Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

umeona enheee kweli huu ndio mwisho wa mpira wa kubebana naona ac milan kawa laani ile mbaya ngoja tuwaone na chelsea nao..
 
Nadhani umeshuhudia nani mkali ronardo anatishaaaaa!

kipindi cha kwanza mchezaji wa dunia alikuwa benchi sijui maana huwa anaongoza kwa kuchezewa rafu na yule pedro sijui aliingia saa ngapi kweli nimeamini mesi anachezeshwa hawesafa hata kidogo...
 
When Barcelona meet Real Madrid the biggest subplot is the battle of Lionel Messi vs Cristiano Ronaldo.
Ronaldo is the world’s most expensive player, Real having signed him for $131 in the summer of 2009. Prior to that he had been signed by Manchester United from Sporting Lisbon as an 18-year-old. They are two of the highest paid soccer players in the world game.Messi has a release clause of $400 million and his rise to the top could not..Read MORE »
 
Wote wazuri ila wanapata support na klabu kubwa wanazochezea zenye wachezaji wa kiwango cha juu kabisa duniani.
wana individual skills.
 
Mimi nawapenda wote na nita declare interest coz ronaldo used to play for man utd so he would always have a special place in my heart as a former utd player however messi as an all round player is slightly better, the way he runs with the ball the way he dribbles the way he finds space in between defenders i mean i have never seen anyone like him. I hope ronaldo gets his luck and wins Worlds footballer of the year
 
Messi hana mfano kwa sasa, ronaldo ni bora kama messi asingekuwepo na pia anapenda sana amfikie messi kwa kutumia mabavu na uchoyo wa pasi za mwisho vitu ambavyo vinamfanya messi awe juu zaidi
 
kwa kukamilika ronaldo zaidi,cse amecheza timu mbalimbali na nchi tofauti na bado amefanya vizuri zaidi.mess mzur ila ni mchezaji wa timu moja tu,anacheza na wachezaji wale wale,akibadli labda national timu, so kuonyesha kuwa yupo kamili inabid atafte timu nyingne au ligi tofaut kuonyesha ukamilfu wake yeye kama yeye, pia unaweza kuona aina ya magoli waliyofunga jana kati ya mess na ronaldo.
 
Ronaldo mzuri kwa kuchezea mpira burudani anatumia miguu yote,ila hana nidhamu,Messi nae mzuri na inamsaidia ana nidhamu hana nyodo kama Ronaldo,ila zaidi ya yote wataalam ni wachezaji wa spain wakiongozwa na Xavi Hernandez i Creus na Andreas Iniesta Lujan,hata Gang Chomba anakubaliana na hilo habishi!
 
Ronaldo mzuri kwa kuchezea mpira burudani anatumia miguu yote,ila hana nidhamu,Messi nae mzuri na inamsaidia ana nidhamu hana nyodo kama Ronaldo,ila zaidi ya yote wataalam ni wachezaji wa spain wakiongozwa na Xavi Hernandez i Creus na Andreas Iniesta Lujan,hata Gang Chomba anakubaliana na hilo habishi!


Ronaldo kwa kuchezea mpira hamuwezi Gaucho.
Messi kwa nidhamu hafiki kwa Dinho.

Gaucho kabeba World Cup.
Dinho kachezea Milan.
 
Brasileiro Round 28:
Ronaldinho hat-trick keeps
Atletico Mineiro's title hopes alive
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom