Message from Gadaffi to Africans

View attachment 28375
Frantz Fanon July 20, 1925 – December 6, 1961

I don't think Frantz Fanon who wrote, among others, 'The Wretched of the Earth' and 'Black Skins White Masks', would have supported dictator Moammer Gaddafi!

Nyie wote mnaompigia debe Gaddafi mmechelewa, treni limeshapita!

"Each generation must, out of relative obscurity, discover its mission, fulfill it, or betray it."
- Frantz Fanon
Jamaa wa Benghazi hilo wamelijua!

Frantz Fanon, the ever know Marxist believer and opponent of racism against black people, i don't think he should surpported the opposite.
I don't think the inversion of empirialist to Libya via US and NATO would had empressed him, unless not the one ever know French Guyanna marxist.
 
Nimesoma mawazo ya wengi kwenye thread hii,nabaki katikati.

Binafsi siwezi kuwa-support westerners (hasa Wamarekani) kwa kuwa lengo la kumtoa Gaddafi ni sahihi kwa some extent lakini means wanazotumia za kutumia military approach siyo sahihi.

Pili,nakubali kweli Gaddafi ameisaidia nchi yake kama mwananchi yeyote anavyopaswa kutoa mchango kwa nchi yake.Nampongeza kwa kutimiza wajibu wake

Nakataa anaposema amewapa wananchi nyumba,huduma za afya na vitu vingine bure,hapana hakuwapa na wala hakuna mtu anayeweza kuwapa wananchi vitu kama hivyo bure kama source ni income kutoka kwenye nchi yao,ni vyao!

Lakini unaposoma speech yake ndani kuna maneno ambayo kweli yana-touch,yanaumiza na kutia huruma kama binadamu.Lakini,nayafananisha na ndoano ambayo huwa imezungukwa na chambo kinachoonekana kizuri ila dhamira ya ndoano ni mbaya tu siku zote..Amejinasibu na dini anapozungumzia suala la Libya kama Nchi,wajiweke wapi Walibya ambao siyo dini yake??Haiwezi kuingia akilini mtu anapong'ang'ania kukaa madarakani zaidi ya miaka 40,aliitoa nchi toka sehemu moja akaifikisha sehemu nyingine nzuri-kwa nini ang'ang'anie kuendelea kuwa madarakani?Lakini anapofanya mapato ya Nchi yatumike kwa manufaa ya familia yake si haki kwa Walibya hata kama kuna vitu wanapata bure toka serikalini,tendo zuri haliwezi kulifanya tendo baya lisionekane kwa ubaya wake!!

Kama Waafrika tuna vingi vinavyotugawa na kamwe hatuwezi kuwa na umoja lakini kubwa kuliko yote ni Dini ambazo tumerithi toka kwa wageni-wenye asili ya dini hizo wamezitumia kwa maslahi yao binafsi wakikaa juu ya migongo ya dini hizo,nasi tumekubali kumeza hadaa hiyo!
.
 
Uko sahihi Abdulhalm, kuwapa wananchi vitu bure, ambovyo actually siyo vyake yeye kama anavyotaka tuamini hivyo, wakati huku akifanya familia yake ndiyo watawala wa nchi ya Libya ni kosa lake kubwa sana. Kuwanyima watu uhuru wa kuongea, kuwaita wenye mawazo tofauti na yeye kuwa ni vibaraka wa nchi za ulaya na USA, kuwatusi kwa kila aina ya matusi anayo yajua siyo halali yake.

Kumpindua mfalme wa nchi hiyo na yeye kutaka kuongoza kama mfale mpaka afe na kumkabidhi mmoja wa watoto wake uongozi wa nchi ni dharau kwa wananchi wengine wote wa Libya. Alikwa na opportunity kwa miaka kadhaa ya kubadirisha style ya uongozi wake kutoka huu wa kiimla na kuleta uongozi shirikishi/kidemokrasia lakini ameeishia kulewa madaraka na kujiita The King of Kings.

Awe tayari kuvuna aliyopanda

Hilo bado hajafanya,ikiwa ni hivyo, hiyo ni dhana tu na wala haliwezi kuwa kosa.
Kuhusu watoto wake kuwepo kwenye safu za uongozi wala si tatizo kwa utamaduni wetu wa kiafrika na ambao ndiio ubinadamu halisi.Angalia watoto wa Karume,Mwinyi,Nyerere na Makamba.Iwapo wana uwezo wa kuongoza na wao si ni wananchi!.
Nionavyo mimi mwisho wa ukoloni wa aina zote na siasa za mabavu umewadia.Ukitaka kuelewa angalia hayo yanayoendelea Syria,Yemen,Saudia na Afghanistan.watu wamewaelewa hawa wanaopenyeza demokrasia kwamba si wakweli.
Kama mchangiaji mmoja alivyobainisha na mimi naunga mkono. Ikiwa kweli Ghadhafi katanguliza jina la Allah katika malalamiko yake, yeye na sera zake ataibuka mshindi hata maadui pamoja na waliopo JF wakichukia.
 
Frantz Fanon, the ever know Marxist believer and opponent of racism against black people, i don't think he should surpported the opposite.
I don't think the inversion of empirialist to Libya via US and NATO would had empressed him, unless not the one ever know French Guyanna marxist.
Mkuu nitakuelewa vizuri kama utaandika kwa lugha yetu ya kiswahili. Frantz Fanon alizaliwa Martinique na siyo Guyana. Aliyezaliwa Guyana alikuwa Walter Rodney aliyeandika 'How Europe Underdeveloped Africa (1972). Hapa nadhani unachanganya karata!
 
Uko sahihi Abdulhalm, kuwapa wananchi vitu bure, ambovyo actually siyo vyake yeye kama anavyotaka tuamini hivyo, wakati huku akifanya familia yake ndiyo watawala wa nchi ya Libya ni kosa lake kubwa sana. Kuwanyima watu uhuru wa kuongea, kuwaita wenye mawazo tofauti na yeye kuwa ni vibaraka wa nchi za ulaya na USA, kuwatusi kwa kila aina ya matusi anayo yajua siyo halali yake.

Kumpindua mfalme wa nchi hiyo na yeye kutaka kuongoza kama mfale mpaka afe na kumkabidhi mmoja wa watoto wake uongozi wa nchi ni dharau kwa wananchi wengine wote wa Libya. Alikwa na opportunity kwa miaka kadhaa ya kubadirisha style ya uongozi wake kutoka huu wa kiimla na kuleta uongozi shirikishi/kidemokrasia lakini ameeishia kulewa madaraka na kujiita The King of Kings.

Awe tayari kuvuna aliyopanda

Mawazo mgando.o ni zile zile tu unazisikia zikiongoza nchi hiii.
Hivi hapa Bongo mbona utawala ni ule ule. Koo ni zile zile"? Akiondoka baba anamuachia mtoto.
"Think outside the Box my Bro."
Shule mbovu
Matibabu shida
Maisha kwa ujumla ovyo.
 
...ikiwa kweli Ghadhafi katanguliza jina la Allah katika malalamiko yake, yeye na sera zake ataibuka mshindi...
Kama umejifunza hivi kidini basi naomba urudi tena darasani. Allah hajasema kila uombalo (hata kama ni uzinzi, utapeli, ubakaji na uuaji) utapewa. Allah atakuonyesha kupitia kwa Ghadhafi. Na hili litakuwa fundisho kwa watu wote wanaotaka kutania jina la Allah!
 
Nimesoma mawazo ya wengi kwenye thread hii,nabaki katikati.

Binafsi siwezi kuwa-support westerners (hasa Wamarekani) kwa kuwa lengo la kumtoa Gaddafi ni sahihi kwa some extent lakini means wanazotumia za kutumia military approach siyo sahihi.

Pili,nakubali kweli Gaddafi ameisaidia nchi yake kama mwananchi yeyote anavyopaswa kutoa mchango kwa nchi yake.Nampongeza kwa kutimiza wajibu wake

Nakataa anaposema amewapa wananchi nyumba,huduma za afya na vitu vingine bure,hapana hakuwapa na wala hakuna mtu anayeweza kuwapa wananchi vitu kama hivyo bure kama source ni income kutoka kwenye nchi yao,ni vyao!

Lakini unaposoma speech yake ndani kuna maneno ambayo kweli yana-touch,yanaumiza na kutia huruma kama binadamu.Lakini,nayafananisha na ndoano ambayo huwa imezungukwa na chambo kinachoonekana kizuri ila dhamira ya ndoano ni mbaya tu siku zote..Amejinasibu na dini anapozungumzia suala la Libya kama Nchi,wajiweke wapi Walibya ambao siyo dini yake??Haiwezi kuingia akilini mtu anapong'ang'ania kukaa madarakani zaidi ya miaka 40,aliitoa nchi toka sehemu moja akaifikisha sehemu nyingine nzuri-kwa nini ang'ang'anie kuendelea kuwa madarakani?Lakini anapofanya mapato ya Nchi yatumike kwa manufaa ya familia yake si haki kwa Walibya hata kama kuna vitu wanapata bure toka serikalini,tendo zuri haliwezi kulifanya tendo baya lisionekane kwa ubaya wake!!

Kama Waafrika tuna vingi vinavyotugawa na kamwe hatuwezi kuwa na umoja lakini kubwa kuliko yote ni Dini ambazo tumerithi toka kwa wageni-wenye asili ya dini hizo wamezitumia kwa maslahi yao binafsi wakikaa juu ya migongo ya dini hizo,nasi tumekubali kumeza hadaa hiyo!
.
Hawa jamaa wanaojiita coalition walipokuja Libya wamekurupuka sasa mambo yanawaendea vibaya.Ghadhafi hana dalili ya kutaka kukimbia kama wanavyompakazia.Kukicha anabuni mbinu mpya za kivita na ana wapiganaji wakali kama nyuki.Marekani na washirika wake pamoja na kwamba hawana staha na maazimio ya UN,pale ni jukwaa tu la kutafutia visingizio.Ukweli ni kwamba ukiondoa mabomu ya kutoka angani hawana askari wa kuteremka ardhini kupigana Libya,wakati mwenzao anatumia teknolojia za kisasa na mbinu za kijadi kupigana.Tuone!.
 
where is AU????

The AU is a hypocricy thing governing African foreign, there is no such a thing as the union of countries in Africa, we are not working, organizing ourselves and speak as one. each country is going it's own way which is being perpetuated by the Capitalist nations which in reality dominates the African economy and foreign policy. But rest of Africa is asleep! until we wake up, Colonialism is still here to stay!

Viongozi kama Gadafi ndio tunawahitaji Africa. Ni bora kuwa na viongozi dikteta kama Gadaffi lakini wanaokuza uchumi wa nchi zao (kwa lengo la kuondoa utegemezi na kuendeshwa na mabepari) Kuliko viongozi laini laini kama KIKWETE wanaojipendekeza pendekeza ulaya kuomba misaada na Hatimaye tunashindwa kusema wala kufanya chochote Afrika inapovamiwa!
 
Afrika tutawakumbuka watu wa aina ya Gadaffi, katoa ujumbe mzito sana kwa wa Africa wote na wapenda amani wote na hata kwa wanamapinduzi na wapigania haki ya kila taifa kujitawala na kufanya mambo yake yenyewe
 
kosa kubwa alilofanya ni kujiita KING OF KINGS! huwez chukua nafas ya Mungu kisa unawapa wa2 vi2 bure, atubu kwanza na kujinyenyekesha
too low na hayo ni mawazo yako bro!
The AU is a hypocricy thing governing African foreign, there is no such a thing as the union of countries in Africa, we are not working, organizing ourselves and speak as one. each country is going it's own way which is being perpetuated by the Capitalist nations which in reality dominates the African economy and foreign policy. But rest of Africa is asleep! until we wake up, Colonialism is still here to stay!

Viongozi kama Gadafi ndio tunawahitaji Africa. Ni bora kuwa na viongozi dikteta kama Gadaffi lakini wanaokuza uchumi wa nchi zao (kwa lengo la kuondoa utegemezi na kuendeshwa na mabepari) Kuliko viongozi laini laini kama KIKWETE wanaojipendekeza pendekeza ulaya kuomba misaada na Hatimaye tunashindwa kusema wala kufanya chochote Afrika inapovamiwa!
you have said it,i dont know where is f@%%ki%^ng democracy are we talking about here in Africa and there s no pure democracy in this worlid.i know they will catch him and even kill him but one day the black continent will rise against these mother f@#$%cKe$$s white people
 
Nimesoma mawazo ya wengi kwenye thread hii,nabaki katikati.

Binafsi siwezi kuwa-support westerners (hasa Wamarekani) kwa kuwa lengo la kumtoa Gaddafi ni sahihi kwa some extent lakini means wanazotumia za kutumia military approach siyo sahihi.

Pili,nakubali kweli Gaddafi ameisaidia nchi yake kama mwananchi yeyote anavyopaswa kutoa mchango kwa nchi yake.Nampongeza kwa kutimiza wajibu wake

Nakataa anaposema amewapa wananchi nyumba,huduma za afya na vitu vingine bure,hapana hakuwapa na wala hakuna mtu anayeweza kuwapa wananchi vitu kama hivyo bure kama source ni income kutoka kwenye nchi yao,ni vyao!

Lakini unaposoma speech yake ndani kuna maneno ambayo kweli yana-touch,yanaumiza na kutia huruma kama binadamu.Lakini,nayafananisha na ndoano ambayo huwa imezungukwa na chambo kinachoonekana kizuri ila dhamira ya ndoano ni mbaya tu siku zote..Amejinasibu na dini anapozungumzia suala la Libya kama Nchi,wajiweke wapi Walibya ambao siyo dini yake??Haiwezi kuingia akilini mtu anapong'ang'ania kukaa madarakani zaidi ya miaka 40,aliitoa nchi toka sehemu moja akaifikisha sehemu nyingine nzuri-kwa nini ang'ang'anie kuendelea kuwa madarakani?Lakini anapofanya mapato ya Nchi yatumike kwa manufaa ya familia yake si haki kwa Walibya hata kama kuna vitu wanapata bure toka serikalini,tendo zuri haliwezi kulifanya tendo baya lisionekane kwa ubaya wake!!

Kama Waafrika tuna vingi vinavyotugawa na kamwe hatuwezi kuwa na umoja lakini kubwa kuliko yote ni Dini ambazo tumerithi toka kwa wageni-wenye asili ya dini hizo wamezitumia kwa maslahi yao binafsi wakikaa juu ya migongo ya dini hizo,nasi tumekubali kumeza hadaa hiyo!
.

Uko sahihi na sikupingi lakini usisome na kutaka kuelewa maana ya mstari mmoja mmoja. Kama umeelewa maudhui (theme) hicho ndio cha maana, na ndio Gaddafi anachpigania (UHURU WA KWELI WA AFRIKA, KIUCHUMI). Kuelewa hiyo inatosha!
 
. Ikiwa kweli ghadhafi katanguliza jina la allah katika malalamiko yake, yeye na sera zake ataibuka mshindi hata maadui pamoja na waliopo jf wakichukia.
nakuhakikishia hataibuka mshindi-na asipofanya usitaarabu watamuua
 
Africa inahitaji watu aina ya Ghadaff sana SANA SANA...huyu ni kamanda wa ukweli na hana chembe ya uoga sio mnafiki kama most of African Rulers...amefanya mambo mengi kwa Libya na Africa anapigania AU hilo linaitisha US haitaki kuona Africa moja iliyoungana na yenye nguvu lazima yamshambulie mahuni haya majizi.....na bado kuna mtu anasema wazungu wana faa SHAME ON U...nawashangaa sana mnaoibiwa madini hapa na mko kimya mnasifia ujinga....hata hapa mgeibana Barrick mngeona cha moto...wao wanataka maslahi mambwa haya mazungu I HATE U EUROPE N AMERICA DEEATH TO U DOGGY......

Yeeah, nakumbuka jinsi mshkaji alivyoutupa chini mswada wa UN wa nini sijui.. mwana alimaanisha anachokisema. Watamkosa sana waLibya waliokubali kutumiwa kwa maslahi ya Amerika, Ufaransa et. al......
 
Gadaffi stood for the interests of the Africans, that is why I am so disappointed by the silence of other african leaders when The u.s and NATO forces are bombing Libya. The western countries are not there to protect the interests of the Libyans but to try and take control of the oil reserves available in Libya!! Yes they will succeed in toppling Gadaffi but then who will be next, Museveni maybe since he also has oil fiellds in Uganda nowadayas!
 
Kwa mtazamo wa nje unaweza kuona kama jamaa anaonewa hivi kwasababu yeye anawapatia huduma karibu zote za msingi wa Libya lakini nikiangalia madai ya wa Libya ni yamsingi sana haiingii akilini eti kwa kua unawapatia watu huduma zao ndio unaamua kukaa hapo milele.

