Mererani kumetokea nini?

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Nimepata habari juu juu kwa msg kuwa kumetokea majanga la kufa kwa watu huko mererani.
Wadau wa Arusha na manyara tujuzeni kama kuna janga lolote la kufa kwa watu.
 
Ngoja niende huko maana ukisikia hivyo basi mashimo yatatema kupindukia.
 
Ngoja niende huko maana ukisikia hivyo basi mashimo yatatema kupindukia.

Yaani bado unaamini ushirikina wa aina hiyo? Ndiyo nyinyi mukiambiwa mupeleke vichwa vya watu basi mutatekeleza kwa tamaa ya utajiri
 
Kuna matukio kama watu wa5 kati ya 6 wa familia moja kuteketea kwa moto siku ya Krisimasi, wengine kukutwa wamefia ndani kwa risasi baada ya kufungua zawadi za krisimasi nk lakini tukio linalowezaitwa janga la kitaifa hakuna.
 
hilo si JaNgA?
 
Kutokana na chanzo kilichopo huko ni kweli kuna watu wamefunikwa na kifusi cha mgodi lakini idadi yao haijafahamika. Habari hizo zimelijiri muda wa saa nane mchana maeneo.
 
Mkubwa! Bila ya kukosea

Ilikuwa ni nyakati ya masika ya mvua ya El-nino ambao Ndg zetu wapatao 150 ama na zaidi walipoteza maisha baada ya mafuriko iliyokuwa na mfano kwa leo na hayo yaliyoyakuta Ndg zetu wa Dar-es-salaam na kuwafungia wote waliokuwepo mgodini na walionusurika kwa janga hilo walitoa ushuhuda
Hakika nakwambie tuliwapote Nguvu ya Umma mwaka 1998 wengi sana

Kuna familia moja ilipoteza zaidi ya watu watatu waliokuwa ktk shimo moja.

La msingi ni kumwomba MUNGU aepushe majanga kama haya:
Kulitokea nn mkuu huo mwaka?
 
Kutokana na chanzo kilichopo huko ni kweli kuna watu wamefunikwa na kifusi cha mgodi lakini idadi yao haijafahamika. Habari hizo zimelijiri muda wa saa nane mchana maeneo.

Mkuu! Kuna uwezekano wa kujua kama imetokea ktk mgodi wa nani?

Ama imetokea kati ya Opec,samacx ama Block D?
 
Beretta za Mabroker zilipanda leo full light sijui walimaanisha nini
 
Beretta za Mabroker zilipanda leo full light sijui walimaanisha nini

Puppy!

Bila shaka ni mtu wa kutupa taarifa kamili maana inaweza ikawa kuna mambo mazito huko.

Lakini nahisi atakuja mwenye full data ya huko na atatujuza.
Tusubirie!
 
Back
Top Bottom