Message ya Ajabu ya X-Mass!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,100
6,022
"Wakati tunaelekea X-mass 2011, nakuombea furaha yako iongezeke kama bei ya petrol, utu wako uwe juu kama posho za wabunge, mashaka yako yapungue kama kura za CCM 2010, ila Umaarufu wako uongezeke kama ule wa Dk Wilbrod Slaa, hekima nazo zizagae kama bidhaa za Mchina, uwepo wako hapa JF uwe na thamani kama kiungo cha albino, ila Usiadimike sana kama Umeme wa Tanesco.... Wish You Merry X-Mass and Happy New Year!!" (This message is from Anna)
x_3bc68c9c.gif
0076.gif
2q1iefq.gif

2i9m911.jpg

jidhjp.gif
 
hakika nimeifurahia!!thanks mkuu!!!
 
Thenx !!!!!
 
Kongosho hili Jukwaa hupotei...Lol, mi Luv u!!
 
"wakati tunaelekea x-mass 2011, nakuombea furaha yako iongezeke kama bei ya petrol, utu wako uwe juu kama posho za wabunge, mashaka yako yapungue kama kura za ccm 2010, ila umaarufu wako uongezeke kama ule wa dk wilbrod slaa, hekima nazo zizagae kama bidhaa za mchina, uwepo wako hapa jf uwe na thamani kama kiungo cha albino, ila usiadimike sana kama umeme wa tanesco.... Wish you merry x-mass and happy new year!!" (this message is from anna)
x_3bc68c9c.gif
0076.gif
2q1iefq.gif

2i9m911.jpg

jidhjp.gif

big thanks mpaka ujiuzulu kwa shukrani.
 
mmh sizinga,
hivi wewe ni wa kule kwa akina mwashilindi na mwashitete nini.

Asante kwa zawadi ya sikukuu.
 
Halafu we Mamdenyi...huko ndo wapi huko?? Me dnt knw that...ntajie basi, wapi huko?
:eyebrows:
 
Mi kopa u za kiongo kiongo maana wa kikweli kweli is watching me.

Ila avatar yako inatetemesha bandama langu.

Kila nikiiona neno linalokuja kichwani ni ''Kubwa la maadui hi ha ya kichina china Yang Shang dang''

Kongosho hili Jukwaa hupotei...Lol, mi Luv u!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom