Meya Londa na madiwani wahojiwa wizi wa viwanja Kinondoni

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Hakika kwa waliomuona Meya Salum Londa alipohojiwa kuhusu wizi wa viwanja moja kwa moja mwenye macho unajua huyu bwana anafwata..

Hatimaye polisi wameendelea kumhoji Meya Londa kwa kushiriki kuidhinisha wizi wa viwanja vya wazi...

Watanzania, Meya huyu amekuwa akilaumiwa sana na wizi mbali mbali wa viwanja na sasa shetani kaamua kugeuka mungu na chamoto watakiona..njooni hapa Kinondoni tu pm tutawapa mambo mengi machafu na mikataba alisosaini huuyu mzee...lakini kwa nini huuyu tuuuuuuuuuuuuuu

Polisi tunaomba mkmhoji mzee kitwana kondo huyu aliaribu kabisa na mpaka sasa watoto wengi awana hata sehemu za kuchezea...tunaomba sakata hili lisimalizwe kisiasa tumechoka kabisa..hapa Kinondoni kuna wakina Londa wengi tu Lukuvi tu pm tutawapa msaada wa kihistoria ...kuwafikisha huko jehanamu

Pongezi mh Lukuvi isiwe kinondoni tu nenda na ilala..temeke ardhi inanuka hata waziri anajua anawalea hawa...kazi kwako mkuu
 
Kinachonigaragaza ni kitu kimoja tu: Hivi CCM huwa hawajisikii aibu kabisa kuona kuna mafisadi waliopea katika safu za uongozi wao? How can they keep a straighjt face in such shennanigans while campaiging to the wananchi for more mandate? It beats me, really!!!!
 
..njooni hapa Kinondoni tu pm tutawapa mambo mengi machafu na mikataba alisosaini

...wakina Londa wengi tu Lukuvi tu pm tutawapa msaada

Aku pm? Kwa nini Lukuvi aku pm?

Kama una huo "msaada" wa vielelezo kwa nini usiviweke hapa nchi nzima ivione, unataka kuwauzia kina Lukuvi hivyo vidhibiti ulivyo navyo? Kama ni mambo binafsi si ungemtafuta kwenye simu, sisi umekuja kutuambia ili iweje? Huu ni ukuda huna cha mkataba wala ushahidi...
 
usije ukawa ulikuwa mshirika wake sasa kakuzika deal fulani hivi umeamua kumuanika
 
kama lukuvi yuko serious aanze kuangalia miaka ya 80, by the kulikuwa na open spaces nyingi ambazo CCM wakajiingiza na kujenga vijiofisi vyao na baadaye madareva wa magari ya serikali, mashirika ya umma wakaanza kupaki kwenye hizo open spaces, ikaendelea hivyo sasa hivi hakuna hizo parking hakuna open spaces wala ofisi za CCM, sehemu nyingi sasa ni Vituo vya mafuta ( fiiling stations).kama Lukuvi una ubavu fuatilia na hii.
 
Hawana lolote hawa kuna mtu tu wanamtafuta, hivi kati ya hawa wotw hakuna aliyetangaza nia kweli?
 
Back
Top Bottom