Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Kinja, una maana ni wachache tu ndio wanaouona huo 'ukweli'?huo ndio ukweli ambao watu wengi wanashindwa kuuona.
Kinja, una maana ni wachache tu ndio wanaouona huo 'ukweli'?huo ndio ukweli ambao watu wengi wanashindwa kuuona.
Hivi huu mgogoro wa Libya umeanza kuufuatilia tangu lini? Leo hii wananchi wa Syria au Yemen wakiamua kuchukua silaha na kujilinda dhidi ya majeshi ya serikali utawalalamikia?Cyo mnamuona ghadafi muuaji! mbna misri waliandamana lakini hakuna waandamanaji waliorhka bunduki, libya wale c waaandamanaji ni waaasi tena pandikizi la wazungu...viva ghadafi.
Ujumbe wa mwana umenigusa mpaka ku-moyo, kuna mijitu ilimshobokea sana Obama wakati wa uchaguzi 08. Ngoma ikivuma sana hupasuka!
The issue with west is not Gaddafi or Mubarak, guess what?
Haswaa, na hilo ndo linaumiza kabisa, uelewa wa watu ndo worse. watu ndio wana maoni mazuri, na we Tanzanians we are so blessed - so very good in giving opinions. It would have been good for every person before telling us what they think; they look in to the whole issue as a whole. What is the source of the caos? when/why the intervation in Libya? Why now ... Yes its true it has been 40 years of Gadaffi's reign but why not intervene when it was 20 or 30 years ago. What has he done wrong NOW?
Vizuri sana, 20-30 years back, China was not a big fish. Well, Plan ni ku-block China isiende kwa kasi ilivyo kwa kuteka maliasili za Africa. Wakiruhusu China kuiteka afrika na mafuta ya waraabu ndo the end ya europe na west. Ofcoz on the way forward some would face the music, on this case its Gaddafi.
They will do whatever, causing chaos and the like, just kuwasimamisha wachina na speed yao.
Really like your logical perspective. The bad thing ni kwamba most of us hatuelewi, tunashabikia uvamizi bila ya kujua the whole issue - hilo linaniuma saaana. Kama hatuangali hayo mambo kwa undani, our future generation have no future...
If you dig deeper, you would easily realize, the way westerners wanavyo-push EAF including DRC, Somalia, Ethiopia and South Sudan. After that, also you will face the music on your own style.
That am already doing, my understanding may be limited but I do not condone to not knowing, I know what the westerners are up to, I know the leadership of our Leaders are with hands tied behind the back, I know that every country in Africa thinks its isolated to each other whereas its not! and I do believe if United its possible (everything is possible, just 15 years back who would have thought a black man would become president in the U S) .... And i do acknowledge that all this is just a wait in vain...
Black man to sit in white's house (not white house), was very step-stone to start with.
its really inspiring and makes feel very sorry for him, am proud he is defeating them
Haitakiwi kuchukulia kila action kama vile disadvantageous; that is a first step both ways - afterall yaweza backfire! And in other words just because he is black does not mean he thinks like we the black think, but yeye bwana ni scholar in black skin and sometime in his life he felt the pinch though not severe - there are certain elements there, they may be minimal but still they are there... If we lose hope, we lose everything.