Meya wa Sumbawanga

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,856
371
Kuna tetesi za kujiuzuru meya wa manispaa ya sumbawanga bwana kisagwite(ccm). Nafuatilia uzuri, saa5 asubuh kesho inshalah ntawapa full data.
 
Meya wa Manispaa ya S u m b a w a n g a , Samweli Kisabwiti kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo kwa madai ya kulinda heshima yake binafsi na ya chama chake. Akizungumza nyumbani kwake jana mjini hapa, Kisabwiti alisema amefikia uamuzi huo baada ya kutambua kwamba meya ni mtu muhimu sana katika kufanya kazi kwa ufanisi na anahitaji muda wa kutosha ili ajifunze. ''Kwa hiyo nimeona nipate muda wa kujifunza na kupata uzoefu kupitia nafasi yangu ya udiwani wa Kata ya Katandala na kupitia vikao mbalimbali.

"Nimeona ni vema nikaachia ngazi ili kutoa nafasi kwa wengine wenye uzoefu kwani nafasi hiyo ni nyeti sana na inahitaji uzoefu na elimu ya kutosha,'' alisema.
 
Mijitu mingine...aaaarrrg ina maana kabla ya ku run kwa umeya hakujua discription zake? Kama ametoka kwa shinikizo flani ningeelewa sio hio poor statement.
 
:clap2:Hongera unafaa kuwa kiongozi, baada ya kujifunza ama huko hakufaai kabisa nenda CDM
 
Sasa kwa nn hakulijua hilo tangu mwanzo??.......au kuna shinikizo toka ngazi za juu?.......ila ni vema kawa mkweli kuliko angekuja kuharibu hapo mbeleni
 
Meya wa Manispaa ya S u m b a w a n g a , Samweli Kisabwiti kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo kwa madai ya kulinda heshima yake binafsi na ya chama chake. Akizungumza nyumbani kwake jana mjini hapa, Kisabwiti alisema amefikia uamuzi huo baada ya kutambua kwamba meya ni mtu muhimu sana katika kufanya kazi kwa ufanisi na anahitaji muda wa kutosha ili ajifunze. ''Kwa hiyo nimeona nipate muda wa kujifunza na kupata uzoefu kupitia nafasi yangu ya udiwani wa Kata ya Katandala na kupitia vikao mbalimbali.

"Nimeona ni vema nikaachia ngazi ili kutoa nafasi kwa wengine wenye uzoefu kwani nafasi hiyo ni nyeti sana na inahitaji uzoefu na elimu ya kutosha,'' alisema.

Hizi sababu zake haziridhishi?, ilikuwaje akagombea bila hata kujua majukumu yake?

Je ccm hawajui ni watu gani wanawapitisha au alikuwa mgombea pekee?

Siasa ni mchezo......!

Back
Top Bottom