Mfalme HERODE Na RC wa Dodoma...!

Magamba wanaisaidia sana CDM kupata umaarufu kwa kukurupukakuchukua maamuzi yenye kutumia fikra za zima moto!
 
Paka, hawa watu sasa wanaweweseka hawajui hata washike tawi gani ili wasalimike maana tufani inayovuma ni kubwa sana.
 
Kakosea kabisa! hizo ni hofu ambazo haziwezi kusaidia mimi nlishangaa sana hiyo amri, kwanza hata alivyokuwa anaongea ni kama vile kuna shinikizo fulani toka mahali, ile ilikuwa siyo akili yake katika kutangaza ile marufuku. Lakini hakuna haja ya kuwa na hofu nao wafike mahali wachane na ile kauli ya kusema ccm ina wenyewe na wenyewe ni wao.Na watekeleze ahadi zote walizoahidi wananchi yaani maisha bora kwa kila Mtanzania waone kama hawatapendwa.
 
Msemo ule wa "mfa maji" unasadifu hapa. Hata jani likipita analing'ang'ania kwamba litamwokoa!! Wakuu wa mikoa/wilaya wanaongeza kichefuchefu.
 
Itabidi Mecky Sadick nae azuie mikutano Dar wkt wote, maana kuna Ikulu, wizara zote, ofisi za mabalozi, na muda wote wako Dar, na polisi wa Kanda maalum hawawezi kujigawa kuwalinda hao, na pia waende mikutano ya kisiasa.
 
Wekeni CV yake humu, tusipoteze Muda kumjadili mtu ambaye ana CV kimagamba magamba!

CV siyo ishu kama ni CV hata Kikwete ana digrii halali ya uchumi, hebu angalia alivyoupiga kidole uchumi wetu.
 
kwa nini
apige marufuku mikutano ya kisiasa tu?vp mikutano ya injili? Wamechemka vibaya.to hell with her.
 
wekeni cv yake humu, tusipoteze muda kumjadili mtu ambaye ana cv kimagamba magamba!

alikuwa mhadhiri pale mlimani idara ya historia. Ninachojua phd yake ameipata kwa kusomea mambo ya beauty (uzuri). Hata sijui kaipataje na sijui inamsaidiaje. Hebu fikiria msomi mzima anaenda kusoma mambo ya uzuri na aliporudi hakuwa hata na somo la maana la kufundisha kutokana na akichokisomea kutomsaidia kwenye ufundishaji.
 
Sababu anazotoa kuzuia mikutano ni dhahili inawalenga makamanda wa CDM coz sababu zenyewe hazina mashiko kabisa hata mtoto mdogo hawezi kukubaliana nazo. Mama(RC Dom) its too late, hata kwenye mkutano wa jana wenyewe ni dhahiri kwamba muiitayo ngome ya CCM(Dodoma) soon mtakuwa chama cha upinzani. Watu wamewachoka na mnapozidi kuwanyima haki ya kufanya mikutano mnazidi kujichimbia kaburi lenu nyie wenyewe bila kujua.
 
Ukitaka kujua huyu RC ni zuzuuu tu chama kubwa CHADEMA waitishe mkutano wa hadhara uone idadi kubwa ya polisi watakao mwagwa kuzuiya huo mkutano. Hovyo kabisa huyu dem wa mshikaji.
 
Hivi na wale wageni wa wakubwa wanaovizia bunge lifungulie ndio waingi Dodoma amewakataza? Namaanisha ile chakula ya wabunge ile, MACHANGUDOA.
 
RC amekiuka katiba ambayo inampa mtanzania haki ya kukusanyika pamoja bila ya kuvunja amani.. Anachofanya inawezekana anafikiria kinaweza kumsaidia yeye na hao waliomtuma bt ukandamizo ciku zote unakuwa na mwisho wake.. Makaburi walidhani wangebakia madarakani mpaka leo.. Walikosea.. KANU ya Moi walidhani watakaa madarakani.. Wako wapi.. Mifano ni mingi.. Hakuna aliefanikiwa.. So hata yeye atambue hilo..
 
Back
Top Bottom