message from +255654969638

i have just received a message from the number in question with the message of warning to all muslims,..goes like this and i quote..


My concern: Who gave my number to this anonymous?
duh hii italeta mtafaruku wa mambo, lakini waislam wana imani kwamba kama ukimlisha mtu kitu haramu hali ya kwamba ukijua ni haramu kwake na anayekula akawa hajui analishwa haramu basi kwake si haramu.
 
Tatizo hili kundi kila wakati linajihisi nyonge sijaelewa ni kwa nini? Ni bahati mbaya sana hili kundi limekuwa likitumiwa sana na watawala bila kujijua.CCM wameamua kuwekeza kwa muslims ili kila wakati wanapoguswa wanwaamusha hao jamaa na wao wankurupuka kama wanaonewa.This is very sad kwa jamaa zangu inabidi mzinduke.
Ki-chemically haikubaliki kabisa sababu;
TBS wanaruhusu uozo huu ufanyike????.
TFDA wamekuliana na uozo huu????
Haihitaji kutumia akili nyingi kubaini kama ndugu zangu waislam mnatumiwa kama ngao ya kuwakinga watawala bila kujijua

kaka umeongea point sana kama wana masikio wasikie!!
 
Thanks #17 for your reply to nyabingi.
This SMS circulating thro, is just a propaganda btn various brands of soft drinks.
 
Back
Top Bottom