Elections 2010 Meya wa CCM Gaudence Lyimo a.k.a Gaimo na mapadre wakongo

Something wrong kwa kweli. Na hiyo something ndiyo hii tunakuambia leo ujue ni kwa nini pamoja na kuhujumu uchaguzi huyu naye ni fake kimaadili. Alikuwa Diwani pia na madudu aliyofanya huko yataletwa muda sii mrefu.


Kuna tetesi kwamba huyo Bwana haonekani nymbani kwake Oloirien. Wenye taarifa watujulishe.
 
Unajua kila mtu anahisia zake kwa kila jambo limpatalo sisi kama sisi binadamu hatuwezi kuhusha jambo hilo, mwenye kujibu laana Ni Mwenye enzi kuu, Sisi kama binadamu tunakutana matukio yasiyotazamiwa kila wakati (unexpeted occurence) ambazo siyo fate au laana inaezekana uzembe au kuvunja kanuni fulani kwa makusudi au bilakutazamia so tukiwa kama Great thikers lazima tuwe makini na hisia kama hizo.
 
Usicheze na watu wa Mungu kama Makamba na Msudani a.k.a Mary chatanda anavyofanya.
 
Rafiki yetu ama kweli wewe ndo crap, ushahidi wote huo unaotolewa na wadau wewe bado unang'ang'ana na hoja za kijinga huku unajificha katika u great thinker? Toka lini crap akawa great thinker? Matope matupu!

Do you call urself a great thinker?.
cmon Nj be in ur age, unazungumzia "ushahidi wote unaotolewa" ushahidi gani unaozungumzia wewe? kuna ushahidi wowote unaoonyesha Mungu ametoa hukumu kwa kukwama na mfupa, kuumwa miguu, na mauaji ya arusha kwa wale wote walio wanyanyasa maaskofu wa congo?.
Unataka tuamini fujo za arusha ni matokeo ya kunyanyasa maaskofu wa congo?.
Yawezekana hujaelewa post zangu hebu try to read btwn lines utanielewa namaanisha nini
 
Usicheze na watu wa Mungu kama Makamba na Msudani a.k.a Mary chatanda anavyofanya.

Lakini mkuu kuingilia siasa si ndio matokeo yake.
Siasa is about kuchafuana ili wewe uonekane msafi, sasa hao maaskofu wanapoingia huko wawe tayari kwa hilo na katika hili msilete double standard. maadam wameamua hivyo lazima mjue kuwa huo utakatifu mbele ya siasa hauna nafasi.
SIASA NI MCHEZO MCHAFU
 
Do you call urself a great thinker?.
cmon Nj be in ur age, unazungumzia "ushahidi wote unaotolewa" ushahidi gani unaozungumzia wewe? kuna ushahidi wowote unaoonyesha Mungu ametoa hukumu kwa kukwama na mfupa, kuumwa miguu, na mauaji ya arusha kwa wale wote walio wanyanyasa maaskofu wa congo?.
Unataka tuamini fujo za arusha ni matokeo ya kunyanyasa maaskofu wa congo?.
Yawezekana hujaelewa post zangu hebu try to read btwn lines utanielewa namaanisha nini

Ukweli ni kuwa post zako huwa zinanitia kichefuchefu tu, nashindwa kujua kama unapokuwa unaziandika huwa umelewa au mzima. Ama kweli hata huyo Mary Chitanda ana wenye akili kama zake wengi tu, tutaendelea kuliombea Taifa letu lisiendelee kuwa mikononi mwa watu dhalimu kama ninyi!
 
Lakini mkuu kuingilia siasa si ndio matokeo yake.
Siasa is about kuchafuana ili wewe uonekane msafi, sasa hao maaskofu wanapoingia huko wawe tayari kwa hilo na katika hili msilete double standard. maadam wameamua hivyo lazima mjue kuwa huo utakatifu mbele ya siasa hauna nafasi.
SIASA NI MCHEZO MCHAFU

Na haya ndo maneno ya watu dhalimu CCM, mnapenda kuwadanganya watanzania kuwa siasa ni mchezo mchafu, lakini ukweli ni kuwa ninyi ndio watu wachafu, na sasa mnanuka hasa! Fikra hizo za siasa ni mchezo mchafu ndizo zinazowafanya mtoe rushwa, kung'ang'ania madaraka na hata kuua watu kwa ajiri ya kuendelea kukaa madarakani kwa malengo ya kuendelea kujinufaisha huku wananchi wakiendelea kutopea kwenye umaskini. Ole wenu!
 
Sometimes tunapata shida na watu kumbe wana laana zao,hata kwa ndugu ukikuta mtu alisemewa neno na baba yake au mtumishi waga wanakuwa ni mzigo sana kwa familia sasa ndo ya huyu?Gaudence ni contractor mkubwa,hawezi kuwa safi kuwa hapo alipo na kung'ang'ania kubaki hapo,anawekwa hapo na wala rushwa wenzie ambao wanajua Arusha ikienda upinzani mengi yatafichuka na mapato yao yatakuwa mashakani,it is as simple as that.
Kama ni kweli alifanya hayo kwa watumishi wa MUNGU aliye hai, basi Mstahiki Meya ni vyema autumie huu wakati wa neema , akumbuke ni wapi akoanguka , atubu na kuyarejea matendo ya Kwanza , Otherwise , hiyo laana itamwandama vizazi kadhaa..
 
Unajua kila mtu anahisia zake kwa kila jambo limpatalo sisi kama sisi binadamu hatuwezi kuhusha jambo hilo, mwenye kujibu laana Ni Mwenye enzi kuu, Sisi kama binadamu tunakutana matukio yasiyotazamiwa kila wakati (unexpeted occurence) ambazo siyo fate au laana inaezekana uzembe au kuvunja kanuni fulani kwa makusudi au bilakutazamia so tukiwa kama Great thikers lazima tuwe makini na hisia kama hizo.

Here are some men and women who mocked God :

Tancredo Neves (President of Brazil ):

During the Presidential campaign, he said if he got 500,000 votes from his party, not even God would remove him from Presidency.
Sure he got the votes, but he got sick a day before being made President, then he died.

Cazuza (Bi-sexual Brazilian composer, singer and poet):

During A show in Canecio ( Rio de Janeiro )
while smoking his cigarette, he puffed out some smoke into the air and said:'God, that's for you.'
He died at the age of 32 of LUNG CANCER in a horrible manner.

The man who built the Titanic
After the construction of Titanic, a reporter asked him how safe the Titanic would be.

With an ironic tone he said: 'Not even God can sink it'
The result: I think you all know what happened to the Titanic

Bon Scott (Singer)
The ex-vocalist of the AC/DC. On one of his 1979 songs he sang:

'Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'.
On the 19th of February 1980 , Bon Scott was found dead, he had been choked by his own vomit.



Campinas (IN 2005)

In Campinas , Brazil a group of friends, drunk, went to pick up a friend.....

The mother accompanied her to the car and was so worried about the drunkenness of her friends and she said to the daughter holding her hand, who was already seated in the car:

'My Daughter, Go With God And May He Protect You.'
She responded: 'Only If He (God) Travels In The Trunk, Cause Inside Here.....It's Already Full '

Hours later, news came by that they had been involved in a fatal accident, everyone had died,

the car could not be recognized what type of car it had been, but surprisingly, the trunk was intact.
The police said there was no way the trunk could have remained intact. To their surprise, inside the trunk was a crate of eggs, none was broken

Christine Hewitt (Jamaican Journalist and entertainer)
said the Bible (Word of God) was the worst book ever written.

In June 2006 she was found burnt beyond recognition in her motor ve hicle.

 
Habari za kiinteligensia kutoka AR zinasema Lyimo Meya wa CCM ambaye alikuwa kiongozi katika baraza la Walei Parokia Ya Kijenge likongozwa na Marehemu Sam Mdee, na Mzee mwingine aitwae Makeba waliwanyanyasa mapadre watawa kutoka Demokrasia YA Kongo kiasi cha kuwadhalilisha mbele za waumini . Mapdre hao waliondoka baada ya kushindwa kuvumila huku wakilia machozi na kusema sala zao zitawahusu akina Lyimo, Sam Mdee na Makeba.

Hata wachangiaji mkisema ni majungu au vipi shauri yenu. Waumini wa Kijenge bila shaka ni mashahidi wa hili. Na sala za Mafadha hao kweli zimejibu. Mdee alikabwa na mfupa wa Kuku akafa two years ago. Makeba ni mgonjwa wa miguu kitandani mwaka wa pili hawezi kunyanyua mguu. Yuko kwenye wheel chair .

Lyimo kashaingiza Arusha kwenye janga la mauaji. Na bado anang'ngania madaraka ya wizi huku wakuu zake akina Makamba na Chatanda wakiwakebehi watu wa Mungu kupitia yeye.

Nawasilisha[/QUOT


Kama ni kweli yatawatokea puani. pamoja na hao polisi wanaotumika kuuwa wanadamu wenzao kama kuku.
 
huyo jamaa anatumika tu sku yake ikiisha atamiminwa na kundi hilo kuu hapa njini
 
habari za kiinteligensia kutoka ar zinasema lyimo meya wa ccm ambaye alikuwa kiongozi katika baraza la walei parokia ya kijenge likongozwa na marehemu sam mdee, na mzee mwingine aitwae makeba waliwanyanyasa mapadre watawa kutoka demokrasia ya kongo kiasi cha kuwadhalilisha mbele za waumini . Mapdre hao waliondoka baada ya kushindwa kuvumila huku wakilia machozi na kusema sala zao zitawahusu akina lyimo, sam mdee na makeba.

Hata wachangiaji mkisema ni majungu au vipi shauri yenu. Waumini wa kijenge bila shaka ni mashahidi wa hili. Na sala za mafadha hao kweli zimejibu. Mdee alikabwa na mfupa wa kuku akafa two years ago. Makeba ni mgonjwa wa miguu kitandani mwaka wa pili hawezi kunyanyua mguu. Yuko kwenye wheel chair .

Lyimo kashaingiza arusha kwenye janga la mauaji. Na bado anang'ngania madaraka ya wizi huku wakuu zake akina makamba na chatanda wakiwakebehi watu wa mungu kupitia yeye.

Nawasilisha

dua la kuku halimpati mwewe.

Meya ameshavaa joho kisharia kulivua haiwezekani labda mpate majority na kumpigia vote of no confidence.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom