Meya wa CCM akataa shangingi ataka pickup zingine zikanunulie gari za wagonjwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,031
Mi nampongeza meya wa arusha kwanza kabla ya kuhisi kichwa yake aina akili
akidai ameamua kumfwata mwenyekiti wa chadema bwa mh freeman mbowe
hivi ajui mbowe ataki hata hiyo pickup??kwanza anauwezo gani kujifananisha na mh mbowe
mhuni alieingia kwa kumwaga damu ...anyway naomba siku nyingine msijifananishe na malaika
hata sikumoja shetani awezi kuwamalaika

pengine angeulizaa hizo gari ni sh ngapi na hilo shangingi wangempa shillingi ngapi
ajui kwenye risiti zinaandikwa million 100 huku wanaletewa magari ya million 50-60
je hilo million 40 atanunua ambulance ya wagonjwa..na kama amedhamiria kwanini
asiombe pesa zote zinunulia gari ya wagonjwa hizi njaa taabuuuuuuuuuuuu
 
Mkuu Pdidy hebu jazba zikipungua jaribu kuiweka hii habari katika lugha inayoeleweka..
 
HTML:
kama kakataa gari la gharama ni vizuri tukimpongeza.

Kule Arusha na Moshi p/up ni mali kuliko shangingi teh teh teh, atabebea chakula cha kuku teh teh teh teh na majani ya ngómbe teh teh teh, huyu jamaa ni mjanja sana, haihitaji kumpongeza.
 
Mi nampongeza meya wa arusha kwanza kabla ya kuhisi kichwa yake aina akiliakidai ameamua kumfwata mwenyekiti wa chadema bwa mh freeman mbowehivi ajui mbowe ataki hata hiyo pickup??kwanza anauwezo gani kujifananisha na mh mbowemhuni alieingia kwa kumwaga damu ...anyway naomba siku nyingine msijifananishe na malaikahata sikumoja shetani awezi kuwamalaikapengine angeulizaa hizo gari ni sh ngapi na hilo shangingi wangempa shillingi ngapiajui kwenye risiti zinaandikwa million 100 huku wanaletewa magari ya million 50-60je hilo million 40 atanunua ambulance ya wagonjwa..na kama amedhamiria kwanini asiombe pesa zote zinunulia gari ya wagonjwa hizi njaa taabuuuuuuuuuuuu
Productive Malaria Sugu!
 
Mi nampongeza meya wa arusha kwanza kabla ya kuhisi kichwa yake aina akili
akidai ameamua kumfwata mwenyekiti wa chadema bwa mh freeman mbowe
hivi ajui mbowe ataki hata hiyo pickup??kwanza anauwezo gani kujifananisha na mh mbowe
mhuni alieingia kwa kumwaga damu ...anyway naomba siku nyingine msijifananishe na malaika
hata sikumoja shetani awezi kuwamalaikapengine angeulizaa hizo gari ni sh ngapi na hilo shangingi wangempa shillingi ngapi
ajui kwenye risiti zinaandikwa million 100 huku wanaletewa magari ya million 50-60
je hilo million 40 atanunua ambulance ya wagonjwa..na kama amedhamiria kwanini
asiombe pesa

Japo hujaeleweka kutokana na hasira,ila kichwa cha thread kinajieleza.Pia hatujajua source na km habari ni ya ukweli au laa! Lakini kila mtu anafanya kitu kwa target.Huyu jamaa ana kampuni ya ukandarasi tena daraja la tatu(Civil and Building contractor Class 111)-Gaimo.Sasa hapo unataka jibu tena!,Pick up kwa mkandarasi ndo mali kabisa.Unaenda site unaweka mifuko yako 10-20 ya cement huitaji kukodi pick up tena.Japo jamaa anamiliki landcluiser pick up km mbili hivi,lakini hili litakuwa na mafuta ya serikali. Juu ya gari la kutembelea atatumia prado yake tena new model.....anafanya vitu kwa mahesabu bwana!
 
Mi nampongeza meya wa arusha kwanza kabla ya kuhisi kichwa yake aina akili
akidai ameamua kumfwata mwenyekiti wa chadema bwa mh freeman mbowe
hivi ajui mbowe ataki hata hiyo pickup??kwanza anauwezo gani kujifananisha na mh mbowe
mhuni alieingia kwa kumwaga damu ...anyway naomba siku nyingine msijifananishe na malaika
hata sikumoja shetani awezi kuwamalaika

pengine angeulizaa hizo gari ni sh ngapi na hilo shangingi wangempa shillingi ngapi
ajui kwenye risiti zinaandikwa million 100 huku wanaletewa magari ya million 50-60
je hilo million 40 atanunua ambulance ya wagonjwa..na kama amedhamiria kwanini
asiombe pesa zote zinunulia gari ya wagonjwa hizi njaa taabuuuuuuuuuuuu
Mkuu umekurupuka
 
Wanaokujibu nadhani uliwapigia simu..lakini kama ni kwa habari???...siamini....kiufupi Pdidy husomeki...au umeme??
 
Pdidy japokua umekurupuka lakini mimi nahisi kasi yako ya kuleta thready hiii ulikua unaendana na speed ya kutokukatika kwa umeme lakini ujumbe umefika japokua inaleta mushkeli mimi nimeelewa kama ni kweli diwani huyu kafanya hivyo kukataa hilo shangingi na kuchukua pick up! Lakini nahisi kutokana na sera za chama cha magamba lazima watamtia adabu kwakuwa amekiuka sera za chama cha magamba kwakutokuchua hilo shangingi we subiri utakuja ona.
 
Back
Top Bottom