Meremeta 00:00:00. EXTRA

Status
Not open for further replies.
hilo lisikutie shaka, in case of unforeseen event the report will be released independently of this base and freely. No one can stop it, isipokuwa mungu.

ondoa shaka. Hivi sasa public service ya tanzania ime collapse kabisa. Hakuna direction na hakuna anayejua nini cha kudhibiti. Hata wakidhibiti waraka huu nyingine zaidi ya hizi zitatoka tu. Oneni aibu za juzi bungeni. Pinda na timu yake wamewasilisha taarifa wanasema akina hosea wamepewa onyo. Bunge likaja juu. Baada ya saa chache mkuu wa public service anasema uchunguzi umekamilika na adhabu za wahusika wa richmonduli zitatoka hivi karibuni. Mnapata nini pale kama siyo confusion tu.
 
mzee mwanakijiji hongera zikufikie huu ni msumali wa jicho acha watu wausikilizie na mungu akubariki na akuongoze zaidi.
 
Mzee Mwanakijiji,taifa lila deni kubwa sana kwako.Namna pekee ya kukulipa sio pongezi kama hizi bali kufumbuka macho kutokana na ripoti nzito kama hii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom