Mfadhaiko

Red: Kwa hiyo unanithibitishia kwamba penye urembo kuna ujinga ndani yake?? I mean kila mwanamke anayeusaka urembo basi anajipeleka ujingani bila kupenda

Ndio maana nikasema baadhi ya kina dada haimaanishi wote.

Pink: unajua homons za kike na kiume ziko tofauti hata uumbikaji wake. ukiniletea skeletones full naweza kukuambia ipi ya kike na ipi ya kiume. hivyo basi uumbikaji wa makalio nao hutegemea structure ya mifupa na mshikizo wa misuli. kwa hiyo mwanamume kuota híps na makalio makubwa ni nadra na si common kutokana na maumbile. ila kwa mdada bwana.... haha utakoma mwenyewe. Sema UNATAKA majaribio?

ok. thanx
 
Hivi Mwana vp ukikumbana na jamaa wa mfadhaiko tena mbele kwenye mewata itakuwaje?
 
Wakulazimishwa nani?wewe msanii!!! hata kwa tingatiga haunishawishi wewe ni mzee wa kuji express your self hauwezi ngoja ulazimishwe mazee, uliikula hiyo kitu kwa ridhaa yako....LOFL!!!!

Binafsi kwa jinsi alivyo na maneno yake,msanii anaonekana ni mtu wa zantel tuu,uwa hataki zaidi.Angekuwa fidel,ningekubali.
 
Hivi Mwana vp ukikumbana na jamaa wa mfadhaiko tena mbele kwenye mewata itakuwaje?

. Mungu naomba apitishie mbali. Fidel haya mambo bwana si ya kuyafikiria hata. Muda si mrefu wahanga wataanza kuwa wanaume mara jibaba umepanga foleni ya Luku afu mwenzio anamalizia nyuma yako duh....
 
Umejirudia upya ndani ya bongo. Hawa wanawake wanajifanya kumaindi kudandiwa ndani ya daladala, mbona faraghani wanadandiwa, tena bila nguo? Ingekuwa vipi kama ndio wanawake wangekuwa na mfadhaiko wakawa wanajisugulisha kwa wanaume ndani ya daladala. Wanaume wangemaindi na kuripoti polisi?
Wakinadada nao uwa wanapata sijui ndo tuuite mfadhaiko au nini.Naweza kukupa mfano,nilipokuwa chuo nilikuwa nakaa mabibo na sikuwa na tabia ya kukiexpose kifua changu hasa pakiwa pana mabinti,tukiwa wenyewe uwa ninajiachia tuu.Nikijua tuko wenyewe,siku hiyo nilikuwa kifua wazi.Kumbe kuna binti tulikuwa tukisoma nae alikuwa amekuja chumba cha jirani,nikawa nimeenda katika chumba hicho nikagonga.Yeye ndo alikuwa mlangoni,si ndo kuniona kifua wazi,alipoteza kama sekunde ishirini hivi kisha akaanza kujifaraagua.Hapo ndipo nilipogundua kumbe nao uwa wanapatwa na mshtuko wakiziona baadhi ya sehemu za mwili za mwanaume.
 
Ni nature kuwa wanawake (karibuni wote) wameumbwa kujipenda - kujirembesha miili yao - of course inapokuwa extreme ndio mbaya - ukiacha mambo ya kumeza dawa ku-umua mwili au kufanya operations za kubadili jinsia - ila wanawake wanatengeneza nywele, wanapaka make-ups etc. na wanaume pia wanashave, wanakata nywele different styles etc. - hiyo ni normal - ndio maana Binadamu ni tofauti na mnyama - PIA WANADAMU SAA INGINE WANAKUWA HAWARIDHIKI - NDIO MAANA MVUA IKINYESHA WANATAKA JUA - JUA LIKIWAKA WANATAKA MVUA - BARIDI/JOTO ETC. NA hivyo weusi wanataka weupe - weupe nao wanataka brown - wanakaa kwenye jua ngozi ziwe brown - ili mradi tu toka enzi za Adamu ni mahangaiko ya mwanadamu - Kama Mungu amekujali kukupa moyo wa KIASI katika kila jambo - MSHUKURU MUNGU SANA
 
. Mungu naomba apitishie mbali. Fidel haya mambo bwana si ya kuyafikiria hata. Muda si mrefu wahanga wataanza kuwa wanaume mara jibaba umepanga foleni ya Luku afu mwenzio anamalizia nyuma yako duh....

hahahaha kama umejaliwa nyuma lazima watu wanakulia timing usipande daladala uwe unakodi bajaj tu mpaka nyumbani maana unaweza ukashangaa unarudi home mzee anakuta gauni au sketi imelowa duh hata kuelewa hata umueleweshe vp na akiona vitu vinateleza unarudi kwenu na mfuko wa rambo.
 
Yeye ndo alikuwa mlangoni,si ndo kuniona kifua wazi,alipoteza kama sekunde ishirini hivi kisha akaanza kujifaraagua

Mkuu nini kiliendelea hukumpindua jamaa au hakukutafuta?
 
hahahaha kama umejaliwa nyuma lazima watu wanakulia timing usipande daladala uwe unakodi bajaj tu mpaka nyumbani maana unaweza ukashangaa unarudi home mzee anakuta gauni au sketi imelowa duh hata kuelewa hata umueleweshe vp na akiona vitu vinateleza unarudi kwenu na mfuko wa rambo.

....... Na hasa kama hana ustaarabu wa kuelewa yeye akiona hayo hatakubali kuwa ni masaibu yamekukumba awezauliza 'kwa nini ufanyiwe wewe ina maana daladala zima mwanamke ulikuwa peke yako?' duh kaaaazi kwerikweri.
 
Binafsi kwa jinsi alivyo na maneno yake,msanii anaonekana ni mtu wa zantel tuu,uwa hataki zaidi.Angekuwa fidel,ningekubali.

...Mnaniteta vibaya wakuu.
mimi sipendi migongo labda mwanamke anilazimishe saaaana. Dira yangu inapiga mbele tu. Labda mhusika aishike na kuiingiza ktk kapu la mbolea.
 
Mwanajamii unaposema Thanx inamaana umekubali majaribio???
nibip nitakutwangia walah
 
FIDEL
hawa watwana wanakuonamtulivu wakati sooote hapa tukisikia harufu ya mboji tunajua mzee wa mbolea umeingia jamvini.
 
Mwanajamii unaposema Thanx inamaana umekubali majaribio???
nibip nitakutwangia walah

Yalhwaaa ina maana sikusoma post yako hadi mwisho? umetoa hiyo ofa?

Hapana mkuu duh umenipata kweli. Nway aksante sana kwa ofa mheshimiwa hayo ni makubwa sana kwangu.
 
FIDEL
hawa watwana wanakuonamtulivu wakati sooote hapa tukisikia harufu ya mboji tunajua mzee wa mbolea umeingia jamvini.

Hahahaha umeniacha hoi mi ni mzee wa kule kuleeeeeeee kama kawa unajipendelea tu na umoto umoto wa kule mzee usipime.
 
Hivi makalio yetu yanawazingua nini zaidi?

Hayo bwana we acha tu mi nikiona tu hata mapigo ya moyo iwa yanaenda kwa kusua sua napata hata taaabu kupumua haswaa lile linalo tepeta mmmh safi sana kwa TG.maana linakuwa lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Shost hebu waulize watujuze haikawii mtu kukuvua nguo pasipo we kujua. Watembea barabarani kumbe jitu linakukodolea macho wesereee lako huku likiwaza mambo ya faragha ah. Wana mana hawa? (Joke)

...mara nyingine nakuwaga na vipindi virefu bafuni (vya kutafakari) kila nionapo MKIA ulionona walah
 
Back
Top Bottom