Meya wa Arusha apata aibu kanisani

Michael Paul

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
403
319
Ilikuwa ni kanisani baada ya mchungaji kumkaribisha kama mgeni rasimi kwamba wananchi wamshike mkono , ndipo watu wote wakatoka kanisani na kumuacha mwenyewe. Ilikuwa ni fundrising event katika kanisa la kkkt elerai.
 
Ilikuwa ni kanisani baada ya mchungaji kumkaribisha kama mgeni rasimi kwamba wananchi wamshike mkono , ndipo watu wote wakatoka kanisani na kumuacha mwenyewe. Ilikuwa ni fundrising event katika kanisa la kkkt elerai.[/QU


Duh balaa kubwa na fundrising najua iliishia hapo hapo
 
Jamani hadi kanisani wanakisusia chama cha magamba,mwaka huu kazi wanayo maana kila sehemu hawakubaliki.Poleni sana wapenzi na wanachama wa chama cha magamba.
 
Jamani hadi kanisani wanakisusia chama cha magamba,mwaka huu kazi wanayo maana kila sehemu hawakubaliki.Poleni sana wapenzi na wanachama wa chama cha magamba.

Dah CDM wanasumu mbaya, siasa mpaka makanisani! Sasa hayo pia mafundisho ya Mungu au ya CDM?.
 
aise yaani huyu jamaa hana bahati maana mimi nikimuona maeneo kama ya elerai lazima atoke na ngeu..
Wewe punguza muknari mkuu, yaani unamananisha mkikutana peke yenu mnaweza kuzichapa kavu kavu, tehe tehe tehe tehe. Aisee pa moja hapaingii mbili.
 
Labda akajaribu kwa wale jamaa walio onywa na mufti huenda akapewa support kubwa kwani huko ndo siku hizi kuna support kubwa ya magamba!
 
Mchungaji Haule naye alianzia wapi kumwalika huyu mtu mwenye Nuksi namna hii?
 
Ukweli unaanza kuonekana. Bado kidogo tu wataona aibu hata kusimama mbele za watu
 
sas cjui bro mukama atafanya nini !!! kimeshanuka hivyo.....chama kinayeyuka kama vile konokono aliyemwagiwa chumvi...
 
duuh kwa kweli hii kali na natumaini mama watoto hakuwa pembeni coz ingekuwa mimi nazimia tayari, hii ni aibu ya maisha, kwa kweli hata kama ni cheo au pesa aibu kama hii cheo na fedha haisafishi.
 
Back
Top Bottom