Meta sec mpo?

JOHNMONEY tupo kaka. nakumbuka mambo mengi sana kuanzia ule motto wa shule usemao: kumeta meta kwa kwa meta ni juhudi za wazazi na wanafunzi. ​Mie nilikuwa pale 1997 - 2000
 
JOHNMONEY tupo kaka. nakumbuka mambo mengi sana kuanzia ule motto wa shule usemao: <b><i>kumeta meta kwa kwa meta ni juhudi za wazazi na wanafunzi. </i></b>&#8203;Mie nilikuwa pale 1997 - 2000
<br />
<br />
muhimu sana inawezekana wengi wenu kimpumu kingi kule mabatini ndiyo maana huwaoni wengi hapa kiu
 
Bujibuji l was also there, enzi za John Mageta mtoa adhabu za kufyatua matofali. Nakumbuka nikiwa form three niliwahi saa kumi na moja alfajiri shuleni, kisha getini nikaandika kwa rangi nyekundu na kwa umaridadi mkubwa SHULE IMEUZWA KUAnZIA LEO HAKUNA MASOMO.
Siku hiyo watu wote hawakusoma, nikatafutwa na kupewa adhabu ya kufyatua matofali elfu nane. Job mwalimu wa nidhamu ndiye aliyenifutia adhabu yangu. Much love and respect to him
 
Nami nilikuwepo Meta Sec 2001 - 2003. Huyu Mageta namkumbuka pia. Alivyoona jina langu Mabagala alikuwa ananifatilia sana akidai ni mtu wa kwao kwahiyo nisifanye mchezo. Walikuwepo walimu wanapenda kutembecha viboko hata kwa kosa dogo. Ivi kwenye miaka hiyo mnakumbuka siku tunatoka Prepo tukatishwa kuwa hiyo njia kuna shetani! aisee sikulala siku iyo, sijui alikuwa nani yule alijifunika shuka nyeupe halafu kichwani kasimamisha mti mrefu, akawa anaonekana kama vile ni mrefu kama jini. Sijui Rama yuko wapi, aliweweseka usiku mzima, na alivyokuwa Baunsa kila mtu aliogopa. Nisamwa alikuwa akiwika sana class yetu kwa uzuri sijui yuko wapi huyu mdada!!! Dah mmenikumbusha mbali sana. ntarudi tena
 
Vipi siku za disco loleza,Angle and Henry mko wapi najua Gibb alitangulia mbele ya haki.ROSE MFIKWA,SUBIRA KAZIMOTO NA EMMY MWAKYUSA wapi ma shost.
 
Nilikuwepo Meta Sec 2001 - 2003 ECA, mliokuwepo tutafutane jamani tujikumbushe. Ninazo picha tulikuwa tukipiga enzi izo. Wapi Shaban Laiser, Ramadhan, Amani Munisi Steve Mmasi nk
 
Bujibuji l was also there, enzi za John Mageta mtoa adhabu za kufyatua matofali. Nakumbuka nikiwa form three niliwahi saa kumi na moja alfajiri shuleni, kisha getini nikaandika kwa rangi nyekundu na kwa umaridadi mkubwa SHULE IMEUZWA KUAnZIA LEO HAKUNA MASOMO.
Siku hiyo watu wote hawakusoma, nikatafutwa na kupewa adhabu ya kufyatua matofali elfu nane. Job mwalimu wa nidhamu ndiye aliyenifutia adhabu yangu. Much love and respect to him

Kwa kweli Mageta alikuwa noma. Nakumbuka alikuwa akikatiza kila mtu anaingia mitini. Aliweza kudhibiti nidhamu kwa kiasi kikubwa sana. Kaka Job na Mwaigusi mishemishe zao walikuwa wanapigia maeneo ya getini. Ole wako uchelewe halafu uwaone watu hao ujue umefariki. Nilitembelea pale mwaka jana almost baada ya miaka zaidi 10 tangu nilipomaliza, nilifurahia kuona mafanikio yaliyofikiwa. Meta forever!
 
je mnakumbuka kwa BIBI HOSTEL,AU CAMP DAVID.MIE NI MOJAWAPO TULIOIANDIKA,NA KUISHI PALE,2001/2002.
 
JOHNMONEY tupo kaka. nakumbuka mambo mengi sana kuanzia ule motto wa shule usemao: kumeta meta kwa kwa meta ni juhudi za wazazi na wanafunzi. &#8203;Mie nilikuwa pale 1997 - 2000

"humetameta kwa juhudi na maalifa"
by mhanila ibrahim
 
Kwa kweli Mageta alikuwa noma. Nakumbuka alikuwa akikatiza kila mtu anaingia mitini. Aliweza kudhibiti nidhamu kwa kiasi kikubwa sana. Kaka Job na Mwaigusi mishemishe zao walikuwa wanapigia maeneo ya getini. Ole wako uchelewe halafu uwaone watu hao ujue umefariki. Nilitembelea pale mwaka jana almost baada ya miaka zaidi 10 tangu nilipomaliza, nilifurahia kuona mafanikio yaliyofikiwa. Meta forever!

bila gate pass getin hupiti
 
Na je unawakumbuka walim kama pepekale,machomacho,jose mnosye na gari moshi?
 
Daaaah, umenikumbusha sana pande zile.nilikuwepo pale 2007 had 2009 HKL,Namkumbuka sana Simwaba,sawa darasa na yule wa Kiswahili 2 mzee wa Rosa mistika,mfereji maringo,jiwe c mchi nk. Meta imetutoa weng kwa kweli.
 
wap mwakyulu mzee wa gri moshi,hp carlmax ,mwangoka,mwl ,mpwiniza ,meta juuuuuuu,nilikuaa pale toka 98 had 2001
 
Back
Top Bottom