Lionel Messi ni zaidi ya mchezaji japo naichukia Barcelona

ketone

JF-Expert Member
Jan 22, 2016
508
622
Kwa kweli Messi ninamwona kama complete player katika kizazi hiki cha mpira wa miguu kwa sasa japo naichukia BARCELONA.

Jana aliweza kurudi uwanjani kwa mara ya kwanza kuchezea timu ya taifa baada ya kubatilisha uamuzi wake na kutupia goli lililowapa ushindii pekeee.

Messi ni mtu wa kipaji cha pekee kwa kizazi hikii na sioni wa kumfananisha naye.

Nasema hivi maana naona kuna watu wenye performance ya juu kama Christiano Ronaldo, Bale lakini hawa naona wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani kwa ubavu mwingi ila huyu bwana LIONEL Messi ni taratibu kama anaogelea kwenye dimbwi.

Pia katika mtazamo ninaona mpira wa leo na mpira wa miaka ya 1999 mpaka 2002 ni tofauti sana.

Nani anaikumbuka Manchester United hii ya
- Peter Schmeichel
- Jap Stam
- Phil Neville
- Gary Neville
- Nicky Butt
- Lionel Blank
- Roy Keane
- David Beckham
- Ryan Giggs
- Paul Scholes
- Ole Gunnar Solskjær
- Teddy Sheringham
- Dwight Yorke na
- Andy Cole

Bayern Munchen hii
- Oliver Khan
- Samuel Kuffor
- Bixsent Lizarazu
- Saint Cruz
- Oliver Beholf
- Steven Ephenberg
- Lothar Matthäus
- Jurgen Klinsman
- Elber na
- Sergio....

Alafu leo hii ufananishe Machester United iliyokuwa inacheza miaka ile na Buyern Munich fainali utagundua mpira wa sasa unanogeshwa na vyombo vya habari kwa sana ila si kama mpira ni mkali kama miaka ile.

Sitoisahau Manchester United inamuua Buyern katika dakika ya tisini, mchawi Tedy Shergam...ilikuwa nomaaaa

Je, unaikumbuka Real Madrid hii iliyopigwa na Buyern kwenye hatua ya makundi nje ndani ila nusu fainali Buyern Munich akapepetwa na Ronaldo de Lima miaka ya hio?

- Iker Casilas
- Ivan Campos
- Karanka
- Roberto Carlos
- Fernando Hiero
- Gutti
- Luis Figo
- Zinedine Zidane
- David Beckham
- Steve Mackmanaman
- Saviola
- Raul Gonzales
- Fernando Morientes na
- Ronaldo De Lima

Kwa kweli kwa miaka hii sioni timu yenye kikosi bora tena duniani labda Real Madrid kidogo inanipa raha hasa nikimuona Marcelo, shuka panda yake inakumbusha Roberto Carlos.

Arsenal hii unaikumbuka?
- David Seamen
- RayParlour
- Martin Keown
- Silvinho
- Patrick Vieira
- Emmanuel Petit
- Denis Bergkamp
- Marc Overmars
- Thiery Henry
- Sylvain Wiltord
- Fredrik Ljungberg na
- Nwanko Kanu

Arsenal hii haitokaa itokee kikosi kama hiki.

Ngoja wazee wenzangu waje waseme kuwa soka la leo lina vikosi vya aina gani ukilinganisha na enzi za 1999 to 2003.
 
Huyo ambaye hatumii nguvu ameshawapa mataji mangap taifa lake?? Manake yeye c anateleza tu anachukua anaweka waaaa
 
Matatu FIFA WORLD CUP U23 iliyofanyika Uholanzi

Copa America U20 iliyofanyika Venezuela
NA
OLYMPIC iliyofanyika BEIJING

una la ziada ??

KING MESSI MR BALON DOR
 
ila mbona bado wazee wa miaka hiyo ya akina DELIMA hawaji na comments zao..ina naana wote humu ni kizazi cha messi na christiano...duh..kumbe wengi wachanga humu
 
Kwa kweli Messi ninamwona kama complete player katika kizazi hiki cha mpira wa miguu kwa sasa japo naichukia BARCELONA.

Jana aliweza kurudi uwanjani kwa mara ya kwanza kuchezea timu ya taifa baada ya kubatilisha uamuzi wake na kutupia goli lililowapa ushindii pekeee.

Messi ni mtu wa kipaji cha pekee kwa kizazi hikii na sioni wa kumfananisha naye.

Nasema hivi maana naona kuna watu wenye performance ya juu kama Christiano Ronaldo, Bale lakini hawa naona wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani kwa ubavu mwingi ila huyu bwana LIONEL Messi ni taratibu kama anaogelea kwenye dimbwi.

Pia katika mtazamo ninaona mpira wa leo na mpira wa miaka ya 1999 mpaka 2002 ni tofauti sana.

Nani anaikumbuka Manchester United hii ya
- Peter Schmeichel
- Jap Stam
- Phil Neville
- Gary Neville
- Nicky Butt
- Lionel Blank
- Roy Keane
- David Beckham
- Ryan Giggs
- Paul Scholes
- Ole Gunnar Solskjær
- Teddy Sheringham
- Dwight Yorke na
- Andy Cole

Bayern Munchen hii
- Oliver Khan
- Samuel Kuffor
- Bixsent Lizarazu
- Saint Cruz
- Oliver Beholf
- Steven Ephenberg
- Lothar Matthäus
- Jurgen Klinsman
- Elber na
- Sergio....

Alafu leo hii ufananishe Machester United iliyokuwa inacheza miaka ile na Buyern Munich fainali utagundua mpira wa sasa unanogeshwa na vyombo vya habari kwa sana ila si kama mpira ni mkali kama miaka ile.

Sitoisahau Manchester United inamuua Buyern katika dakika ya tisini, mchawi Tedy Shergam...ilikuwa nomaaaa

Je, unaikumbuka Real Madrid hii iliyopigwa na Buyern kwenye hatua ya makundi nje ndani ila nusu fainali Buyern Munich akapepetwa na Ronaldo de Lima miaka ya hio?

- Iker Casilas
- Ivan Campos
- Karanka
- Roberto Carlos
- Fernando Hiero
- Gutti
- Luis Figo
- Zinedine Zidane
- David Beckham
- Steve Mackmanaman
- Saviola
- Raul Gonzales
- Fernando Morientes na
- Ronaldo De Lima

Kwa kweli kwa miaka hii sioni timu yenye kikosi bora tena duniani labda Real Madrid kidogo inanipa raha hasa nikimuona Marcelo, shuka panda yake inakumbusha Roberto Carlos.

Arsenal hii unaikumbuka?
- David Seamen
- RayParlour
- Martin Keown
- Silvinho
- Patrick Vieira
- Emmanuel Petit
- Denis Bergkamp
- Marc Overmars
- Thiery Henry
- Sylvain Wiltord
- Fredrik Ljungberg na
- Nwanko Kanu

Arsenal hii haitokaa itokee kikosi kama hiki.

Ngoja wazee wenzangu waje waseme kuwa soka la leo lina vikosi vya aina gani ukilinganisha na enzi za 1999 to 2003.

Asante mkuu, japo huipendi Barca lkn nimekukubali kuweka wazi kwa huyu kiumbe anaechukiwa na baadhi ya mandazi fans wasiojielewa na kukazania Ronado Ronado eti bora kisa kombe la euro ambalo limepatikana kwa migongo ya wengine...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa kweli Messi ninamwona kama complete player katika kizazi hiki cha mpira wa miguu kwa sasa japo naichukia BARCELONA.

Jana aliweza kurudi uwanjani kwa mara ya kwanza kuchezea timu ya taifa baada ya kubatilisha uamuzi wake na kutupia goli lililowapa ushindii pekeee.

Messi ni mtu wa kipaji cha pekee kwa kizazi hikii na sioni wa kumfananisha naye.

Nasema hivi maana naona kuna watu wenye performance ya juu kama Christiano Ronaldo, Bale lakini hawa naona wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani kwa ubavu mwingi ila huyu bwana LIONEL Messi ni taratibu kama anaogelea kwenye dimbwi.

Pia katika mtazamo ninaona mpira wa leo na mpira wa miaka ya 1999 mpaka 2002 ni tofauti sana.

Nani anaikumbuka Manchester United hii ya
- Peter Schmeichel
- Jap Stam
- Phil Neville
- Gary Neville
- Nicky Butt
- Lionel Blank
- Roy Keane
- David Beckham
- Ryan Giggs
- Paul Scholes
- Ole Gunnar Solskjær
- Teddy Sheringham
- Dwight Yorke na
- Andy Cole

Bayern Munchen hii
- Oliver Khan
- Samuel Kuffor
- Bixsent Lizarazu
- Saint Cruz
- Oliver Beholf
- Steven Ephenberg
- Lothar Matthäus
- Jurgen Klinsman
- Elber na
- Sergio....

Alafu leo hii ufananishe Machester United iliyokuwa inacheza miaka ile na Buyern Munich fainali utagundua mpira wa sasa unanogeshwa na vyombo vya habari kwa sana ila si kama mpira ni mkali kama miaka ile.

Sitoisahau Manchester United inamuua Buyern katika dakika ya tisini, mchawi Tedy Shergam...ilikuwa nomaaaa

Je, unaikumbuka Real Madrid hii iliyopigwa na Buyern kwenye hatua ya makundi nje ndani ila nusu fainali Buyern Munich akapepetwa na Ronaldo de Lima miaka ya hio?

- Iker Casilas
- Ivan Campos
- Karanka
- Roberto Carlos
- Fernando Hiero
- Gutti
- Luis Figo
- Zinedine Zidane
- David Beckham
- Steve Mackmanaman
- Saviola
- Raul Gonzales
- Fernando Morientes na
- Ronaldo De Lima

Kwa kweli kwa miaka hii sioni timu yenye kikosi bora tena duniani labda Real Madrid kidogo inanipa raha hasa nikimuona Marcelo, shuka panda yake inakumbusha Roberto Carlos.

Arsenal hii unaikumbuka?
- David Seamen
- RayParlour
- Martin Keown
- Silvinho
- Patrick Vieira
- Emmanuel Petit
- Denis Bergkamp
- Marc Overmars
- Thiery Henry
- Sylvain Wiltord
- Fredrik Ljungberg na
- Nwanko Kanu

Arsenal hii haitokaa itokee kikosi kama hiki.

Ngoja wazee wenzangu waje waseme kuwa soka la leo lina vikosi vya aina gani ukilinganisha na enzi za 1999 to 2003.
Mkuu umemaliza kila kitu. No more Comments!
 
Huyo ambaye hatumii nguvu ameshawapa mataji mangap taifa lake?? Manake yeye c anateleza tu anachukua anaweka waaaa
Watu wengine ni **** sana! Sasa wewe ni mtu wa kwanza kucoment alafu una quote habari yote! Sasa uliona ukiandika bila ku quote tutajua ulikuwa unamjibu Makonda au? Kupeana tabu za ku scroll tu. Mfyuuuuu
 
De lima alitaja kikosi chake bora cha muda wote akjiweka yy kina maradona messi but hakumuweka ronaldo mwenzie...kwe mpira kila mtu ana mtazamo wake aisee kwang mie messi yuko talented kuliko christiano but christiano ni more hard worker than messi pia ronaldo ana consistency kwe game na amedum mda mrefu kwe kiwango cha juu wakati messi sometym amekua akipanda na kushuka bt wote ni wachezaj weny ubora sn kwe miaka hii
 
Wakuu mimi ni shabiki wa Man U pengine niliyepitiliza na CR7 sitomsahau maishani mwangu kwa kile alichokifanya ndani ya man u, ila linapokuja suala la Messi na CR7 huwa nashangaa sn maono ya binadamu wenzangu. Cjui huwa wanawalinganisha hawa wachezaji kishabiki au ndo demokrasia yenyewe, nashindwa hata kuelewa. Jamani mpira anaocheza Messi ktk kizazi chake hiki hakuna wa kumzidi. Huwa nahisi Mungu alivyomaliza kumuumba tu akamuagiza moja kwa moja kwamba "uende duniani ukacheze mpira"!! Kuhusu de Lima asee huyo mtu alikuwa habari nyingine! Nakumbuka kuna mechi mashabiki wa Brazil walikuwa wakiona de Lima kabaki na mabeki wawili anapoanza tu kuwafata na mpira walikuwa karibia wote wanasimama kuashiria habari ishaisha hyo. Ile na 9 brazil cjui km wataipata hadi cc tuliozaliwa mbele kidogo karibia na kizazi chake tunakufa!
 
Watu wengine ni **** sana! Sasa wewe ni mtu wa kwanza kucoment alafu una quote habari yote! Sasa uliona ukiandika bila ku quote tutajua ulikuwa unamjibu Makonda au? Kupeana tabu za ku scroll tu. Mfyuuuuu

Dada umeolewa?
 
Best player mpaka amefikia kuitwa Mfalme ujue ni hatari mno...je kuna mchezaji yeyote kwanzia 1995-2016 ashawahi kuwa mfalme wa soka kuwahi kutokea ktk huu ulimwengu except Lapulga?? Hakuna
So...No one can be compared to Messidona & "El Pibe de Oro" ("The Golden Boy") hawa washkaji hakunaga
 
MARADONA na MESSI hakunaga hawa watu ni hatar
 
Kwa kweli Messi ninamwona kama complete player katika kizazi hiki cha mpira wa miguu kwa sasa japo naichukia BARCELONA.

Jana aliweza kurudi uwanjani kwa mara ya kwanza kuchezea timu ya taifa baada ya kubatilisha uamuzi wake na kutupia goli lililowapa ushindii pekeee.

Messi ni mtu wa kipaji cha pekee kwa kizazi hikii na sioni wa kumfananisha naye.

Nasema hivi maana naona kuna watu wenye performance ya juu kama Christiano Ronaldo, Bale lakini hawa naona wanatumia nguvu nyingi sana uwanjani kwa ubavu mwingi ila huyu bwana LIONEL Messi ni taratibu kama anaogelea kwenye dimbwi.

Pia katika mtazamo ninaona mpira wa leo na mpira wa miaka ya 1999 mpaka 2002 ni tofauti sana.

Nani anaikumbuka Manchester United hii ya
- Peter Schmeichel
- Jap Stam
- Phil Neville
- Gary Neville
- Nicky Butt
- Lionel Blank
- Roy Keane
- David Beckham
- Ryan Giggs
- Paul Scholes
- Ole Gunnar Solskjær
- Teddy Sheringham
- Dwight Yorke na
- Andy Cole

Bayern Munchen hii
- Oliver Khan
- Samuel Kuffor
- Bixsent Lizarazu
- Saint Cruz
- Oliver Beholf
- Steven Ephenberg
- Lothar Matthäus
- Jurgen Klinsman
- Elber na
- Sergio....

Alafu leo hii ufananishe Machester United iliyokuwa inacheza miaka ile na Buyern Munich fainali utagundua mpira wa sasa unanogeshwa na vyombo vya habari kwa sana ila si kama mpira ni mkali kama miaka ile.

Sitoisahau Manchester United inamuua Buyern katika dakika ya tisini, mchawi Tedy Shergam...ilikuwa nomaaaa

Je, unaikumbuka Real Madrid hii iliyopigwa na Buyern kwenye hatua ya makundi nje ndani ila nusu fainali Buyern Munich akapepetwa na Ronaldo de Lima miaka ya hio?

- Iker Casilas
- Ivan Campos
- Karanka
- Roberto Carlos
- Fernando Hiero
- Gutti
- Luis Figo
- Zinedine Zidane
- David Beckham
- Steve Mackmanaman
- Saviola
- Raul Gonzales
- Fernando Morientes na
- Ronaldo De Lima

Kwa kweli kwa miaka hii sioni timu yenye kikosi bora tena duniani labda Real Madrid kidogo inanipa raha hasa nikimuona Marcelo, shuka panda yake inakumbusha Roberto Carlos.

Arsenal hii unaikumbuka?
- David Seamen
- RayParlour
- Martin Keown
- Silvinho
- Patrick Vieira
- Emmanuel Petit
- Denis Bergkamp
- Marc Overmars
- Thiery Henry
- Sylvain Wiltord
- Fredrik Ljungberg na
- Nwanko Kanu

Arsenal hii haitokaa itokee kikosi kama hiki.

Ngoja wazee wenzangu waje waseme kuwa soka la leo lina vikosi vya aina gani ukilinganisha na enzi za 1999 to 2003.
Mkuu hiyo game ya
Man u vs Bayern mpaka leo ilibaki kumbukumbu hisiyofutikia dk ya 90 ilimfanya Oliver Khan akawa mwekundu ghafla. Enzi hizo chemistry ya Dwight na Andy Cole ilikua inakolea na kuifanya Man u kinara muda wote wa gem. Yani jamaa walikua kama mapacha vile. Alafu kwa Bayern nilikua namkubali sana Elba, huyo mblazil alikua "ametulia" sana.
Halafu hapo kwa Madrid umesahu jembe moja Makelele, chemistry yake ilikua inaiva sana na Carlos
 
Hakuna mchezaji yeyote anaeweza kuwa zaidi ya mchezaji,mchezaji ni mchezaji tu.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom