Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
angalia ucje baki na ufutio,penseli akawa kamaliza
Aaapo chaacha!
Lakini kwani mf wa pencel umekuwa wa kizamani , kwanini usichukue mf wa ice ya mwenge? Anakula material na kibebeo?
angalia ucje baki na ufutio,penseli akawa kamaliza
subiri dalili utajua ana umwa ugonjwa gani!
Mkuki kwa nguruwe
Na shoka kwa mbuzi,
Sio kila king'aacho...
Kachoka kunyookaHuendana na ukubwa wa makalio,
Samaki mkunje..
Lazima irudishwe ikiwa safi,
Mungu si....
Yaani Mammiy unamaana utamaliza gogo langu au ?
Hebu nipe semina elekezi !
Afu likisha gogo yawaje ?
Kachoka kimbiamungu si athumani!
Mwenda pole
Kachoka kunyooka
Zimwi likujualo
Hehehehe tutapanda jingine
Akunyimaye kunde
Hehehehe tutapanda jingine
Akunyimaye kunde
atakupa njegere
chelewa chelewa. . .
Za mbu zimeshindwaamezidi uchoyo
kelele za chura...
Litaoza tuu karibiautaachwa kwenye mataa
sikio la kufa?
Litaoza tuu karibia
Adhabu ya kaburi
aijuaye maiti
mtoto akililia wembe. . . .
Ngedere naye yumo
Mchimba kisima
anatafta maji. . .
mdharau mwiba
Hata kesho litatimiahajajua maumivu ya usaa!
Liwalo