Mfadhili wa CCM ajiunga na CHADEMA

Utoto ni kitu kibaya sana.
Haya mambo ndio yanaleta madhara na uanzishwa na watu wenye akiri za midhaaa kama wewe.

Sito uliza umri wako!

Lengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.
 
Sijui mzee wassira ana jisikia vipi kuona mwaka una katika lakini chama kiko himara na kinazidi kuimarika!

Bravoooooooooooooooooo CDM
 
Nimefungua huu uzi kwa kasi ya ajabu kumfahamu huyo mfadhili wa CCM nilidhani Sabodo, kumbe jamaa wa Mpwapwa.
 
Kwa kweli huyu Benson Kigaila ni finiko jamani tuache utani afu ana ujasiri wa hali ya juu mno!!! Yaani kutwanga kotekote mpaka T CDM 2015
 
Nimefungua huu uzi kwa kasi ya ajabu kumfahamu huyo mfadhili wa CCM nilidhani Sabodo, kumbe jamaa wa Mpwapwa.
Acha Dharau wewe!!!!!! hao ndio waliokuwa mizizi ya CCM huko Mpwapwa Acha kukurupuka kama mlevi wa Dengelua na pombe za minazi
 
Lengo letu sote waTanzania wote wa dini zote wa makabila yote ku ungana na kuitetea nchi yetu na kuikomboa na kujikomboa kutoka ktk utawala dhalim badala yake kumbe watu wengine wanafikir ktk mrengo wa kushoto'KAMA NI HIV SAFAR BADO NDEFU'
 
Ni kweli jana pia nilikuwepo Mpwapwa Mkutano ulifanyika ktk uwanja wa mashujaa na ulifana sn. Pia CCM walikuwa na mkutano wao Eneo wanaita Kikombo na ulikuwa na watu wachache sn.
Mkuu unatakiwa utupie na picha kidogo watu tuburudike vizuri.
 
Lengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.
Mtabaki na ujinga huohuo Chadema inasonga mbele kwa kasi. Ili uamini subiri matokeo ya chaguzi hizi za marudio. Anyway,vipi maandamano yenu jana kumtoa Ponda mlifanikiwa?



Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kuna haja ya CHADEMA kuigeuza Dodoma kuwa kitovu cha vuguvugu la mabadiliko kwa kuzingatia kuwa ni mkoa wa katikati ya nchi, ''makao makuu'' ya Chama tawala na serikali, kuna bunge la Tanzania na kuna chuo kikuu kikubwa cha umma.
 
Twanga kotekote, Dodoma pokeeni mabadiliko, viva chadema na makamanda msidanganyike na tisheti na kanga ziwatese miaka ya utumwa
 
Acha Dharau wewe!!!!!! hao ndio waliokuwa mizizi ya CCM huko Mpwapwa Acha kukurupuka kama mlevi wa Dengelua na pombe za minazi

Unajua maana ya dharau wewe kwa akili yako unaweza kumlinganisha huyo jamaa wa Mpwapa na Sabodo?
 
Back
Top Bottom