Meseji ya mauaji ya Barlow yanaswa

Hapana hausiki anaposema kupitia simu ya dorothy wanamaanisha ni Handset tu kumbuka wale so called majambazi walimnyang;anya simu wakatupa line kwahyo walichomeka line yao(hapo ndio walipokosea) so kupitia line yao iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy ndio ikawa rahisi kufatilia hyo namba(iliyochomekwa kwenye simu ya mwalimu dorothy) ndio wakagundua hizo message,umeelewa?
Sikubishii ila mi nimeelewa au nimewaza tofauti.
Kwa mhalifu sidhani kama anaweza kuwaza option hiyo ya kuchomeka line yake kwenye handset ya mtu mwingine kwani hiyo ni rahisi kuwa traced, na hii haihitaji uelewa mkubwa sana kung'amua. Hata mtu wa kawaida kabisa anaweza akajua hilo kwa sababu line zote zimesajiliwa.

Ninachodhani ni kuwa hao jamaa walitumia line na handset ya doro kuwasiliana na upande mwingine. Walio-investigate wali-trace kule ambako hanset/line hii ilipeleka mawasiliano. Option hii nadhani ndo inaweza kuwa ngumu kwa mtu wa kawaida kuing'amua kuwa ni traceable.
 
Mhhhhh! Kumbe mwalimu doroth alitumia chululu yake kama mtego!!!!!????
 
Naomba unieleweshe... Hivi kuna uwezekano wa kufatilia handset ya mtu bila Kujua IMEI ya handset yake? Na Kama sivyo, Inamaana polisi walikuwa na IMEI ya handset ya Mwalimu Dorothy b4? kama walikuwa nayo huoni kulikuwa na dalili ya kumtilia mashaka ndo mana wakamfatilia?

yes ndio maana ya cyber crime investigation,ni rahisi kama kusukuma mlevi,
 
mmmh polisi kwa kutoa habari bila kuzifanyia kazi wanaongoza. kumbuka ya ulimboka mara mkenya akakamatwa. Kova akaongea na waandishi lol wanachosha
 
Polisi magamba kwa kubambikia kesi ndio wenyewe. Kisha wajipongeze kwa "utendaji bora" kumbe wanaharibu maisha ya watu wasiokuwa na hatia yoyote.

wafanye upelelezi wa kina wasije wakawasingizia watu kisa kulipiza kisasi
 
Kamanda Barlow alifia kinenani. Hakuna uchunguzi hapo. Leka dutigite muuaji mmoja wa polisi kapungua.
 
Naomba unieleweshe... Hivi kuna uwezekano wa kufatilia handset ya mtu bila Kujua IMEI ya handset yake? Na Kama sivyo, Inamaana polisi walikuwa na IMEI ya handset ya Mwalimu Dorothy b4? kama walikuwa nayo huoni kulikuwa na dalili ya kumtilia mashaka ndo mana wakamfatilia?

Ndugu kwanini unashindwa kuelewa tu? Kampuni yeyote ya simu inao uwezo wa kusoma imei ya simu(hard ware address) pamoja na hiyo line yako. Kwavile simu zilisajiliwa, sasa inakuwa kazi rahisi tu kujua
 
mimi kuna masela fulani walinitapeli maeneo ya victoria wakaondoka na iphone 4 yangu... nikaenda tigo wakadai hawawezi kuipata imei yangu wafunge simu...ama wamkamate anaetumia..so unamaanisha walikuwa(wafanyakaz) vilaza??
 
Naomba unieleweshe... Hivi kuna uwezekano wa kufatilia handset ya mtu bila Kujua IMEI ya handset yake? Na Kama sivyo, Inamaana polisi walikuwa na IMEI ya handset ya Mwalimu Dorothy b4? kama walikuwa nayo huoni kulikuwa na dalili ya kumtilia mashaka ndo mana wakamfatilia?

Kila unapopiga au kupigiwa simu, IMEI hurekodiwa kwenye mtandao wako. Hivyo IMEI ya doroth anawezapatikana kutokana na simu alizopiga na kupigiwa na inaweza tolewa na owner wa mtandao wake. Baada ya kujua IMEI, then mitandao yote wanaagizwa kufuatilia IMEI hiyo inatumiwa na namba gani then mtu ananaswa kama kuku mwenye kideli.

Polisi wetu wakiamua kufanya kazi wako vizuri dunia nzima.
 
mimi kuna masela fulani walinitapeli maeneo ya victoria wakaondoka na iphone 4 yangu... nikaenda tigo wakadai hawawezi kuipata imei yangu wafunge simu...ama wamkamate anaetumia..so unamaanisha walikuwa(wafanyakaz) vilaza??
Walikuwa hawataki tu, wakingurumiwa wanatoa IMEI , tena smartphone?? lazima wanayo.
 
Hawa polisi waliodai wamempata mtu aliyetaka kumuua Ulimboka kumbe uongo?
Tangia hapo huwa siamini propaganda za polisi. Nyie subirini mtaja jua ukweli tofauti na tunavyoambiwa sasa hivi.
 
Back
Top Bottom