Kitandanikwetu
Member
- Jul 27, 2012
- 18
- 2
anaijua marehemu
ukipenda chongo. . .
utamvalisha miwani watu wasimwone
ukisikia paaa....
anaijua marehemu
ukipenda chongo. . .
utamvalisha miwani watu wasimwone
ukisikia paaa....
Basi wote lala chini.
Pilau la Hitima.....
halikosi mkeka!
Aliye shiba
Anyanyuke atupishe wenye njaa tuendelee kula.
Gozi la uwanjani....
halichezwi kitandani!
ukimuona kobe kainama. . .
ujue kalemewa na gamba lake
za mwizi?
Zimefichwa Tandale kwa Mtogole.
Ukiona manyoya...
Zimefichwa Tandale kwa Mtogole.
Ukiona manyoya...
ujue kuku/bata kapita mitaa hyo.
mwenye macho. .. .
Halishwi limbwata
Utamu wa kondoo....
achomwe kwenye kuni
nyani haoni. . .
Hata avae Miwani.
Ndevu za Beberu...
ngumu kama katani
mtoto umleavyo!
Ndivyo atakavyofanana na wewe.
Kapu la mjanja....
halikosi mapochopocho
ukistaajabu ya musa. . .
Hutayashangaa ya Kikwete
Mahabati Fiharba....
duh, hapo nimechemka. nakupa mji. nenda mkuranga
yaani umeniua mbavu! eti usiache kumlimboka! lol, i like chit chat! mzima weye mamito?usiache kumlimboka
vp mamito hbr za w-end?