Meshack Nzowa wa Magic FM na Gazeti la Chama.

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Huyu mtangazaji anaboa sana kwa kutangaza kwa kujikomba. Utamsikia akisoma gazeti la Uhuru, nimeshika gazeti la chama, na mara nyingi linapewa umbele kusomwa. Wanasahau enzi za CHAMA NA SERIKALI zimekwisha.
 
asipofanya hivyo atakula wapi jamani?

wengine wanajua kitu kimoja tu; akiondolewa hapo unaweza kumkuta kijiweni kabisa anakula kashata.
 
Sijui vijana washamba km hawa ambo hawataki kwenda na wakati tuwqafanye nini vile.....................au ndo walewale wanafanya na kusema vitu kwa malengo yaleyale ya akina kibonde,salva rweyemamu, marin hassan na vikaragosi vingine km hivyo si mnajua bongo njaa na ccm inataka watu wenye njaa ili iwatumie kwa hiyo ni mipango tu ya kimaisha
 
Baada yakusoma magazeti wana ka-segment wanakaita 'gumzo' wanajifanya wanachambua issues.,hapo ndo utajua aina ya waandishi tulionao..
 
Uliyeanzisha hii thread hakika umeongozwa na Mungu, maana toka juzi nafikiria kupost kuhusu huyo mtangazaji Meshack Nzowa; kwa kweli anaboa sana, ni kama alipewa tu hiyo nafasi kwa urafiki, udini au ukabila;
1. Hajui kusoma vizuri- anakosea sana
2. Ana maneno mengi sana- Mfano '' Nimemaliza kusoma ukurasa wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne'' '' tutawasomeeni ukurasa wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne'' yote hayo ya nini wewe soma gazti basi
3. Upeo wake wa kujua mambo mbalimbali ni mdogo sana
4. Nadhani kashia kidato cha nne na lazima alipata daraja la nne au ngozi- na shida hataki kabisa kujiendeleza

Wiki kama mbili hivi alikuwa na yule Ponera yule ndo anamuweza maana alikuwa akilieta ujinga au akivunja kamusi anamkosoa hapo hapo. Pia aliniboa sana wakati wa kifo cha Abdallah Ramadhan alivyokuwa anaeleza namna ambavyo alipata taarifa za msiba huo- ilikuwa ni ujinga tu.........

SAMAHANINI kama nimeenda mbali sana ''ANABOA SANA HUYO MESHACK NZOWA'' UZURI NI KUWA ANAYO NAFASI YA KUJIREKEBISHA
 
Bora yangu mie sijawahi kumsikia na huo ujinga wake, kumbe nae ni ***** kama joho kihampa
 
Wakuu, huyo meshack Nzowa afadhali kidogo, pale TBC1 yupo ****** mmoja anaitwa
KIHAMPA,huwa akisoma magazeti natamani aanguke ghafla ili afe,akisoma gazeti la umbea la uhuru au habari leo anasoma hadi picha,kosa ije kwenye tz daima au majira,wakati mwingine hasomi kabisa,eti muda umekwisha.huyu kihampa sijui lini atapotea kwenye hii sayari!
 
Kweli umemchukia, kiasi cha kutamani apotee kwa kifo. Duh!!
 
Hata mimi nina ushauri wa bure kwa meshack na mwenzake wanaesoma nae magazeti.....jitahidini sana muende shule kuongeza mlichonacho ili mje muwe bora zaidi zaidi mpate hata bbc voa etc maana hapo hakuna future nawaona kama mmeridhika sana acheni kufukiria kwa matumbo!!mna familia mjitahidi sana msomeeee!!!!!!
 
Niliwaonea huruma sana mchambuzi wenu kibwana kama sikosei anawagalagaza mbali sana mnaonyesha kabisa hamsomi historia,international affairs,yaani ni weupe!!angalie mada mnayotaka kujadili mkazame kutafuta data msiwe kama mmetoka usingizi jamaa akishusha data
 
Back
Top Bottom