Meya wa Jiji la Mwanza (CHADEMA) asimamishwa kwa ufisadi

cdm kumbe nao wachumia tumbo,ukomboz wa kwl utatoka wapi sasa?cdm inaanza kupoteza dira,watu wenu wameanza mapema je mkipewa nchi?wananchi waende wapi sasa?

Kweli huna akiri kusoma umeshindwa hata kuona tu umeshindwa
 
Mods tuletee ile thread ya yule diwani wa CDM aliyetoa tuhuma kwa Meya na watu wakawa wanamdhihaki humu. Sasa aliyokuwa anayasema yametia.
 
Meya wa Jiji la Mwanza Josephat Manyerere wa CHADEMA amefukuzwa ktk nafasi yake leo na madiwani akituhumiwa kukiuka kanuni za uongozi kwa kushindwa kuiendesha vema Halmashauri yake.

Zimepigwa kura 20 za kumkataa na kura 8 tu ndizo zilizomtetea.

Siku kama 4 zilizopita alitakiwa na madiwani wa chama chake (CHADEMA) ajiuzulu kulinda heshima ya chama lakini akakataa.

Gazeti la Mtanzania la Julai 23 lilitoa taarifa ya Meya huyu kupewa siku 4 aachie ngazi

Habari kwa kirefu itafuatia

nimesikiliza habari yote,na wala haihusiani na ufisadi...ss hyo heading vip mtoa mada
 
Kadiri siku zinavyoenda CDM inajidhihirisha wazi kuwa ni chama cha wasaka fedha c mmeona kuanzia Slaa,Mbowe,Zito na sasa madiwani bado hadi kufikia 2015 tutawaona watakapofikia kidumu chama cha mapinduzi kidumuuu
 
Hili ni fundisho kuwa ufisadi ni hulka ya mtu na sio sera rasmi ya chama fulani. Kama umejiunga na chamaa fulani kwa kuamini kuwa huko hakuna ufisadi, basi jiandae kuvunjika moyo. Penye kundi kubwa la watu, tabia zote zipo.
 
Taarifa ya madiwani wa Jiji la Mwanza kumsimamisha Meya Manyerere (Chadema) baada ya kuombwa kujiuzulu kwa hiari kupitia madiwani wa chama chake (CDM) ambao ndio wengi, kunadhirisha jinsi Chadema kinavyosisitiza uwajibikaji kwa vitendo.

Taarifa hii imenikumbusha jinsi Dr Hosea, Mkurugenzi waTakukuru alivyolidanganya taifa pale alipotoa taarifa ya uongo kuwa Mkataba wa Richmond ulikuwa safi lakini haikuwa sawa. Aliumbuliwa na kamati teule halafu kamati ile ikatoa mapendekezo AWAJIBISHWE lakini mpaka leo kimya.

Watz tukitaka mabadiliko ya kweli ya nchi yetu ni lazima tuchague chama kingine kushika hatamu za uongozi wa nchi hii ili kuongeza uwajibikaji ktk public service!!
 
Kuna upepo mbaya unawaelekea Mameya/ wenyeviti wa Halmashauri maana kesho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga atakuwa kikaangoni. Tayari madiwani 24 kati ya 34 wameshaweka sahihi za kumng'oa akituhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi. Maandalizi ya kikao yamekamilika
 
uzuri wa cdm ,inatanguliza maslahi ya taifa wamemwajibisha mwenzao,ingekuwa ccm hapa wangeunda tume kwanza ya kusafishana na kukodi wakina mary chatanda kujza column.
 
Mods tuletee ile thread ya yule diwani wa CDM aliyetoa tuhuma kwa Meya na watu wakawa wanamdhihaki humu. Sasa aliyokuwa anayasema yametia.

Kaka Kimbunga kweli mods wangefanya jitihada watuletee hiyo thread tujadili.
 
Last edited by a moderator:
Mods tuletee ile thread ya yule diwani wa CDM aliyetoa tuhuma kwa Meya na watu wakawa wanamdhihaki humu. Sasa aliyokuwa anayasema yametia.

Kaka Kimbunga kweli mods wangefanya jitihada watuletee hiyo thread tujadili.
 
Last edited by a moderator:
cdm simamieni uwajibikaji hata kama itamaanisha kupunguziwa luzuku.....onyesheni mfano
 
Nilichofurahia hapa na kupata imani kubwa ni kuwa, hakuna kutetea chama, kinachotakiwa ni kutetea maslahi ya wananchi wote kwa ujumla
 
Mapeeeeeema gwanda limerowa jasho, kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Kaka Kimbunga kweli mods wangefanya jitihada watuletee hiyo thread tujadili.

Mkuu nimeitafuta nimeipata naona nimeihuisha. Jamaa alitoa tuhuma nyiiiiingi zikiwemo za Manyerere kuwa mdini.
 
Last edited by a moderator:
Sat, Jul 28th, 2012

Tanzania |

Mwanza City mayor, Josephat Manyerere was given a vote of no confidence at councillors' meeting for purportedly failing to execute his responsibilities.

Deputy City mayor, Charles Chinchibela told journalists that 20 councillors voted against the mayor, while eight were in support of the mayor."The meeting that convened today (Friday) here in Mwanza overwhelmingly agreed that Mr Manyerere has been incapable of executing his duties as the mayor, and thus from today onwards he is no longer the city mayor," says Mr Chinchibela.

Sources say that Mr Manyerere, who is the councillor for Nyakato Ward in Ilemela district, was also accused of taking arbitrary and unilateral decisions.Reliable sources also hinted that he failed to promote unity among the councillors and made decisions that were not conducive to public good.

Mwanza Regional Commissioner (RC,Eng Evarist Ndikilo attended the meeting, said that the decision taken by the councillors explicitly adhered to stipulated rules and procedures and, "We are very optimistic that there would be some positive changes in the near future, and it is important that leaders make decisions for the public interest," says Eng, Ndikilo.

The sacked mayor told reporters that he respects their decision, but claimed that he is innocent and that the sacking is based on what he perceives as "political shenanigans" "Whoever becomes the new mayor will fail to work effectively due to some negative forces here," he claimed.

By MOSES MATTHEW
, Tanzania Daily News







 
Back
Top Bottom