kulevya

Wale waliodhania ya kwamba baadhi ya viongozi wetu wakuu serikalini wanazushiwa biashara za unga sasa hadi hapo nakuambia ndio mkanda mzima unaanza na watu kuja kubanwa zaidi pamoja na watoto wao kwenye bishara za mihadarati. Vuteni pusi kidogo hadi hapo.
 
Ndugu wa mbunge anaswa na shehena ya Cocaine, Heroine



Akithibitisha kukamatwa kwa mihadarati hiyo, Kamanda wa Kikosi cha kupambana na dawa za kulevya, Godfrey Nzowa, alikiri kukamatwa kwa kigogo huyo.

Nzowa huyu ndo yuleyule wa kashfa ya kutaka/kumbambikizia dawa za kulevya mtoto wa Mengi??
 
[h=2]Mdogo wake na Rostam Aziz amepelekwa mahakamani kwa dawa za kulevya[/h]
Jamani Wana Jf naomba kupewa Ufafanuzi Jk katangaza Vita dhidi ya Dawa za kulevya mwaka 2005, na Amina Chifupa rafiki yake alimuunga mkono .
ASSAD Aziz amekamatwa tarehe 8/03/2010 kabla ya uchanguzi mkuu lakini amepelekwa mahakamani tarehe 11/11/2011. Baada ya Rostam Aziz kudhaniwa ameandaa waraka wa kumupindua Rais Kikwete , ukisoma gazeti la KULIKONI la ijumaa utaona hilo.

Swali la Kwanza Rais Kukwete alituhumu viongozi wa dini Kuhusika na dawa za kulevya je, ASSAD AZIZ ni kiongozi wa dini gani??
Je, Kukamatwa kwa ASSAD AZIZ inatakiwa nani alaniwe kama sio CCM inayo ongozwa na Kikwete??

Ni kwa nini picha za ASSAD AZIZ haipo hdaharani na kwa nini Mkanda wa video vya namna dawa hizo zilivyokamatwa hazikuwekwa wazi kwa wabunge???
Kwa nini kesi hiyo imechukua muda mrefu kupelekwa mahakamani???

Je hizo 92kg za heroin ASSAD yupo peke yake???
 
Back
Top Bottom