methali funny

shanon

Member
Jun 11, 2009
6
0
mwenda pole ako na speed gorvener.
usipo ziba ufa mwizi iko chungulia.
palipo na wazee hakuna technology.
chelewa chelewa,utahata news za saa moja.
hasira ya mjaruo furaha ya museveni.
mwenda homabay na rusinga marenjeo ni migingo.
dalili za mvua ni mbio za watu wa nairobi.
palipo na kuku wengi hapakosi mluya.
 
Interesting!

Asante mkuu, nimeongeza siku za maisha kwa kucheka!

Kwi kwii kwiii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom