Mfanyabiashara Ataka Kujirusha Daraja la Ubungo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125

Shayo akiwa juu ya daraja.

Ataka-kujirusha-2.jpg

Gari la Jeshi la Zima Moto likiwa eneo hilo.

Ataka-kujirusha-3.jpg

Baadhi ya wananchi wakimshangaa Shayo (hayupo pichani).

Ataka-kujirusha-4.jpg

Shayo akiwa anavutwa baada ya kumpa mkono ndugu yake.
Ataka-kujirusha-5.jpg
Akiwa anapelekwa Kituo cha Polisi cha Ubungo.

Katibu wa Chama cha Wafanyabiasha za Mezani katika maeneo ya Stendi ya Mkoa, Ubungo jijini Dar, John Shayo amekusanya umati baada ya kupanda juu kabisa ya daraja jipya lililopo eneo hilo na kutaka kujirusha, akihitaji Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda afike hapo kwani hakutendewa haki.

Tukio hilo lililovuta hisia za wengi lilijiri kwenye Daraja la Ubungo ambapo katibu huyo alitaka afe kwa kuwa anadai hajatendewa haki na alitaka Makonda afike amwelezee shida zake katika suala zima la ufanyaji biashara ndipo aweze kushuka la sivyo angejirusha.

Kundi kubwa la watu lilikusanyika eneo hilo huku polisi na gari lao la zima moto wakitanda wakimshangaa akiwa anazungukazunguka akisema yeye ni Mtanzania anahitaji haki ndipo walimsubiria alipokuwa akimpa mkono ndugu yake kama ishara ya kumuaga wakamvuta na kufanikiwa kumshusha.

Baada ya kushushwa, aliwekwa chini ya ulinzi wa polisi kisha akapelekwa katika Kituo cha Polisi cha Ubungo ambapo wafanyabiashara wenzake walidai kwamba alikuwa na mgogoro na mwenzake waliyekuwa wanafanya biashara pamoja. Hata hivyo, hadi mwandishi wetu anaondoka kituoni hapo, jamaa huyo alikuwa akitoa maelezo.

chanzo. Stori/picha: Gladness Mallya/GPL
 
Images!!
 
Unajua bwana sisi humu tunatumia simu ingawa wachache wanatumias web sasa usiwe unapost picha za fomart za ajab ajab sijui raw sijui cooked....jpg tu zinatosha hatuna mda wa kuchukua hizo picha kuzipeleka adobe photoshop ili tu tuzione
 
Shayo akiwa juu ya daraja.

Ataka-kujirusha-2.jpg

Gari la Jeshi la Zima Moto likiwa eneo hilo.

Ataka-kujirusha-3.jpg

Baadhi ya wananchi wakimshangaa Shayo (hayupo pichani).

Ataka-kujirusha-4.jpg

Shayo akiwa anavutwa baada ya kumpa mkono ndugu yake.
Ataka-kujirusha-5.jpg
Akiwa anapelekwa Kituo cha Polisi cha Ubungo.

Katibu wa Chama cha Wafanyabiasha za Mezani katika maeneo ya Stendi ya Mkoa, Ubungo jijini Dar, John Shayo amekusanya umati baada ya kupanda juu kabisa ya daraja jipya lililopo eneo hilo na kutaka kujirusha, akihitaji Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda afike hapo kwani hakutendewa haki.

Tukio hilo lililovuta hisia za wengi lilijiri kwenye Daraja la Ubungo ambapo katibu huyo alitaka afe kwa kuwa anadai hajatendewa haki na alitaka Makonda afike amwelezee shida zake katika suala zima la ufanyaji biashara ndipo aweze kushuka la sivyo angejirusha.

Kundi kubwa la watu lilikusanyika eneo hilo huku polisi na gari lao la zima moto wakitanda wakimshangaa akiwa anazungukazunguka akisema yeye ni Mtanzania anahitaji haki ndipo walimsubiria alipokuwa akimpa mkono ndugu yake kama ishara ya kumuaga wakamvuta na kufanikiwa kumshusha.

Baada ya kushushwa, aliwekwa chini ya ulinzi wa polisi kisha akapelekwa katika Kituo cha Polisi cha Ubungo ambapo wafanyabiashara wenzake walidai kwamba alikuwa na mgogoro na mwenzake waliyekuwa wanafanya biashara pamoja. Hata hivyo, hadi mwandishi wetu anaondoka kituoni hapo, jamaa huyo alikuwa akitoa maelezo.

chanzo. Stori/picha: Gladness Mallya/GPL

Mtu wa kujirusha haagi ndugu Kwa kutoa mkono
 
Shayooo nduguu yanguu ungejirushaa tuu. Tungesema wote tujiue kisa upuuz mdogo mdogo huu si makaburi ya kinondoni yangeshafika manyanya? Foolish Shayo
 
Huyu alitakiwa baada ya kushushwa achapwe kwanza bakora za kutosha hapo hapo mbele ya kadamnasi. Ina maana kama ana madai yake ya msingi alishindwa kutumia utaratibu wa kawaida kama kwenda ofisini kwa huyo mkuu wa mkoa aliyemhitaji?
 
mkuu, kinaitwa kikosi cha zima moto na uokoaji kwa hiyo walikwenda kuokoa na sio lazima kuzima moto. kama nimekuelewa vyema.
 
Huyo matatizo yake yasitatuliwe ikiwezekana aongezewe matatizo,
akipata suluhisho itatoa ujumbe kwa vijana wengine kwamba mambo yakiwa magumu nenda kaning'inie kwenye mabango huku ukitishia kujiua watakuja wasamaria wema na kukushusha halafu utapata msaada.
 
Teh,kwa hiyo hao zimamoto walienda kuzima hasira za bwana Shayoo. ?!?!
Hayo magari yalikua na maji kweli au ndio walitumia hasira extinguisher!
 
Tanzania ni nchi ya kipekee, Yani mtu anaenda tishia kujiua sehemu nzuri hivyo
 
Huyu alitakiwa baada ya kushushwa achapwe kwanza bakora za kutosha hapo hapo mbele ya kadamnasi. Ina maana kama ana madai yake ya msingi alishindwa kutumia utaratibu wa kawaida kama kwenda ofisini kwa huyo mkuu wa mkoa aliyemhitaji?
we unadhani kila matatizo yanatatuliwa kwa kufuata utaratibu! kufanya hivyo napo kuna express kiyu kumbuka yule aliyejichoma moto Tunisia
 
Kwa nini asingeenda kwa Makonda na kumwambia kuwa "usipotatua tatizo langu najichoma kisu hapa ofisini kwako"?
Hilo halikuwa igizo la Bongo movie kweli? isije ikawa watu wamehusika kwenye scene bila ridhaa yao. Ngoja tusubiri movie mpya itakayotoka kama itakuwa na kipande hicho.
 
Back
Top Bottom