Message from Gadaffi to Africans

kosa kubwa alilofanya ni kujiita KING OF KINGS! huwez chukua nafas ya Mungu kisa unawapa wa2 vi2 bure, atubu kwanza na kujinyenyekesha




Ume misqoute D5, wadhifa wowote ule ambao mwanadamu anatumia hauwezi kamwe ukatumika na kwa Mungu, kama alijiita King of Kings, let it be known ni kwa wanadamu lakini si kwa Mungu.
 
African leaders are puppets! I've haven't heard a word from atleast one of them...Ghadafi we got your back in our players.
 
African leaders are puppets! I've haven't heard a word from atleast one of them...Ghadafi we got your back in our players.

Kwi kwi..sasa mlitegemea AU chini ya watu dhaifu kama akina Kikwete waseme nini? Hii miziki ni mizito wajameni, msidhanie ni kitoto.
 
Kwa Gadaffi, who are we to say kua hafai while the majority of his country waliona anawafaa. Who are we to say kua hafai kua kiongozi na kajikweza sana na kujivisha Cheo kikubwa while majority ya wanachi wake wanaona otherwise. Tunashangaa Gadaffi kutawala muda wote huu eti tu kwa sabau kakaa katika regime mda mrefu? kwani kuna tofauti gani na nchi ambayo ina sera hizo hizo toka kupata uhuru, wanapiga kura ndio lakini hamna kinacho badilika zaidi ya viongozi huku maisha ya wananchi yanazidi kushuka na kua mabaya.

Tunashabikia sana Libya kuvamiwa na uharibufu wote kutokea acha disruptions zinazo occur in each aspect na sector huku tukisahau kua hata sisi pia tunaweza ingiliwa ili mradi tu raisi wa dunia akiona inafaa kua hivyo. Gadaffi is not perfect but katika viongozi tulonao katika bara letu la Africa he is not the worst. Na suggest tuache kushabikia na tuchukue interest ya kufahamu sorce na the reasons behind the whole facade; na tukielewa hivyo tujiulize wapi tunaenda? tunanguvu na strategies ya kuandaa muelekeo wetu? na most importantyl do we really know who we are?
 
Uko sahihi Abdulhalm, kuwapa wananchi vitu bure, ambovyo actually siyo vyake yeye kama anavyotaka tuamini hivyo, wakati huku akifanya familia yake ndiyo watawala wa nchi ya Libya ni kosa lake kubwa sana. Kuwanyima watu uhuru wa kuongea, kuwaita wenye mawazo tofauti na yeye kuwa ni vibaraka wa nchi za ulaya na USA, kuwatusi kwa kila aina ya matusi anayo yajua siyo halali yake.

Kumpindua mfalme wa nchi hiyo na yeye kutaka kuongoza kama mfale mpaka afe na kumkabidhi mmoja wa watoto wake uongozi wa nchi ni dharau kwa wananchi wengine wote wa Libya. Alikwa na opportunity kwa miaka kadhaa ya kubadirisha style ya uongozi wake kutoka huu wa kiimla na kuleta uongozi shirikishi/kidemokrasia lakini ameeishia kulewa madaraka na kujiita The King of Kings.

Awe tayari kuvuna aliyopanda

Kwani Uhuru wa kuongea una maana gani kama huyo unayemweleza hakusikilizi, sisi tuna uhuru wa kuongea kwani ukiongea ni nani anayekusikiliza. Mimi nafikiri nchi zetu za Ki-Afrika ambazo tunakabiliwa na changamoto nyingi katika maisha ya kila siku (mahitaji muhimu) tunahitaji uongozi wa kidikteta kwa kipindi fulani, huu mfumo wa demokrasi ni uhuni mtupu.

Kumbuka hapo mwanzo Mungu alikuwa kiongozi wa watu lakini baadae wakataka uongozi wa wanadamu hapo ndipo matatizo yalipoanza. Nami ninauona huu mfumo wa demokrasi kwa nchi za Afrika ndiyo mwanzo wa matatizo.
 
1.mbona ujumbe wake umesainiwa 4/5/2010?......mwezi ujao?????
2.ni kweli akiondoka walibya hawatapata tena huduma za bure,watamkumbuka.
3.sijamuelewa,anatafsirije democrasia?????
4.je ndio anatoa wosia?????
5.nani kasema binadamu wanashukrani?yesu alifufua hadi wafu.....wakamuua.
6.lakini???? Si ni huyu alimsaidia idd amini vita ya kagera?????? Au tumemsahau?????
 
