Meya apiga marufuku Kufa.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Meya wa mji mdogo nje ya jiji la Napoli nchini Italy amepiga marufuku wakazi wa mji huo kufa mpaka makaburi mengine yatakapo idhinishwa baada ya makaburi yaliyokuwepo kujaa.

source: bbc.co.uk/news
 
nadhani hii si joke,ni amri iliyotolewa jana hapo Napoli Italia.Jamaa noma.Sijui kuna sheria na haki mtu kufa huko Italy!
 
nadhani hii si joke,ni amri iliyotolewa jana hapo Napoli Italia.Jamaa noma.Sijui kuna sheria na haki mtu kufa huko Italy!
Ni katika kukumbushia tatizo ili kikao cha madiwani kiidhinishe kiwanja kipya cha mazishi lol!
 
Back
Top Bottom