Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
Kwa karanga za kuonjeshwa
Avumaye baharini papa........
na RA yumo
Kwa karanga za kuonjeshwa
Avumaye baharini papa........
haogi...
banian mbaya
Humaliza gogoHuyo atakua mshenzi hataki kugawa pesa!
Bandubandu....?
Humaliza gogo
Vip mzima wewe hunie
chovyachovya
Asifiaye mvua
kesho huliwa yeye...!!
Usipokubali kuliwa kidogo....??
Humaliza gogo
Vip mzima wewe hunie
ata kuwa sweetie
usimwa mshe aliye lala?
Huyo atakua mshenzi hataki kugawa pesa!
Bandubandu....?
utaliwa kikubwa
kuku mgeni. . .
ucje ukalala wewe
mchelea mwana. . .
Yaani Mammiy unamaana utamaliza gogo langu au ?
Hebu nipe semina elekezi !
Afu likisha gogo yawaje ?
Huchinjwa sikukuu!
Siku ya kufa nyani....!
ujue c vizito
mtaka cha uvunguni. . . .
Yaani Unan'simbulia niivochovyachovya asali yako eti eeh ?
Yani simbulio makavu in fronti of pipo !
Mvua isemee wewe kama ilishakunyeshea!
Huchinjwa sikukuu!
Siku ya kufa nyani....!
Heee jaman huny weye
Ukubwa wa pua
Hujui kungun wakeAinue kitanda,
Kitanda usicholalia...
Hulia yeye,
Nguo ya kuazima........!?