Meya C.C.M akataa ''shangingi'' kama Mbowe.

sir echa

Member
May 28, 2010
85
3
Kwa waliopitia magazeti ya leo kichwa cha habari sio kigeni,kama hujabahatika unaweza kucheki na mojawapo wa magazeti ya leo (gazeti la tanzania).

Nakumbuka Mh. Mbowe alipotangaza kurudisha gari lile kuna sintofahamu ziliibuka ikiwemo kwamba arudishe vyote alivyopewa na serikali kama kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na sio kuchagua kipi abaki nacho kipi arudishe,sikufuatilia sana kujua mwisho wake ilikuaje!

Naye meya wa Arusha amefanya hivo hivo,hebu wadau nifahamisheni ile shangingi ya mbowe ilikubaliwa kurudi au mbowe alitimiza yale masharti waliyompa??na kanuni ziko vipi inapotokea manununzi yashafanyika afu kiongozi anataka kubadili uamuzi uliopitishwa na bodi husika??
 
Mtendaji mkuu ni mkurugenzi wa wilaya au RAS kimkoa sasa meya anapewa shangingi la nini?ndugu huyu Karimjee wa TOYOTA tanzania sijui kailoga na ni serikali yetu maana watawala wetu wanawaza kununua magari tuu toka toyota!
 
Back
Top Bottom