Na kwa upande mwingine mi nashawishika kuwaunga mkono wandamanaji kwa uamuzi wao wakumng'oa Gadaffi kwa sababu anataka kujimilikisha nchi kwa kigezo cha kuwapatia misaada wakati kama angelikua kiongozi makini na mzalendo anae ipenda inji yake yeye ingefaa sana kwake kung'atuka na kuingiza nguvu mpya na kutengeneza mazingira ya usawa haki kuthaminiana kwa maendeleo ya wa Libya wote.
Au anatuaminisha kua hakuna vijana walio andaliwa kushika Dola baada yake? kama ndivyo basi nayo nisababu nyingine ya kumng'oa kwa sababu anaonekana hana mapenzi mema kwa wa Libya.
Nakama wapo na yeye hataki kuondoka aliwaandaa wa nini?
Ifikie wakati viongozi wetu wajue Ikulu sio mali ya mtu binafsi na inapofikia hatua ukaanza kung'ang'ania hapo ndipo maswali mengi hutumiminika vichwani mwetu kweli huyu anania nzuri na inji yetu au anaendeshwa tu na uchu wa madaraka?

AU haina msafi wa kuweza kuishawi dunia imsikilize karibu wote wanamigogoro mikubwa kwenye inji zao kama si kuchakachua basi ni mafisadi.
 
Kama umejifunza hivi kidini basi naomba urudi tena darasani. Allah hajasema kila uombalo (hata kama ni uzinzi, utapeli, ubakaji na uuaji) utapewa. Allah atakuonyesha kupitia kwa Ghadhafi. Na hili litakuwa fundisho kwa watu wote wanaotaka kutania jina la Allah!
Hata mimi pia nina mawazo kama ya kwako,ndio maana nikatanguliza.... ikiwa kweli. Kwa sababu huko nyuma aliwahi kuwashutumu Alqaida kama kwamba ni watu wabaya kwa uamuzi wao wa kupambana na maadui ambao sasa wamemgeukia yeye mwenyewe.
Pamoja na hivyo nimeona dalili za kutubu kwa Ghadhafi ndipo nikapata matumaini kwamba yeye ndiye atakayeibuka mshindi.
Siamini kwamba Allah atanionesha mimi peke yangu kupitia Ghadhafi.Naamini wewe utaona na wana JF wote.Hii ni kwa vile Allaha hawezi kumpa nguvu aliye dhalimu zaidi dhidi yake kuliko yule amkumbukaye angalau kwa kidogo.Hawezi kumpa nguvu anayeuwa wananchi na wanajeshi dhidi ya yule anayewapatia mahitaji yao

nakuhakikishia hataibuka mshindi-na asipofanya usitaarabu watamuua
Hii kumuua ndio lengo la tangu awali,vyengine ilikuwa visingizio tu.Walifanya hivyo kwa Saddam na haikuwa kwamba Saddam alikuwa mkosa bali alikuwa mtu hatari kwa maslahi yao.
Saddam baada ya kungo'lewa madarakani angeishi akapata muda kuandika kitabu hakuna ambaye angewathamini wakoloni.
Ghadhafi naye wana hofu wakimuwacha akaja kueleza historia yake na urafiki wake na wazungu na waliyofanyiana. Akina Marekani wataaibika sana,hivyo kwa mtazamo wao lazima afe.Lakini uamuzi wa kufa ALLAH akiukataa watamtafuta kama Osama huku wenyewe wanamung'unyuka kwa aibu.
Watapenda wamuuwe na Bashar na Ahmedinejad kuilinda Israel.Hapana ila watajiongezea maadui .
 
Afrika Unity ipo ipo tuu labda kutoa ajira kwa wajanja wachache. Kule Ivory Coast hawakuweza kufanya lolote hadi Ufaransa ilipoamua liwalo na liwe wakamwondoa Gabo. Yanayoendelea Libya kama waafrika wangekuwa wamoja kama "AU" inavyosisimama mauaji yanayoendelea kwa kisingizio cha kutafuta demokrasia yasingekuwepo.
 
Siamini kwamba Allah atanionesha mimi peke yangu kupitia Ghadhafi.Naamini wewe utaona na wana JF wote.Hii ni kwa vile Allaha hawezi kumpa nguvu aliye dhalimu zaidi dhidi yake kuliko yule amkumbukaye angalau kwa kidogo.Hawezi kumpa nguvu anayeuwa wananchi na wanajeshi dhidi ya yule anayewapatia mahitaji yao

Huyo Gaddafi unayemtetea ameua wananchi na wanajeshi wake. Kwa hiyo unafikiri Allah au hata Mtume Muhammed S.A.W atamlinda kwa hilo? Ni nani unaetaka kumpotosha?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom