Meru yalipuka! Mabomu yaanza kurindima usiku huu

Lakini JK hajawahi kupiga kelele za kupinga rushwa na ufisadi hadharani kama ambavyo ole Sendeka alivyokuwa anajinasibu kwa muda mrefu.

hivii, ile soap opera ya "kujivua gamba" mwasisi wake ni nani vile??
 
Kwani hakuna petrol hapo walipo??
Huyo na mwizi wa toyo wanatofauti gani??

Piga kiberiti huyo!!
 
Hakuna watu waongo kaa hawa magwanda, watuoneshe ushahidi wa hao watu kugawa fedha! wametumwa kuanzisha fujo wanajuwa maji yamewafika shingoni, sababu za kijinga hizo na wala haziingii akilini. Eti Ole Sendeka anagawa rushwa!
 
Hivi sasa mabomu yanalipuliwa eneo la Kolila karibu na KIA kisa ni uchaguzi wa Jumapili wa Arumeru-Mashariki.

Sababu ni kwamba mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka anashikiliwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kumfuma akigawa fedha (Mlungula) katika kijiji cha Kolila.

Polisi wamefika na kujaribu kumuokoa lakini wananchi wamegoma kumuachia na hivyo mabomu ya machozi yanafyatuliwa.

Jana tena mbunge wa Arumeru-Magharibi, Goodluck Ole Medeye alibambwa na wananchi akigawa rushwa na kuwekwa chini ya ulinzi na vijana wa chadema. Ila hili la leo linaelekea kuwa serious zaidi

Mengine tutawa..update baadae.

Wamtie vidole kidogo ili kampeni zikiisha akamsimulie mke wake. Wamezidi bana, kilichopo ni kuchukua picha na video clipp ili waanikwe kama Lusinde alivyofedheheka kama juha vile jukwaani.
 
Hakuna watu waongo kaa hawa magwanda, watuoneshe ushahidi wa hao watu kugawa fedha! wametumwa kuanzisha fujo wanajuwa maji yamewafika shingoni, sababu za kijinga hizo na wala haziingii akilini. Eti Ole Sendeka anagawa rushwa!

Watu walisema Lusinde katukana leo, magamba kama kawaida yao wakabisha na mambo yalipokuwa hadharani mkahamanika.

Na hili nalo mnataka kubisha. Mpigie simu Olesendeka umuulize yuko wapu saizi atakupa majibu.
 
31362_119214964778295_107949332571525_158429_7180864_n.mp3
 
Hivi sasa mabomu yanalipuliwa eneo la Kolila karibu na KIA kisa ni uchaguzi wa Jumapili wa Arumeru-Mashariki.

Sababu ni kwamba mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka anashikiliwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kumfuma akigawa fedha (Mlungula) katika kijiji cha Kolila.

Polisi wamefika na kujaribu kumuokoa lakini wananchi wamegoma kumuachia na hivyo mabomu ya machozi yanafyatuliwa.

Jana tena mbunge wa Arumeru-Magharibi, Goodluck Ole Medeye alibambwa na wananchi akigawa rushwa na kuwekwa chini ya ulinzi na vijana wa chadema. Ila hili la leo linaelekea kuwa serious zaidi

Mengine tutawa..update baadae.

NIna wasiwasi sana na ueledi wa hawa mamoderators wetu wa JF, mnawezeje kuacha jambo kama hili ambalo halina credible source kuendelea kueko jamvini? mmethibitisha hizi habari? laiti mtu angeandika slaa abambwa akitoa rushwa am sure habari hiyo hata kama ingekuwa ni ya kweli basi isingechukua round na kufutiliwa mbali! let us be realistic
 
pamoja sana mkuu, hapa unatakiwa kuwa makini. Ni kweli habari hii ingekuwa kinyume chake. Isingechukua raundi.
 
tumethubutu kutoa rushwa,tumeweza kuwapa watu rushwa na tutasonga mbele kutoa rushwa kwenye chaguzi zote hawa ndio magamba
 
Hakuna watu waongo kaa hawa magwanda, watuoneshe ushahidi wa hao watu kugawa fedha! wametumwa kuanzisha fujo wanajuwa maji yamewafika shingoni, sababu za kijinga hizo na wala haziingii akilini. Eti Ole Sendeka anagawa rushwa!

Tusaidie kwa kutuambia basi,alikuwa anafanya nn?? Sio unatutolea povu tu hapa kama teja wa unga!!
kweli kazi mnayo,hata malaya akiitwa malaya huja mbogo!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom