Meseji yazua balaa

Habari wana jf,
hebu niambieni endapo itatokea kwenye mahusiano yenu utafanyaje.

Umezoea kuchat na mwenza wako mara kwa mara unampenda sana na huna mahusiano na mtu mwingine.,sasa inatkea siku mnachati lakini kutokana uchovu wa kazi na mizunguko ya mchana unajikuta umepitiwa na usingiz,anakutext after 30mins ndo unaiona,unampigia kama mara tano ndo anapokea,sasa mnapoonana anakushutumu kuwa umemdharau na kukuinsult kua huna maana,eti watu wapo wengi sana wa maana zaidi yako,u have nothing special kumtreat hivyo etc,etc. Kama ni ww utafanyaje?

Thank God for showing you them signs?
 
Back
Top Bottom