meya wa Arusha na madiwani pungufu, what is next

bulunga

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
303
49
Ningependa kuuliza wana JF na wajuzi wa mambo ya sheria, inakuwaje kwa development ya mambo yanayotokea Arusha, hii ni obvious yule meya "mteule" wa arusha hatakuwa na diwani mmoja kutoka chama chake ambae alihamia CDM majuzi, mbaya zaidi hata yule diwani aliyewaletea "ushindi" kutoka TLP amebwaga manyanga, hii inafanya idadi ya madiwani wa chadema wana ku wa out number madiwani wa ccm , ningependa kujua kwa hali ya kwaida huyu Meya ataweza kuendelea na wadhifa wake huo, je sheria inasemaje, pia nataka kujua uchaguzi mdogo wa diwani aliyehama chama na yule aliebwanga manyaga unatakiwa kufanyika baada ya muda gani:noidea:
 
Kaa ukijua kuwa Uchaguzi wa Meya Arusha utaitishwa very soon!
Kwa habari ya Mawazo(yule malaya wa Kisiasa), kata yake iko vacant, na uchaguzi mwingine utafanyika,...how soon, hilo ni suala la kiutawala na menejimenti ya local governments.
 
Kisheria meya bado ni halali. Ila kwa mambo yalivyo na CDM wakiacha jazba, uchaguzi wa Naibu Meya utakaofanyika hivi karibuni ndo nafasi ya kuanza kum impeach.
 
Kisheria meya bado ni halali. Ila kwa mambo yalivyo na CDM wakiacha jazba, uchaguzi wa Naibu Meya utakaofanyika hivi karibuni ndo nafasi ya kuanza kum impeach.
Sure, kwa taratibu na kanuni zote zilizoko sasa hivi CHADEMA wako safi zaidi kum impeach huyo meya na kumuondoa kwa kura ya kutokuwa na imani nae. Meya aliyeko ni lazima asome nyakati. Ana madiwani wachache kulinganisha na CHADEMA. Kwa hali ilivyosasa inaonekana wazi CCM imepoteza mwelekeo kwa Arusha na inabidi wajipange upya na kuanza mikakati mipya laa sivyo watapoteza kila kitu!
 
Ndo maana wajuzi wa siasa za serikali za mitaa hatuoni mantiki ya maandamano na vurugu zilizotokea with all these avenues.
 
Arusha hakuna meya,maana huyu meya feki (gabgo wa arusha)alichaguliwa na kikao batili,kisheria lazima kuwepo na mbili ya tatu ya madiwani wote,31,ambayo ni 21 yeye meya feki kachaguliwa na majumbe 17,pamoja na mamluki wao,
hivyo kisheria ni batili,na hakuna baraza lililoundwa arusha,na uchaguzi lazima urudiwe,kanisa na familia yake wameshamkataa hivyo hana jinsi zaidi ya kuachia ngazi
 
Japokuwa wanajifanya Kama wanahaki lakini uchaguzi lazima urudiwe kwa upya ndo hapo haki itatendeka.
 
Kisheria meya bado ni halali. Ila kwa mambo yalivyo na CDM wakiacha jazba, uchaguzi wa Naibu Meya utakaofanyika hivi karibuni ndo nafasi ya kuanza kum impeach.

inawezekana kupata kanuni zinazoongoza uchaguzi wa madiwani na mameya, ne wa awezekana vp huyo Mary Chitanda akapiga kura arusha wakati yeye ni mbunge viti maalum Tanga, hizi sheria zimekaaje:A S-cry:
 
Kaa ukijua kuwa Uchaguzi wa Meya Arusha utaitishwa very soon!
Kwa habari ya Mawazo(yule malaya wa Kisiasa), kata yake iko vacant, na uchaguzi mwingine utafanyika,...how soon, hilo ni suala la kiutawala na menejimenti ya local governments.

hahahahaha,how you hate him,may be atarudi tena sisiem baada ya mda mfupi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom