Message hii kutoka Voda imepoteza maana

PgSoft2008

JF-Expert Member
May 15, 2008
264
73
Nimepokea message kutoka voda leo ilikuwa imeandikwa kama ifuatavyo.

¨Dear customers we have not been able to recognize your selection. if you have any problem please dial 101 and choose correct men.

hapo sasa.
 
ahaha -- labda ulikuwa unaomba kitu hapo inaonyesha ulitoa maombi fulani fulani uwe mkweli saa zingine bwana
 
ahaha -- labda ulikuwa unaomba kitu hapo inaonyesha ulitoa maombi fulani fulani uwe mkweli saa zingine bwana

shy soma vizuri hiyo message they want me to select men instead of menu
 
Hivi hizi sms za customer care huwa hazina wahariri? Manake it's not the first time, pia si Voda pekee, hata Tigo huwa wanatuma sms nyingine zenye errors nyingi tu. Kwao si kitu cha ajabu kutuma sms ambayo hata maneno hayajatenganishwa kwa space!
 
Back
Top Bottom