YaKwangu: Neema Guest House, Room No: 12
ya kwangu yasema hivi, USISAHAU KUNLETEA TOILET PAPER MAMBO YASHAHARIBIKA HUKU
Dah natamani kutoa msg yangu ila noma naogopa kuvunja watu mbavuMkuu umeona eeh?!
Watu wengine wanawaza mbaliiiiii !
Teh kweli hii safiYa kwangu inasema hivi:
Sasa furahia punguzo 20% kupiga mitandao yote kwa salio la tigo niwezeshe (MKOPO), PIGA *149*05 "OK" kukopa.