Meya wa arusha kupitia chadema ajiuzulu

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Meya wa manispaa ya Arusha aliyechaguliwa na madiwani wa CHADEMA Estomih Mallah amejiuzulu baada ya kutafakari kwa kina na kusema kwamba kung'ang'ania kukalia nafasi hiyo ni kuendelea kukiuka sheria ambazo tayari zimekiukwa na CCM.

Source: taarifa ya habari radio one saa mbili usiku.
 
Na mdudu anyeitwa serikali yupo, na yuko tu silent kuhusu kadhia hiyo...May i know...Hivi bado kuna waziri wa utawala bora kwenye baraza la mawaziri kweli, au safari hii nafasi hiyo iliwekwa kushoto?
 
Meya wa manispaa ya Arusha aliyechaguliwa na madiwani wa CHADEMA Estomih Mallah amejiuzulu baada ya kutafakari kwa kina na kusema kwamba kung'ang'ania kukalia nafasi hiyo ni kuendelea kukiuka sheria ambazo tayari zimekiukwa na CCM.

Source: taarifa ya habari radio one saa mbili usiku.

subiri next move
aejiweka pembeni kushinikiza uchaguzi mpya
subri tarehe 5
 
Manispaa ya Arusha hapatakalika mpaka atakapopatikana Meya kwa njia halali. Vinginevyo, hapatakuwa na amani kamwe.
 
kama wakuu wa Cdm wameona hivyo ni poa . Strategy ndio cha muhimu zaidi
 
sina taarifa zaidi ya hizo zilizotoka radio one. kama kuna mtu ana data zaidi atupe data.
 
Arusha inaweza ikawa si sehemu salama kama serikali itaachia haya mambo yaende kihuni huni
 
Back
Top Bottom