Africa is and will alwaiz remain for Africans.....DEATH TO OBAMA MJALUO MZUSHI....DEATH TO UN...very touching message WAKE UUUUUUUUUUUUUPPPPPPPPP AFRICA....STANDS FOR YOUR RIGHT N DIGNITY...

I LOVE U MUAMMAR UR MY HERO.....
 
Sasa Gaddafi anajifanya yeye ni malaika siyo? Kwa nini anajitetea mpaka analia? Siwashabikii hao ma-west lakini kwa hili ngoja wamtandike vizuri mpaka akome na liwe fundisho kwa vizazi vilivyopita na vijavyo. Kama anafikiria Obama ni mtoto wake basi imekula kwake!

IMHO, Africa does not need the likes of Gaddafi & co.
 
Kwani Uhuru wa kuongea una maana gani kama huyo unayemweleza hakusikilizi, sisi tuna uhuru wa kuongea kwani ukiongea ni nani anayekusikiliza. Mimi nafikiri nchi zetu za Ki-Afrika ambazo tunakabiliwa na changamoto nyingi katika maisha ya kila siku (mahitaji muhimu) tunahitaji uongozi wa kidikteta kwa kipindi fulani, huu mfumo wa demokrasi ni uhuni mtupu.

Kumbuka hapo mwanzo Mungu alikuwa kiongozi wa watu lakini baadae wakataka uongozi wa wanadamu hapo ndipo matatizo yalipoanza. Nami ninauona huu mfumo wa demokrasi kwa nchi za Afrika ndiyo mwanzo wa matatizo.

Braza hata mie ningeulizwa kuchagua kati ya social welfare ya uhakika na freedom of speech sijui political freedom, mie ningechagua economic prosperity..no doubt about that. Lakini ishu ni kwamba pamoja na maendeleo alioleta Qaddhafi bado alikua anajilimbikizia mali, kuendesha serikali kwa staili ya kuamrisha. Jaribu kuufatilia matanuzi yake na ma-extravagant expenditure yake utakimbia..so hapa ishu ni kwamba binadamu hatakaa waridhike yeye, alitakiwa ajaribu kuachia kidogo kidogo himaya kwa watu wengine taratibu..huezi ukakaa madarakani miaka 40 + ktk karne hii..enzi za mawe ingewezekana lakini hii ni enzi mpya yenye challenges tofauti.
 
Africa is and will alwaiz remain for Africans.....DEATH TO OBAMA MJALUO MZUSHI....DEATH TO UN...very touching message WAKE UUUUUUUUUUUUUPPPPPPPPP AFRICA....STANDS FOR YOUR RIGHT N DIGNITY...

I LOVE U MUAMMAR UR MY HERO.....

Don't be brainwashed..Qaddhafi ni mwarabu na muislamu..kama hupo kwene hayo mafungu 2 huna chako. Hata hapo kwene hicho ki-article anajifananisha na Salahddin, na anajinasibu usilamu na uarabu strategically, kwa mtu asie na muono wa ndani lazima aingie kichwakichwa na rhetoric hizo za kiujanjaujanja. Na anataka pia kujinasibu uafrika kwa malengo hayohayo.
 
Sasa Gaddafi anajifanya yeye ni malaika siyo? Kwa nini anajitetea mpaka analia? Siwashabikii hao ma-west lakini kwa hili ngoja wamtandike vizuri mpaka akome na liwe fundisho kwa vizazi vilivyopita na vijavyo. Kama anafikiria Obama ni mtoto wake basi imekula kwake!

IMHO, Africa does not need the likes of Gaddafi & co.

Africa inahitaji watu aina ya Ghadaff sana SANA SANA...huyu ni kamanda wa ukweli na hana chembe ya uoga sio mnafiki kama most of African Rulers...amefanya mambo mengi kwa Libya na Africa anapigania AU hilo linaitisha US haitaki kuona Africa moja iliyoungana na yenye nguvu lazima yamshambulie mahuni haya majizi.....na bado kuna mtu anasema wazungu wana faa SHAME ON U...nawashangaa sana mnaoibiwa madini hapa na mko kimya mnasifia ujinga....hata hapa mgeibana Barrick mngeona cha moto...wao wanataka maslahi mambwa haya mazungu I HATE U EUROPE N AMERICA DEEATH TO U DOGGY......
 
You don't know much about Libya my brother. He overstayed but his people are enjoying. Every basic need is free. Where will you get that in this world today? They spoiled Benghazi people, without knowing hey will never be the same without Ghadafi. Trust me after Ghadafi leave or Die, life will change completely in Libya. And those people who are advocating for his departure at any cost they will pay the price. Nothing is for free in this world. You help me to throw him out, will pay you oil for twety five years.

I am not saying what the westerners are doing is good. Of course its not but that does not justify what this psychopath is doing. He overstayed yes, but now his people wants him out, and instead of leaving he started shooting them? If Ghadafi love his people so much why did he kill them when they started protesting against his administration? He is a mass murderer!!! He has been into power for so long and I think that affects his judgment. Somebody who has been president for over 40 years and still wants to continue must have psychological problems. Are you telling me the whole of Libya doesnt have people who can be presidents?
 
My dear brother your true Allah and only the living God will save you from the hands of the agents of the dark places of the earth long as you chose to confess Him publicly. He is might and powerful the Alpha and Omega and all others are in between. He will never leave nor forsake you and a thousands shall fall by your sides ye ten thousands on your right hand. I promised and still do to stand with you and hold you day and night with all powers conferred to me, be sure of this even if all shall leave you to die on evil hands I will keep on with you in this good fight till we victoriously celebrate their defeat.
 
... mahuni haya majizi.....na bado kuna mtu anasema wazungu wana faa SHAME ON U...nawashangaa sana mnaoibiwa madini hapa na mko kimya mnasifia ujinga....hata hapa mgeibana Barrick mngeona cha moto...wao wanataka maslahi mambwa haya mazungu I HATE U EUROPE N AMERICA DEEATH TO U DOGGY......
Haisadii sana kutumia lugha kama hii. Unajipa presha ya bure!
 
i am very much touched by the speech, its pity african union is kimya and allow nato bombs to fall over libya! to be honest this is the biggest embarrasment african continent has to endure!
 
Why Afrikan brothers dont speak for him? Where is Mandela, Mugabe, Kaunda and other revolutionary people in Africa!!!! Today is Ghadafi and who next.....

Am touched with the word of this true son of Africa....... Jesus will help him.


Ghadafi is a biased muslim known to the whole world HOW CAN JESUS HELP HIM?????!!!!! read btn lines of his claims and definately u will understand to him A FRICA is arabic & islamic.
 
You don't know much about Libya my brother. He overstayed but his people are enjoying. Every basic need is free. Where will you get that in this world today? They spoiled Benghazi people, without knowing hey will never be the same without Ghadafi. Trust me after Ghadafi leave or Die, life will change completely in Libya. And those people who are advocating for his departure at any cost they will pay the price. Nothing is for free in this world. You help me to throw him out, will pay you oil for twety five years.

Kuna vitu vingine hakusema hapa ambavyo ni points: he launched the first satelite ambayo ilifungua mtandao wa sim kwa africa nzima. kama leo tunatumia sim ya mkononi ni yeye. pia alijenga miskiti na ma hospitali karibu nchi zote za kiafrika. hiyo tunakubali. na aliwasaidia sana wana libya katika vile vitu alitoa bure. Mwisho kabisa nadhani interference ya nchi za nje haikutakiw kua yenye violence, just talks, discussions, na sanctions zingine kama ambargos etc. na hivyo hawakujaribu hata, walimrukia moja kwa moja na visu. Hakusema pia kama kuna interest ya kumiliki the largest african petrol reserve. Hiyo ni kweli
However, tujiulize: Hivi kuwapa watu material goods for free but uwanyime freedom os speech, freedom to chose their representatives, freedom to gather and celebrate or discuss on whatever they want? hamna freedom hapo. aliwatreat wana wa Libya kama watoto. Kweli Libya imebarikiwa na Mungu na pato la serikali lilikua kubwa, lenye kuruhusu hivyo vitu vitolewe bure lakini tutajuaje hilo pato ni la ngapi jumla bila kushirikishwa, huenda kuna vitu vingi zaidi vingeweza kufanywa na hizo hela ambazo zinaaminika kugeuzwa mishahara ya president na wanae? :A S 39:
All in all Ghadafi was a king and does not deserve thjis treatment but na yeye kajitafutia sababu hakuwashirikisha watu na alifanya kiburi wakati alitakiwa kusikiliza umati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom