Meya wa Jiji la Mwanza (CHADEMA) asimamishwa kwa ufisadi

This New Mwanza RC has issues with CHADEMA; firstly he wanted to in-prison some of CHADEMA ward Members in

Mwatex area now he participated in nullification of MWANZA'S MAYOR;

Amefanikiwa sababu kapata Mwanya wa kushikilia Ugomvi wa Madiwani wa CHADEMA Mwanza...
 
Hongereni sana madiwani wa CDM jiji la mwanza kwani mpo wengi na ndio mliofanikisha hilo zoezi kukamilika ingekuwa na CCM ingebidi eti NEC ikajadili kwanza kwa kweli hili ni fundisho kwa Halmashauli na Majiji yote yaliyo chini ya CCM kuwa madiwani kwenye mambo yanayohusu sehemu zao waachwe wafanye kazi.
 
Vipi kuhusu Ezekiel Wenje? nayeye ana allegations nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa zinahusiana na utendaji mbovu wa huyo meya Manyerere aliye pigwa chini na madiwani
 
Hii Heading siyo sahihi..ni upotoshaji. Amesimamishwa kwa UDHAIFU na siyo UFISADI. Please change
 
Kadiri siku zinavyoenda CDM inajidhihirisha wazi kuwa ni chama cha wasaka fedha c mmeona kuanzia Slaa,Mbowe,Zito na sasa madiwani bado hadi kufikia 2015 tutawaona watakapofikia kidumu chama cha mapinduzi kidumuuu

Mikingamo ni sauti ya uma, tuambie nani, yuko wapi, na anafanya nini? Hah hah hah.... ni enzi hizoooo! Cdm oyee
 
Chagulani aliporipoti mabaya ya Manyerere alipingwa vikali na kuonekana kibaraka wa magamba, leo hii kapigwa chini sisikii magamba, nasikia cdm ikisifiwa, ninachokiona mimi ni yaleyale ya magamba, badala ya kutetea nchi kinatetewa chama, naona muda wa mgombea binafsi umewadia
 
hongera madiwani chadema kwa kuchukua hatua. Leadership is all about accountability, integrity etc
 
Chadema kinapinga na kupigana na ufisadi wa aina yoyote utakaofanywa na yeyote.

Ni kweli Manyerere ameharibu na madiwani wenzake wamemwajibisha, asilimia kubwa ya madiwani ni CDM,hivyo kusema CCM wamempiga chini si kweli.

By da way cash haishikwi na meya kiasi kwamba yeye apeleke makao makuu ya CDM.

Hii halmashauri noma, wamepiga bil 3 za BOT, amepita mil 250 za NSSF, wameuza eneo la mazalia ya samaki na kujenga night clubs za Jembe ni Jembe na Charcoal ribs, wamebinafsisha barabara kwa wahindi, wamejenga barabara ya kwenda hotel ya Malaika kwa kiwango cha lami huku wakazi wa kiseke PPF wakihangaika na mashimo ya barabarani.
 
Back
Top Bottom