Meseji yazua balaa

Hayo maneno aliyokwambia ni makali sana kumwambia mpenzi wako. Lakini kuna vitu haviko wazi hapa. Ikiwa kweli ndo 'ugomvi' wenu wa kwanza, hukuwahi kumsikia akiropoka maneno makali hivo hata kwa watu wengine? Huyo jamaa ni mtumiaji wa kilevi chochote au? Na wakati anatamka hayo alikuwa sober au? Ni mawazo yangu kuwa kunaweza kuwa na sababu ambayo haijawa wazi hap.... Miaka mitano bila ugomvi halafu kutojibu meseji kwa dakika 30 iwe issue?!
 
Habari wana jf,
hebu niambieni endapo itatokea kwenye mahusiano yenu utafanyaje.

Umezoea kuchat na mwenza wako mara kwa mara unampenda sana na huna mahusiano na mtu mwingine.,sasa inatkea siku mnachati lakini kutokana uchovu wa kazi na mizunguko ya mchana unajikuta umepitiwa na usingiz,anakutext after 30mins ndo unaiona,unampigia kama mara tano ndo anapokea,sasa mnapoonana anakushutumu kuwa umemdharau na kukuinsult kua huna maana,eti watu wapo wengi sana wa maana zaidi yako,u have nothing special kumtreat hivyo etc,etc. Kama ni ww utafanyaje?

Graca Dear,
Huyo jamaa ni abusive. Be careful... hawezi tu kukutamkia maneno hayo na kukasirika kisa eti umechelewa kumjibu sms. He is insecured and way too jealous. Ogopa mtu wa namna hiyo dear.
 
hayo maneno aliyokwambia ni makali sana kumwambia mpenzi wako. Lakini kuna vitu haviko wazi hapa. Ikiwa kweli ndo 'ugomvi' wenu wa kwanza, hukuwahi kumsikia akiropoka maneno makali hivo hata kwa watu wengine? Huyo jamaa ni mtumiaji wa kilevi chochote au? Na wakati anatamka hayo alikuwa sober au? Ni mawazo yangu kuwa kunaweza kuwa na sababu ambayo haijawa wazi hap.... Miaka mitano bila ugomvi halafu kutojibu meseji kwa dakika 30 iwe issue?!

huwa anakunywa mbili tatu ila hana tabia ya kulewa. Huwa tunapishana ila si kwa sababu kama hii,na haijawah tokea akanitolea maneno mabaya kama haya.
 
graca dear,
huyo jamaa ni abusive. Be careful... Hawezi tu kukutamkia maneno hayo na kukasirika kisa eti umechelewa kumjibu sms. He is insecured and way too jealous. Ogopa mtu wa namna hiyo dear.

thx dear,well noted.
 
achana na huyo mwanamke matamshi yake siyo mazuri kabisa na kama ni mzuri basi anajipa kiburi kwa sababu anatongozwa sana tena na watu wanao mtamani wala siyo kumpenda
 
achana na huyo mwanamke matamshi yake siyo mazuri kabisa na kama ni mzuri basi anajipa kiburi kwa sababu anatongozwa sana tena na watu wanao mtamani wala siyo kumpenda

ni mwanaume
 
kaka mie nipo kwenye game more than ten years na sasa nataka nianze kutunga nyimbo/singles ambazo hawa wanamuziki wetu watanisaidia kuimba ambazo zitzsaidia watu kutafuta wake/waume wanao wafaaa na nyingine kuwafariji walio kata tamaa ya ndoa zao., mie nakushauri huyo sio ila endelea kumchunguza (lakini hakufai)
1.kwa sasa utaona kama sio tatizo lakini nitatizo kubwa sana
2.busara zake ni ndogo saana utaja juwa baadaye kwa sasa ni ngumu kujua
3.si mvumilivu na mtafiti
atakuja kuwa kero sana pindi atakaopewa visa angalia sana utanikumbuka
 
Duh!Wajinga bado wapo dunia kwa kiwango kikubwa na huyo ni mmoja wao!!Watu wa aina hii ni kuacha nao na kuwaepuka!!
 
Habari wana jf,
hebu niambieni endapo itatokea kwenye mahusiano yenu utafanyaje.

Umezoea kuchat na mwenza wako mara kwa mara unampenda sana na huna mahusiano na mtu mwingine.,sasa inatkea siku mnachati lakini kutokana uchovu wa kazi na mizunguko ya mchana unajikuta umepitiwa na usingiz,anakutext after 30mins ndo unaiona,unampigia kama mara tano ndo anapokea,sasa mnapoonana anakushutumu kuwa umemdharau na kukuinsult kua huna maana,eti watu wapo wengi sana wa maana zaidi yako,u have nothing special kumtreat hivyo etc,etc. Kama ni ww utafanyaje?

Huyo ni kimeo tu.
 
Hee kumbe huyo ni mwanaume!Pole mama kuna watu hawajui kuwatreat nyie mabint,usihofu,huyo atakuwa na matatizo yafuatayo,mosi,ni mdhalilishaji,second hajiamini kwako hivyo anahisi hastahili kuwa na wewe hivyo anahisi unamdharau,yote haya yana tiba ila awe anajua ana tatizo halafu akubali tiba,tiba yake ni ushauri,akikubali mnaweza kwenda kwa wataalam wa mahusiano kwa ushauri!
 
Kumbe hii nayo ni topic??? ha ahaaaaa nakuja ngoja niende kwenye mazishi yetu ya CCM tumefiwa na mwanachama na mtaalamu wetu wa majini
 
Nimekupata vzr lakini unajua ku-deal na watu sampuli hii ni so difficult,sasa hebu niambie issue ndogo kama hii anashindwa kui - handle, likitokea kubwa zaidi ya hili si anaweza chinja mtu , hawa ndio walewale......
ndo wale wale kina nani?
 
baada ya malumbano ya muda kdg naomba mechi then napafomu kinoma, thereafter hasira zitakuwa zimeisha, sometimes hasira zinasababishwa na hawa mabinti kutokuliwa mara kwa mara. Leo mwisho wa dunia nawahi bar kumalizia hala zangu!!!
 
Mweleze tu ukweli kama haelewi achana naye,mi mwenyewe imenitokea,yeye akipitiwa na usingizi mi simjibu vibaya na akinieleza namwelewa,but mimi nikipitiwa yeye anakasirika na kwenda offline hata anaweza kuzima simu siku mbili ili nisimtafute.hiyo tabia ilipoendelea nikagiv up tu
 
kaka mie nipo kwenye game more than ten years na sasa nataka nianze kutunga nyimbo/singles ambazo hawa wanamuziki wetu watanisaidia kuimba ambazo zitzsaidia watu kutafuta wake/waume wanao wafaaa na nyingine kuwafariji walio kata tamaa ya ndoa zao., mie nakushauri huyo sio ila endelea kumchunguza (lakini hakufai)
1.kwa sasa utaona kama sio tatizo lakini nitatizo kubwa sana
2.busara zake ni ndogo saana utaja juwa baadaye kwa sasa ni ngumu kujua
3.si mvumilivu na mtafiti
atakuja kuwa kero sana pindi atakaopewa visa angalia sana utanikumbuka

i cant wait! Fanya haraka utoe single ili utufariji wahanga.
 
hee kumbe huyo ni mwanaume!pole mama kuna watu hawajui kuwatreat nyie mabint,usihofu,huyo atakuwa na matatizo yafuatayo,mosi,ni mdhalilishaji,second hajiamini kwako hivyo anahisi hastahili kuwa na wewe hivyo anahisi unamdharau,yote haya yana tiba ila awe anajua ana tatizo halafu akubali tiba,tiba yake ni ushauri,akikubali mnaweza kwenda kwa wataalam wa mahusiano kwa ushauri!

thx eiyer sina sababu yoyote ya kumdharau,yaani kila nikikumbuka nasikia kama kisu kimepitishwa ndani ya moyo. Hata perfomance kazini imekua si nzuri
 
kumbe hii nayo ni topic??? Ha ahaaaaa nakuja ngoja niende kwenye mazishi yetu ya ccm tumefiwa na mwanachama na mtaalamu wetu wa majini

elli nakusubiri uje unipe ushauri na usisahau updates za mazishi.
 
ninakata cmu na ninaendelea kulala au kama nimeonana nae ninainuka na kuondoka mana kama hakunipa nafac ya mm kujielezea nitampa tukionana nae next time so ninafanyaga hvyo kuepusha zengwe la kujaza watu na kubishana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom