Mfalme wa ashanti kaja kupatanisha mkapa na kikwete?

RICHEST

Member
Jun 23, 2011
25
16
Kuna uvumi kuwa mfalme wa Ashanti GHANA yuko nchini kujaribu kuwapatanisha Mkapa na Kikwete wamalize tofauti zao kiutu uzima chini ya usuluhishi wake.Sijui ni kweli
 
kazi kweli kweli kumbe ndo hivyo nilifikiri kaja kuchunguza sehemu za kuwekeza..
 
Mfalme wa Ashanti ni nani?...coz Ghana inaongozwa na Raisi na si mfalme(though Ashanti ni mojawapo ya jimbo la Ghana). Huo ujio wake wa kiserikali au ni personal?
kazi kweli kweli kumbe ndo hivyo nilifikiri kaja kuchunguza sehemu za kuwekeza..
 
Alafu jamaa (huyo mfalme) anavaa gold jewelry sijapata ona... pete, bangili kibao

si unajua Ashanti ni kitovu cha migodi si ajabu kukuta mfalme wao kakalia kigoda cha dhahabu pure, huyu kaja na ishu za kuiba ama mambo yale ya kienyeji
 
Kwani wana bifu gani au baba rich kaingilia maslahi ya kaka yake nini.
 
kaz kwel kwel ila nshawah kusoma kuwa tz ndio nchi yenye mgodi mkubwa wa gold ukitoa pale ashanti utakua wao 2.
 
Back
Top Bottom