Mercedes Benz 102 engine inatafutwa.

Calist

Senior Member
Dec 17, 2010
130
7
Please nahitaji kununua used engine ya mercedes benz 102 ya petroll ambayo bado iko kwenye very good condition , kama unayo au unafahamu zinakouzwa pls saidia mimi. Asanteni na heri ya mwaka mpya.
 
ulishapata mkuu?
 
Back
Top Bottom